Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

kadololo

Member
Mar 29, 2016
55
20
Wapendwa wana JF,

Naomba msaada wenu.

Nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hizo ndoto.

Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu katika ndoto nikaota nipo nashiriki mapenzi kama kawaida but sikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani, nilikaa kitandani na kutafakari sana.

Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir kama majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi kulala, kulipofika majira kama ya asubuhi, niliota ninasafiri na shemeji yangu tupo kwenye meli na watu, lakini baadae tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi kama ninashiriki mapenzi.Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuhi.

Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hiiyo hali ilishawahi kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kwenye ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa. Kwa sasa nina mtu mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawahi kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.

Inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sababu hiyo. Naomba mnisaidie jamani hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza. Nakumbuka kuna mtu alishawahi kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahidi kuwa nasali usiku wakati mwingine hiyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita kama mwezi baada ya muda naanza kuota tena.
 
Wapendwa wanajf naomba msaada wenu nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hxo ndoto .

Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu ktk ndoto nikaota nipo nashirik mapenzi km kawaida bt cikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani nilikaa kitandani na kutafakari sana.

Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir km majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi
kulala, kulipofik majira km ya asubuh
niliota ninasafir na shemeji yangu tupo
kwenye meli na watu lakini baadaye tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi km ninashiriki mapenzi.. Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuh

Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hyo hali ilishawah kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kweny ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa.
Kwa sasa nina mtu Mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawah kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sabab hyo. Naomba mnisaidie jaman hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza . Nakumbuka kuna mtu alishawah kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahd kuwa nasali usku wakati mwingine hyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita km mwez baada ya muda naanza kuota tena.
Kadololo.

Zipo Thread humu zikijaribu kueleza miongoni mwa source wa tatizo lako...

Jitahidi yafuatayo;
*Kupunguza kukaa mwenyewe ndani kwa muda mrefu....
*Kua busy kwa shughuli na kutembea
*Ibada kuzifanya ktk nyumba ya Ibada kuliko kua pekee...
 
Thanx maana siku hizi nimeacha kulala mchana maana naogopa sana
 
Thanx maana siku hizi nimeacha kulala mchana maana naogopa sana
Thanks too.

Upweke unapotawala kwa kiwango cha juu;
*Utaujenga utajiri zaidi ya Bakhresa
*Utajipa Ufalme zaidi ya Ufalme
*Utajipa dhana ya kua Adui zaidi ya Maadui..
*Utapenda zaidi ya wanaopenda(hapa sasa ndipo utakapoanza kujenga appointment kisha ukiwa vizuri ni kutenda tu)
*Ibada hazikamiliki,vituko vya kuvunja miiko ya Ibada vitatawala (you will not care-kwa tafsiri none see you).

Upweke ndicho chanzo cha Mipango YOTE.
 
Japo sina imani sana na watu wanao jiita manabii, ila nasikia huwa wanayatoa hayo.
Panda ndege nenda kwa TB Joshua ukalitoe, au wasiliana nao watu kama hao wakusaidie, maana hata mkioana na huyo mchumba wako mambo huwa si mambo kwenye ndoa.
 
Haina haja ya kupanda ndege na anasumbuliwa na jini mahaba
 
Hizo ni dalili njema sana kijana.
Inaonekana unakula na kushiba vizuri, hauna msongo wa mawazo, kuna mtu unae mtegemea katika kukutimizia kila jambo, una lala pazuri pasipo bugudha ya kuamshwa na kuulizwa utoe pesa ya matumizi.

Ndoto zote nyevu hukuja kwa wanao kula na kushiba pasipo mawazo, pamoja na wanao pata muda wa kulala hata masaa ya kuwajibika kama wewe
 
Jini mahaba ilo na ata mi nilikua na hiyo hali miaka mingi ila sasa nina mwezi na kitu haijatokea tangu nipewe dawa
Hakuna dawa kijana.
Ninyi vijana mnakaa mkiwaza makatiko kutwa kuchwa, ona sasa hata unafikia kupata ndoto nyevu kisa hainaga ushemeji...
Tatizo lenu vijana ni uvivu umewajaa na hamtaki kujituma kwa shughuli za hapa na pale, kisha mkilishwa na mkashiba basi... hapo kati huwajaa kama ndizi za bukoba
 
Wapendwa wanajf naomba msaada wenu nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hxo ndoto .

Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu ktk ndoto nikaota nipo nashirik mapenzi km kawaida bt cikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani nilikaa kitandani na kutafakari sana.

Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir km majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi
kulala, kulipofik majira km ya asubuh
niliota ninasafir na shemeji yangu tupo
kwenye meli na watu lakini baadaye tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi km ninashiriki mapenzi.. Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuh

Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hyo hali ilishawah kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kweny ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa.
Kwa sasa nina mtu Mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawah kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sabab hyo. Naomba mnisaidie jaman hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza . Nakumbuka kuna mtu alishawah kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahd kuwa nasali usku wakati mwingine hyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita km mwez baada ya muda naanza kuota tena.
Unatakiwa uingie kwenye ndoa sasa ndoto huchangiwa na fikra pia je huwa unawaza nini??? lakini umenshangaza huna hisia na mwenzio sikiliza moyo wako unapenda nani usije kujutia uchaguzi wa kuingia ndoani bila hisia za mwenzio kwan mtajikuta mnagombea hata kijiko kama sikuanza kunawa maji mle chakula. Ndoa ina vituko vingi wapo wanaogombana sababu mtoto wao mwenyewe kakojolea kitanda SASA WATAKA AKAKOJOLEE CHA NANI???? Hapo ugomvi unaweza kuwa mkubwa hadi ukweni. NDOA INA VITUKO VINGI, KARIBU KTK MAISHA YA NDOA MCHEPUKO HATARI KWA MAISHA YAKO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom