Natafuta mchumba awe Bikira

huyo hatanifaa mheshimiwa mizizi atafute mtu mwingine na azingatie vigezo vyangu

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo

Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe

Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika

Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
HAPO KWENYE NYEKUNDU MKUU
Awe bikira
Umri: 22-28
WEWE UNAYO??NA UNATAKA YA MTANDAO UPI??TIGO AU VODA AU ZANTEL TWANGA KOTEKOTE??NA HUO UMRI NI NGUMU KUPATA SIDANGANYIKI MAANA WANACHAKACHULIWA WAKIWA NA MIAKA 14 WAMALIZAPO DARASA LA SABA MPAKA FORM FOUR.NA KAMA WEWE MPAKA SASA IVI HUJAWAI KULA TUNDI NI HEWA KABISA.
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
ELIMU IKISHAZIDI FORM FOUR KWA BONGO UALIMU NI NGUMU KIDOGO KUWA ILA MWALIMU KIVIPI??KIMAISHA,KIMAPENZI AU KIVIPI??
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
SASA MKUU MARA AWE MWALIMU MARA BIASHARA MARA KUSAFIRI MBONA HAUELEWEKI??

Unajua bwana Kimichio ndio maana wewe unaona ni ngumu sana mimi kumpata lakini jua Mungu hashindwi kunipa huyo mtu bado namuomba na nitapata majibu

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
Mkuu hapo una maanisha bikra ipi ile ya mbele au ile nyingine?

HAPO KWENYE NYEKUNDU MKUUAwe bikiraUmri: 22-28WEWE UNAYO??NA UNATAKA YA MTANDAO UPI??TIGO AU VODA AU ZANTEL TWANGA KOTEKOTE??NA HUO UMRI NI NGUMU KUPATA SIDANGANYIKI MAANA WANACHAKACHULIWA WAKIWA NA MIAKA 14 WAMALIZAPO DARASA LA SABA MPAKA FORM FOUR.NA KAMA WEWE MPAKA SASA IVI HUJAWAI KULA TUNDI NI HEWA KABISA.Awe na Elimu inayozidi form 4Awe mwalimuELIMU IKISHAZIDI FORM FOUR KWA BONGO UALIMU NI NGUMU KIDOGO KUWA ILA MWALIMU KIVIPI??KIMAISHA,KIMAPENZI AU KIVIPI??Awe anapenda kufanya biasharaAwe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHDAwe tayari kusafiri kibiasharaSASA MKUU MARA AWE MWALIMU MARA BIASHARA MARA KUSAFIRI MBONA HAUELEWEKI??
Hapo nakupa big up! Umemjib hadi nimeridhika.Afu nahisi hapo kwenye bikra ni afadhani akamchukua aliezaliwa juzi amfungie ndani hadi umri anaoutaka, coz kwa miaka hii kumpata demu mwenye 28 afu bikra sidhani. But may be! Jipe moyo utashinda

Bikira unataka iwe original au hata kama ni yakurudishia (seconda hand virginity)??

Oya mimi nina dada yangu amezalia nyumbani watoto wawili, ni bikra na sifa zote hizo anazo ni PM nikukutanishe naye maana anachosha tu wazee.

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate

Baada ya kila sifa unaweka 'na' au 'au'? maana sifa zingine haziendani kabisa, PHD, Biashara, kupika, kusafiri kibiashara, kuzaa watoto wengi,nk.

Acha uzembe! Probability ya kumpata mtu wa hivyo ni 0.000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000!
Weka oda kwa sir god akuumbie!

Similar Discussions

Back
Top Bottom