Natafuta mchumba awe Bikira

Hivyo vigezo sasa hivi vyote utapata vya kichina original hamna kabisaaa kwa wanawake.
 
hahaha ,, nimeona sifa 1 apo mtu asiye toga masikio? wa wapi weye? ,,huwez kupata sifa zote hizo, aso kasaro hayuko.....:rapture:
 
mkuu tangazo lako lina contradiction!labda unataka kujaza server ya Jf tuu!awe form 4 and above,apende kufanya biashara!awe tayar kujiendeleza kielimu hadi phd!sasa biashara na kujiendeleza hadi phd!mtu mwenyewe form four!mbona dunia itaisha kabla hajaipata hiyo phd?
 
Hivi jamani wana JF ni kwamba hamna imani kwamba mtu kama huyo yupo au mnachukulia tabia za kila ulichofanya wewe ndio tabia ya kila mtu. Mimi naamni decent bado wapo na mtu mwenye sifa nyingi zaidi ya hizi nitampata. Mimi nitaendelea kumtafuta na i hope atakapopatikana nitawaalika harusi
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
hayo ni matawi ya serikali
 
umepata??maelezo yako yanaonyesha wewe ni choosy/picky.....one way to put wadada off wasijitokeze,ungeweka vingine private wewe ndio ungewachuja wanaojitokeza....duh hadi kutoga masikio??????sijui mwenzetu wa karne ipi?
 
Utakaa sana mkuu. Maana hata nikifahamu mwenye hivyo vigezo nitamchukua mimi!
 
Kifuniko, mimi nimepata hiyo kauli yako ya mwisho 'Nashukuru sana na matumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe' hii imenipa kiasi fulani kufikiria kwamba you are serious. Kuna mchango wa WAHIDA na NANREN nahisi ni mawazo mazuri. Usikate tamaa endelea kuangalia, lakini mchango mkubwa upo kwako mwenyewe. Safari njema
 
Kwani lazima awe nayo...? kama hana hata za kichina zipo....!
<br />
<br />
kinachomata ni kujiridhisha na kuwa muwaz kama hayo ndio mahtaj yake cna waswas kwamba atafanikiwa na wanawake bikira wapo sana, i never think to have a virgin gf in my life bt i met her and we are moving ahead.
 
Nenda pemba, wapo.soma hiki kisa....kuna jamaa m1 alifanikiwa kumpata binti mwenye bikra kama unavyotaka wewe! Jamaa alifurahi sana kama siyo mno. Baada ya kukabidhiwa binti zikapita wiki mbili,jamaa akaenda kwa wakwe zake kutoa shukruni kwa malezi mazuri aliyopewa mke wake na wazazi wake...jamaa akamwanbia ba'mkwe wake mzee nakushukuru kwa malezi mazuri uliompatia binti yako,nimemkuta safi kabisa,nimekuletea hii zawadi pa1 na hizi fedha,unahitaji pongezi sana mzee wangu... Mzee wa watu akamjibu kwa kiswahili chake kilichojaa lafudhi ya kipemba. Unan'shukuru mie kwa lipi haswa, kanshukuru Abubakar kwani yeye akuwa amfira!.. Ckuambi nn kilitokea hapo.
 
kazae wa kwako... alafu umgeuze awe mkeo.. otherwise wajitakia "UCHIZI" tu
 
Kama unataka mwenye bikira tua kwa mfalme wa botswana huko mwenyewe utadata banaaa!at hme u can even get but if god would b wth u coz now dayz prmary tu tayari wameharibu.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom