mmmmmKwahiyo wewe sio rahisi kupata UKIMWI maana unamaliza kiaina aina tu, aiseeeeeee. bila shaka ukiota hivyo unafika bar na kupata maximum satisfaction
Ingependeza km ningepata na vifungu vya biblia ili nirejeeUnapo fanya hayo mapenz vitu vinawekwa humo ndani yako
Hivyo lazima yang'olewe
Na kitu cha muhimu usisahau kuomba toba Mungu kabla hujaomba ili uwe ma uhalali wa kupiganiwa vita
Kila pando asilopanda Baba yangu litang'olewa
Kwahiyo hayo mapando lazima yang'olewe
Sema nang'oa mwambie Yesu nang'oa chochote kilichopandwa na adui nang'oa ndan ya mwil wangu
Na mwambie Yesu akusaidie kung'oa hayo mapando
Omba had upone.
Cha kwanza kabisa weka wakfu hilo eneo unalo lala
Hayo makazi yalindwe na damu ya Yesu
Uhiii heaven Sent njoo uniandikie vifungu huku Biblia yangu ipo mbalii
Mkuu yanatolewa tena simple tu
huwo ni ukame tu unamusumbua huyoHakuna dawa kijana.
Ninyi vijana mnakaa mkiwaza makatiko kutwa kuchwa, ona sasa hata unafikia kupata ndoto nyevu kisa hainaga ushemeji...
Tatizo lenu vijana ni uvivu umewajaa na hamtaki kujituma kwa shughuli za hapa na pale, kisha mkilishwa na mkashiba basi... hapo kati huwajaa kama ndizi za bukoba
Hatujasettle mumy bt subir bfr hujalala tutafanya hivyo.I
Ingependeza km ningepata na vifungu vya biblia ili nirejee
basi ubarikiwe naweHatujasettle mumy bt subir bfr hujalala tutafanya hivyo.
Muamin Mungu .
Mungu atupatie kibali niweke leo hii
Amina asante kwa msaadabasi ubarikiwe nawe
Km unavyofikiria ndugu yangu nahsi hujasoma na kuelewa asomae na afahamu.huwo ni ukame tu unamusumbua huyo
uliishawahi kusikia jini mahaba..!! ndio hilo..!!Wapendwa wana JF,
Naomba msaada wenu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hizo ndoto.
Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu katika ndoto nikaota nipo nashiriki mapenzi kama kawaida but sikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani, nilikaa kitandani na kutafakari sana.
Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir kama majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi kulala, kulipofika majira kama ya asubuhi, niliota ninasafiri na shemeji yangu tupo kwenye meli na watu, lakini baadae tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi kama ninashiriki mapenzi.Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuhi.
Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hiiyo hali ilishawahi kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kwenye ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa. Kwa sasa nina mtu mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawahi kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.
Inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sababu hiyo. Naomba mnisaidie jamani hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza. Nakumbuka kuna mtu alishawahi kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahidi kuwa nasali usiku wakati mwingine hiyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita kama mwezi baada ya muda naanza kuota tena.
Kingine ukute zamani ulikua unapiga punyeto( punyeto maana yake unafanya mapenzi ma majini mahaba hivyo unayapa uhalali wa kukutesa.Ndoto zinaweza kukupata kutokana na mazingira uliyo nayo/ unayo lala
Hiyo sehemu unayolala inaweza ikawa mi nyumba ya mapepo/ majini hivyo yana kuingilia.
Kingine ukute zamani ulikua unapiga punyeto( punyeto maana yake unafanya mapenzi ma majini mahaba hivyo unayapa uhalali wa kukutesa
Kingine inaweza kuwa umefungishwa ndoa za majin mahaba / wanawake wa kipepo ktk ulimwengu wa roho bila ww kujua
Hivyo yana uhalali kabisa ya kukuigilia ktk mwil wako sababu ww ni mke wao halalii.
Kingine hao wanaume walio pita kwako wana maroho machafu ndio maana yanakutesa( spirits).
Sababu kama wew ni bint ukifanya kile kitendo unapokea na mwanaume anatoa
Na Biblia yangu inaniambia ajiunganishae na kahaba wamekua mwil mmoja
Hivyo zile roho zotee alizo kuwa nazo huyo mwenza naww unakua nazo
Mpka hapo umenielewa?
Huna haja ya kupanda ndege uende kwa nabii gani sijui
Mm ninachojua Mungu wangu/ Yesu wangu ni wa wote juhud yako tu ya kuomba itakutoa kwenye shida yako
Mungu hayupo kuwa special kwa grp fulan tu la watu.
Hapana . Mungu hana upendeleo na wala hapokei rushwa.
Umenielewa had hapo?
Ngoja nimjibu huyu halafu nitarud kwako plzzKingine ukute zamani ulikua unapiga punyeto( punyeto maana yake unafanya mapenzi ma majini mahaba hivyo unayapa uhalali wa kukutesa.
Unaweza kunisaidia dada yangu hapa ulipozungumzia kuhusu kujichua na mahusiano ya mapepo..Naomba maelezo zaidi how? Nahitaji nijifunze
kumbuka ndoto ni mlango, mlango anapita mwizi, jambazi, mtu mwema au mbaya. tuanafanyaje kuangalia ili vitu vibaya visipite hapo
tuna damu ya Yesu, damu ya pasaka, hii ni damu ya malangoni ili kutuwekea ulinzi(ina kazi nyingi lakin na hii ni kazi yake)
zamani wakati wa Musa MUngu aliwaambia wana wa Israel wapake damu ya mwanakondoo katika miimo na vizingiti vya malango
kwa damu ile ya wanyama Mungu aliwaambia yule mjaribu hatopita kuingia aingie malangoni mwenu kuwaharibu ninyi
na kwel wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israel hawakufa, sasa kama damu za mwana kondoo zilizuia
sisi sasa hiv tunatumia damu ya agano jipya yaan ya Yesu
huyo mwanakondoo unamkuta tena amabaye ni Yesu ktk 1corintho 5:7 tunapata damu ya pasaka yaan Kristo Yesu
hiyo tu haitoshi yeye alifanyika sadak kwaajili yetu
kuhusu ile ya wanyama unapata kutoka 12:21-25
ngoja Heaven Sent atakuja kuandika hivyo vifungu
kumbuka ndoto ni mlango, mlango anapita mwizi, jambazi, mtu mwema au mbaya. tuanafanyaje kuangalia ili vitu vibaya visipite hapo
tuna damu ya Yesu, damu ya pasaka, hii ni damu ya malangoni ili kutuwekea ulinzi(ina kazi nyingi lakin na hii ni kazi yake)
zamani wakati wa Musa MUngu aliwaambia wana wa Israel wapake damu ya mwanakondoo katika miimo na vizingiti vya malango
kwa damu ile ya wanyama Mungu aliwaambia yule mjaribu hatopita kuingia aingie malangoni mwenu kuwaharibu ninyi
na kwel wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israel hawakufa, sasa kama damu za mwana kondoo zilizuia
sisi sasa hiv tunatumia damu ya agano jipya yaan ya Yesu
huyo mwanakondoo unamkuta tena amabaye ni Yesu ktk 1corintho 5:7 tunapata damu ya pasaka yaan Kristo Yesu
hiyo tu haitoshi yeye alifanyika sadak kwaajili yetu
kuhusu ile ya wanyama unapata kutoka 12:21-25
ngoja Heaven Sent atakuja kuandika hivyo vifungu