Natafuta mchumba awe Bikira

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
 
Nenda kona bar wapo wengi
 
Huyo ni mtu mmoja tu anatafutwa au kampuni?

Kila la kheri kijana....kama umemkosa wa aina hiyo huko mtaani sijui kama utampata huku. Mabinti wa humu ni magriit thinkaz hawadanganyiki kama SIPIYU!
 
Fika Kimboka bar au sewa utamkuta na kwa jinsi anavyojiheshimu kajitanda ushungu kabisa na wala havai viatu vya ko ko ko
 
No Wonder!!!

Kifuniko
Today 02:31 PM #1
Junior Member

Join Date : 20th May 2011
Posts : 5

Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
 
Hizo sifa huwezi pata hapa JF labda nenda FB. Ukitaka mwenye sifa zifuatazo utapata.
1.Domokaya awe anajua kupiga umbea.
2.Mtetezi wa chama cha magamba na asiyekuwa na aibu.
3.Hana bikira na awe ameshaliwa na mods.
4.Anaandika upupu muda wote hapa jamvini.
FAIZA FOXY na MALARIA SUGU WATAKUFAA KWA HIZI SIFA NILIZOTAJA.
 
wewe ndio unaingia lakini ujio wako unatupa wasiwasi.
wewe unajiunga na ma great thinker halafu unaleta za ki hivyo hapa ndugu umepotea.
 
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Sifa hii peke yake labda ndio itabakia mpaka mwisho utakapo oa.

Vigezo vingine vyote, utaanza kuvipangua kimoja kimoja kadri miaka inavyoenda. Maanake huwezi ukapata kama unavyotaka. Anaweza akawa yupo, lakini yeye hakutaki. Kitatokea nini? Come next year, lazima utakuwa umebadilisha hizo sifa.

Hata hivyo nakutakia kila la kheri katika juhudi zako hizo.
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate

ni hiviiii, unapoandika query kutafuta records katika database kuna sehemu utajikuta unatumia vile viunganishoa vya "or" ama "and", sasa wewe ndungu yangu umetumia "and" kwa hiyo results ni none.

mke mwema hutoka kwa Mungu....
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate

Hiyo niliyokuwekea red, weupe wa mkorogo unakubalika?
 
unajua unaweza pata hizo sifa but naona to much c.v unajua ukweli huwezi kupata mtu ambae yuko full c,v asie kasoro hayuko ktika ulimwengu huu alio uumba mungu ,,lazima atakua na mapungu ,,omba mungu akupe mwenye inshaallah
 
Mimi nimempata huyo mwenye sifa hizo, ila na mimi ameniagiza kwamba, yeye yupo tayari kuolewa ila na yeye anahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo!
1. Mwanaume awe na pesa, amnunulie gari la kutembelea kila sehemu, ili asije tembea juani weupe ukapotea akapoteza ndoa yake!

2. Mwanaume ambae hajawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote (bikira)

3. Hayupo tayari kupima kwa kuwa wote hawajaguswa
4. Asiwe mweusi
5. Asiwe anashika simu yake wala kupokea inapopigwa, kwani yeye hatofanya hivyo pia
6. Biashara atafanya, ila anapenda biashara ya saloon na kufanya massage
7. Awe shabiki wa man u!
8. Asiwe chini ya umri wa miaka 33
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom