Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

.....ni hivi

ardhi inaweza kukufanya uote hizo ndoto, yaani mazingira ya hapo unapo lala,

nitafupisha kidogo.

tutaenda omba toba juu ya ardhi au eneo unalo kaa,
Mungu ninaoma toba kwa yote niliyo kutenda kwa kujua au kutokujua na kwa kutotimiza yanipasayo, unisafishe kwa damu ya Yesu, naleta familia yangu pia utusamehe ututakase kwa damu ya Yesu.

[HASHTAG]#tutaiweka[/HASHTAG] wakfu ardhi kwaajili ya Bwana
kuna mawili unaweza mwaga damu ya Yesu katika hilo eneo umwambie MUngu alitakase hilo eneo na aliweke wakfu kwaajili yake

au tutaomba toba juu ya ardhi kutoka katika cha 2nyakati 7:14

ikiwa watu wangu, walio itwa kwa jina langu, watajinyenyekesha na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya,basi nitasikia toka ,mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao

## utaomba toba juu ya hiyo ardhi sasa ili Mungu aponye hiyo ardhi iliyo chini yako na pia mwambie Mungu hii ardhi ikaolewe na wewe, aimiliki yeye

2 nyakati 7:14

Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya ; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
 
I Wakorintho 5: 7

Basi jisafisheni mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge Jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani Kristo

Kutoka 12: 21- 25
21: Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israel na kuwaambia nendeni mkajitwalie wana -kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkachinje pasaka

22: Nanyi twaeni tawi la hisopu, mkalichovye katika ile damu iliyo bakulini na kukipiga kizingiti cha jus, na miimo miwili ya mlango; kwa hiyo damu iliyo katika bakuli; tena mtu yeyote miongoni mwenu asitoke mlangoni mwa nyumba yake hata asubuhi

23: Kwa kuwa BWANA atapita ili awapige hao Wamisri; na Hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha jus, na katika ile miimo miwili, BWANA atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi........
Thnx mumy.

# sasa unaona hapo juu. Paka damu ya Yesu ktk miimo na vizingit na miimo ya malango ya ndoto; muda; nafsi; kizaz; roho; moyo wako

Mungu amesema hatoruhusu mwenye kuharibu aingie aje kuwapiga ninyi.

Sasa ww tumia damu ya pasaka ya Mwana Kondoo kuziba hayo malango

Baada ya hapo mwambie Mungu awaa hukumu hao wakutesao ukirud
Ktk
Kutoka 12:12e nami nitafanya hukumu juu ya miungu ya Misri.
Ukitaka kuelewa fungua Biblia soma sura ya 12 yote

Nani mwenye kuharibu?

Ni hayo mapepo na uchafu wote
 
kumbuka ndoto ni mlango, mlango anapita mwizi, jambazi, mtu mwema au mbaya. tuanafanyaje kuangalia ili vitu vibaya visipite hapo

tuna damu ya Yesu, damu ya pasaka, hii ni damu ya malangoni ili kutuwekea ulinzi(ina kazi nyingi lakin na hii ni kazi yake)

zamani wakati wa Musa MUngu aliwaambia wana wa Israel wapake damu ya mwanakondoo katika miimo na vizingiti vya malango

kwa damu ile ya wanyama Mungu aliwaambia yule mjaribu hatopita kuingia aingie malangoni mwenu kuwaharibu ninyi

na kwel wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israel hawakufa, sasa kama damu za mwana kondoo zilizuia

sisi sasa hiv tunatumia damu ya agano jipya yaan ya Yesu

huyo mwanakondoo unamkuta tena amabaye ni Yesu ktk 1corintho 5:7 tunapata damu ya pasaka yaan Kristo Yesu
hiyo tu haitoshi yeye alifanyika sadak kwaajili yetu

kuhusu ile ya wanyama unapata kutoka 12:21-25

ngoja Heaven Sent atakuja kuandika hivyo vifungu
Ubarikiwe sana kwa kunifungua bwana mungu akupe ufahamu zaidi nimebarikiwa sana.
 
Ukifanyiwa hayo mambo ujue kuna kitu kinawekwa ktk kizaz chako.

Hivyo lazima ung'oe hayo mauchafu

Mathayo 15:13c
Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.

Sasa anza kung'oa hayo mapando yote( uchafu ) mwambie Yesu nisaidie kung'oa hayo mapando ndani ya mwil wangu

Na utakua na hofu; ng'oa hiyo hofu pia

Omba kila siku
 
Halafu hii miili haikuumbwa kwa zinaa/ uasherati.

Hii miili ni ya Kristo
Na Roho Mtakatifu huwa una tuonea wivu
Yakobo 4:5
Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure?
Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu?

Sasa ufanyapo hayo mambo unachafua hekalu la Bwana
Tuviweke viungo vyetu viwe ibada njema kwa Mungu aliye hai

Tumia kinywa chako kumpa Yesu huo mwil mkabidhi

Sababu katika kinywa kile kile hutoka laana na baraka.
 
Kabla hujaomba..
Omba tobaa mwambie Mungu narud natubu nisamehe. Kwa uchafu nilio fanya au kwa mlango nilio mpa shetan kunitesa mwili wangu.

Mungu naomba rehema nisamehe kwa kwa Damu ya Yesu.

Omba ukimaanisha.

Usirudie hizo tabia . ukirudia Biblia yangu inaniambia mapepo yana tabia kama mbuzi
Yanakuja kuangalia nyumba yao kama safi yakirud yanabeba mapepo maovu zaidi kuliko yao
 
Kingine ukute zamani ulikua unapiga punyeto( punyeto maana yake unafanya mapenzi ma majini mahaba hivyo unayapa uhalali wa kukutesa.

Unaweza kunisaidia dada yangu hapa ulipozungumzia kuhusu kujichua na mahusiano ya mapepo..Naomba maelezo zaidi how? Nahitaji nijifunze

Ngoja nijaribu kujibu kidogo

Unapojichua au kuangalia porn unavuta hisia za kufanya ngono na mtu fulani. So unavivutia unavyoviimagine kutokea kwenye ulimwengu wa mwili. Sometimes unaangalia porn au unatumia picha ya msichana unayemtamani kujichua, hiyo ni tamaa.

Mathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia, kila mtu atazamaye mwanamke kwa kutamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake

Kuimagine unasex unakuwa unaalika nguvu ya roho chafu kuja kujidhihirisha kwa kile unachokiimagine (sex). Huyo pepo wa ngono akishakuingia anafanya makao ndani yako, ndo unakuta tabia ya kujichua au kuangalia porn inakuwa addictive. Kupitisha masaa hujajichua ni utaugua kabisa, hujiwezi

Miili yetu ni hekalu takatifu la Mungu. (1 Wakorintho 6:19) Unapoutoa mwili wako kwa ajili ya Mungu, shetani anakosa pa kuingilia, coz malango yote yamefungwa. Unapojichua unafungua mlango wa shetani kuingia ndani yako. Ndipo hapo na pepo la ngono/jini mahaba linapata upenyo wa kukuingilia. Kwa sababu umewapa legal access na mwili wako.

Mwanzo 4: 7

Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde

Kwa hiyo muda wote dhambi inatuvizia tukosee ili ipate kuingia maishani mwetu. So kujichua ni kufungua mlango dhambi Ipate kuingia kwetu na kufanya uharibifu

Mathayo 12: 43- 45

45: Mara huenda, akachukua naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo

Kwa hiyo ukimruhusu pepo mmoja mchafu akuingie, jua atawaalika hao pepo wengine waje kufanya makao humo ndani mwako na kufanya uharibifu mkuu

" Satan uses bad habits to connect us to him".

1 Wakorintho 6: 13c
Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa BWANA, naye BWANA ni kwa mwili.

Na kujichua au kuangalia porn ni against God's natural law. Mungu alidesign sex kwa ajili ya mtu mke na mume, wewe unapoangalia porn au kujichua ni one sided sex, hakuna intimacy kati ya watu wawili, hakuna muunganiko wa nafsi kati ya watu .

Ikimbie zinaa ya aina yoyote ile. Weka wakfu mwili wako ukatumike kwa ajili ya utukufu wa Mungu
 
Kuimagine unasex unakuwa unaalika nguvu ya roho chafu kuja kujidhihirisha kwa kile unachokiimagine (sex). Huyo pepo wa ngono akishakuingia anafanya makao ndani yako, ndo unakuta tabia ya kujichua au kuangalia porno inakuwa addictive. Kupitisha masaa hujajichua ni utaugua kabisa, hujiwezi

Miili yetu ni hekalu takatifu la Mungu. (1 Wakorintho 6:19) Unapoutoa mwili wako kwa ajili ya Mungu, shetani anakosa pa kuingilia, coz malango yote yamefungwa. Unapojichua unafungua mlango wa shetani kuingia ndani yako. Ndipo hapo na pepo la ngono linapata upenyo wa kukuingilia. Kwa sababu umewapa legal access na mwili wako.

Kwa hiyo ukimruhusu pepo mmoja mchafu akuingie, jua atawaalika hao pepo wengine waje kufanya makao humo ndani mwako

" Satan uses bad habits to connect us to himself".

Na kujichua au kuangalia porn ni against God's natural law. Mungu alidesign sex kwa ajili ya mtu mke na mume, wewe unapoangalia porn au kujichua ni one sided sex, hakuna intimacy kati ya watu wawili, hakuna muunganiko wa nafsi. Ikimbie zinaa ya aina yoyote ile. Weka wakfu mwili wako ukatumike kwa ajili ya utukufu wa Mungu
Mama naomba uendelee na kazi if bado una nguvu.
Naingia kuleee sa hiz hapa.
Be blessed. If umechoka tutaendelea kesho
 
Pia kuwa makini na movie na miziki unayosikiliza mingine inanguvu za kipepo unakuta vitu vinakuingia bila wewe kujua
 
Ngoja nijaribu kujibu kidogo

Unapojichua au kuangalia porn unavuta hisia za kufanya ngono na mtu fulani. So unavivutia unavyoviimagine kutokea kwenye ulimwengu wa mwili. Sometimes unaangalia porn au unatumia picha ya msichana unayemtamani kujichua, hiyo ni tamaa.

Mathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia, kila mtu atazamaye mwanamke kwa kutamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake

Kuimagine unasex unakuwa unaalika nguvu ya roho chafu kuja kujidhihirisha kwa kile unachokiimagine (sex). Huyo pepo wa ngono akishakuingia anafanya makao ndani yako, ndo unakuta tabia ya kujichua au kuangalia porno inakuwa addictive. Kupitisha masaa hujajichua ni utaugua kabisa, hujiwezi

Miili yetu ni hekalu takatifu la Mungu. (1 Wakorintho 6:19) Unapoutoa mwili wako kwa ajili ya Mungu, shetani anakosa pa kuingilia, coz malango yote yamefungwa. Unapojichua unafungua mlango wa shetani kuingia ndani yako. Ndipo hapo na pepo la ngono linapata upenyo wa kukuingilia. Kwa sababu umewapa legal access na mwili wako.

Mwanzo 4: 7

Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde

Kwa hiyo muda wote dhambi inatuvizia tukosee ili ipate kuingia maishani mwetu. So kujichua ni kufungua mlango dhambi Ipate kuingia kwetu na kufanya uharibifu

Mathayo 12: 43- 45

45: Mara huenda, akachukua naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo

Kwa hiyo ukimruhusu pepo mmoja mchafu akuingie, jua atawaalika hao pepo wengine waje kufanya makao humo ndani mwako

" Satan uses bad habits to connect us to himself".

1 Wakorintho 6: 13c
Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa BWANA, naye BWANA ni kwa mwili.

Na kujichua au kuangalia porn ni against God's natural law. Mungu alidesign sex kwa ajili ya mtu mke na mume, wewe unapoangalia porn au kujichua ni one sided sex, hakuna intimacy kati ya watu wawili, hakuna muunganiko wa nafsi. Ikimbie zinaa ya aina yoyote ile. Weka wakfu mwili wako ukatumike kwa ajili ya utukufu wa Mungu
Asante..nimekuelewa

Nimejifunza pia ndo maana ni vigumu kwa vijana kuacha tabia hii ya kujichua baada ya wiki/mwezi wanarudia tena bila kutegemea hata kama hawaipendi hii tabia wanashindwa kuiacha.
 
Ndoto zinaweza kukupata kutokana na mazingira uliyo nayo/ unayo lala

Hiyo sehemu unayolala inaweza ikawa mi nyumba ya mapepo/ majini hivyo yana kuingilia.

Kingine ukute zamani ulikua unapiga punyeto( punyeto maana yake unafanya mapenzi ma majini mahaba hivyo unayapa uhalali wa kukutesa

Kingine inaweza kuwa umefungishwa ndoa za majin mahaba / wanawake wa kipepo ktk ulimwengu wa roho bila ww kujua

Hivyo yana uhalali kabisa ya kukuigilia ktk mwil wako sababu ww ni mke wao halalii.

Kingine hao wanaume walio pita kwako wana maroho machafu ndio maana yanakutesa( spirits).

Sababu kama wew ni bint ukifanya kile kitendo unapokea na mwanaume anatoa

Na Biblia yangu inaniambia ajiunganishae na kahaba wamekua mwil mmoja

Hivyo zile roho zotee alizo kuwa nazo huyo mwenza naww unakua nazo

Mpka hapo umenielewa?

Huna haja ya kupanda ndege uende kwa nabii gani sijui

Mm ninachojua Mungu wangu/ Yesu wangu ni wa wote juhud yako tu ya kuomba itakutoa kwenye shida yako

Mungu hayupo kuwa special kwa grp fulan tu la watu.

Hapana . Mungu hana upendeleo na wala hapokei rushwa.

Umenielewa had hapo?
Yes ndoto ni lango la kiroho ndani ya mtu. Mungu anaweza kupitishia maonyo, maelekezo na kukukumbusha kupitia ndoto, likewise na shetani anaweza kutumia lango la ndoto kupitishia mambo yake mabaya

Kuota unafanya mapenzi, simply inaonesha kuwa kwenye ulimwengu wa roho una mahusiano ya kingono na ulimwengu wa giza. Kinachokuja kuleta shida sio tu kufanya mapenzi, bali ni ule muunganiko na maagano yanayoletwa na ngono (union and covenants) . Kwa ufupi tu ni kwamba spiritually wewe ni mke wa mtu, upo ndoani hapo na spiritual husband wako.

Yeremia 1:5
kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni nalikutakasa, nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Kwa hiyo ulizaliwa ukiwa msafi, hukuwa na tatizo lolote, mwili wako ulitumika Kwa ajili ya Mungu. Lango la ibilisi kuingilia na kukutumia wewe lilikuwa limefungwa. Mwili wako ulikuwa ni hekalu takatifu la Mungu, Mwili wako ulitumika kama dhabihu kwa Mungu.

Mathayo 13:25
Lakini watu walipolala akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.

Kwa hiyo wewe ulikuwa kama ngano iliyo safi. Lakini uliposinzia (sio tu kusinzia kimwili), but ulipoanza kuenenda kimwili, imani yako ilipokuwa haba, shetani akapata lango, akaingia na kupanda uharibifu juu yako (magugu)

Mwanzo 4:7
Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo yakutamani wewe, walakini yapasa uishinde

Kwa hiyo kwa dhambi zetu na kutokusimama sawasawa na Mungu, tunafungua milango ya dhambi kuingia maishani mwetu na Kupanda uharibifu

I Wakorintho 6: 19
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?.....

Kwa hiyo kwa kupitia uzinzi na huyo spiritual husband Au wife unachafua hekalu la Roho Mtakatifu, je Roho Mtakatifu anakaa mahali pachafu? ? Hapana....

SPIRITUAL WIFE/ HUSBAND ANAINGIA KUPITIA

1. Kujichua/ kupiga punyeto
2. Kuangalia porn
3. Nguo za ndani, damu ya hedhi na manii. Vinatumika sana kutuletea majini

4. Kuchanjwa Chale au kuchora tattoo (2Walawi 19: 28)

5. Mvuto wako (sexual appeal); kama ambavyo binadamu tunakutana na kutamaniana, vivyo hivyo hata jini mahaba anaweza kukuona na kutamani uwe mkewe

6. Maagano: kuna wamama wanaopata watoto kupitia waganga na mizimu. Baba wa mtoto ni nani, unamjua? Na wakati mwingine mganga anakuingizia dawa kwa kutumia uume wake

7. Kuvaa Pete za urembo. Pete ni ishara ya mamlaka Au muunganiko wa watu/ agano (Ndoa), haya wewe si unavaa Pete huku Huna hata mume, basi mume jini mahaba atakutafuta mfunge Ndoa vizuri

8. Kuna wanaorithi kabisa majini mahaba. Inakuwa kama ni tatizo la ukoo/familia nzima. Mtu mmoja alifungua lango, jini mahaba akaingia kwa familia nzima

9. Kuvaliana/ kuazimana Nguo , bangili, Pete etc.

DALILI ZA KUWA NA SPIRITUAL HUSBAND/WIFE

1. Kuota unafanya mapenzi na watu usiowafahamu na wakati mwingine hata na ndugu zako unaowafahamu. Wengine inakuwa too much hata mchana ofisini akipitiwa tu na usingizi anapata ndoto hizi. Na wengine akiamka anakuta amechafuka kweli

2. Kuota unafunga Ndoa na watu usiowafahamu

3. Kuota una familia, au unakuwa unaona ndotoni kuwa unalala na partner wako

4. Kuota unanyonyesha, unamuogesha mtoto

5. Kuota una mimba. Na kuna wengine huwa wanapata mabadiliko yote kama anayopata mama mjamzito wa kawaida. Kuna wengine wanaota kabisa wanajifungua Au kupata miscarriage

6. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba Au kuzaa. Huyo spiritual wife/husband kwanza hatokuruhusu ukutane kimwili na mtu mwingine apart from yeye, hawapendi kushare mapenzi na binadamu. Na yanaweza kukufunga kabisa usizae na binadamu ili uwazalie wao tu

7. Kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Jini mahaba Anakusatisfy ukilala, ukiamka hamu yote haipo

8. Kutotaka Ndoa kabisa, kuchelewa kuolewa/kuoa na kutodumu katika ndoa. Tayari katika ulimwengu wa roho una ndoa, ndoa ya pili ya kazi tena? Wewe ni mke/mume wa mtu, hawawezi kukuruhusu ufunge ndoa tena na binadamu. Kuna watu wanafikia hadi hatua ya kuwa-engaged, kesho tu akiamka hamtaki tena mchumba wake. Mkijikongoja mkaoana basi mtapata vita haswa na mafarakano, hadi muachane. Utakuwa na spirit ya "Marry and Remarry

9. Kufunga hedhi bila mimba, kutokwa na damu nyingi sana randomly na wakati mwingine kupata damu chache sana.

10. Mikosi na mabalaa mbalimbali
 
Yes ndoto ni lango la kiroho ndani ya mtu. Mungu anaweza kupitishia maonyo, maelekezo na kukukumbusha kupitia ndoto, likewise na shetani anaweza kutumia lango la ndoto kupitishia mambo yake mabaya

Kuota unafanya mapenzi, simply inaonesha kuwa kwenye ulimwengu wa roho una mahusiano ya kingono na ulimwengu wa giza. Kinachokuja kuleta shida sio tu kufanya mapenzi, bali ni ule muunganiko na maagano yanayoletwa na ngono (union and covenants) . Kwa ufupi tu ni kwamba spiritually wewe ni mke wa mtu, upo ndoani hapo na spiritual husband wako.

Yeremia 1:5
kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni nalikutakasa, nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Kwa hiyo ulizaliwa ukiwa msafi, hukuwa na tatizo lolote, mwili wako ulitumika Kwa ajili ya Mungu. Lango la ibilisi kuingilia na kukutumia wewe lilikuwa limefungwa. Mwili wako ulikuwa ni hekalu takatifu la Mungu, Mwili wako ulitumika kama dhabihu kwa Mungu.

Mathayo 13:25
Lakini watu walipolala akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.

Kwa hiyo wewe ulikuwa kama ngano iliyo safi. Lakini uliposinzia (sio tu kusinzia kimwili), but ulipoanza kuenenda kimwili, imani yako ilipokuwa haba, shetani akapata lango, akaingia na kupanda uharibifu juu yako (magugu)

Mwanzo 4:7
Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo yakutamani wewe, walakini yapasa uishinde

Kwa hiyo kwa dhambi zetu na kutokusimama sawasawa na Mungu, tunafungua milango ya dhambi kuingia maishani mwetu na Kupanda uharibifu

I Wakorintho 6: 19
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?.....

Kwa hiyo kwa kupitia uzinzi na huyo spiritual husband Au wife unachafua hekalu la Roho Mtakatifu, je Roho Mtakatifu anakaa mahali pachafu? ? Hapana....

SPIRITIAL WIFE/ HUSBAND ANAINGIA KUPITIA

1. Kujichua/ kupiga punyeto
2. Kuangalia porn
3. Nguo za ndani au damu ya hedhi. Mtu mwenye ubaya na wewe anaweza kutumia hivi vitu kukuletea majini mahaba

4. Kuchanjwa Chale au kuchora tattoo (2Walawi 19: 28)

5. Mvuto wako; kama ambavyo binadamu tunakutana na kutamaniana, vivyo hivyo hata jini mahaba anaweza kukuona na kutamani uwe mkewe

6. Maagano: kuna wamama wanaopata watoto kupitia waganga na mizimu. Baba wa mtoto ni nani, unamjua? Na wakati mwingine mganga anakuingizia dawa kwa kutumia uume wake

7. Kuvaa Pete za urembo. Pete ni ishara ya mamlaka Au muunganiko wa watu/ agano (Ndoa), haya wewe si unavaa Pete huku Huna hata mume, basi mume jini mahaba atakutafuta mfunge Ndoa vizuri

8. Kuna wanaorithi kabisa majini mahaba. Inakuwa kama ni tatizo la ukoo/familia nzima. Mtu mmoja alifungua lango, jini mahaba akaingia kwa familia nzima

DALILI ZA KUWA NA SPIRITUAL HUSBAND/WIFE

1. Kuota unafanya mapenzi na watu usiowafahamu na wakati mwingine hata na ndugu zako unaowafahamu. Wengine inakuwa too much hata mchana ofisini akipitiwa tu na usingizi anapata ndoto hizi

2. Kuota unafunga Ndoa na watu usiowafahamu

3. Kuota una familia, au unakuwa unaona ndotoni kuwa unalala na partner wako

4. Kuota unanyonyesha

5. Kuota una mimba. Na kuna wengine huwa wanapata mabadiliko yote kama anayopata mama mjamzito wa kawaida. Kuna wengine wanaota kabisa wanajifungua Au kupata miscarriage

6. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba Au kuzaa. Huyo spiritual wife/husband kwanza hatokuruhusu ukutane kimwili na mtu mwingine apart from yeye, hawapendi kushare mapenzi na binadamu. Na yanaweza kukufunga kabisa usizae na binadamu ili uwazalie wao tu

7. Kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Anakusatisfy ukilala, ukiamka hamu yote haipo

8. Kutotaka Ndoa kabisa, kuchelewa kuolewa/kuoa na kutodumu katika ndoa. Tayari katika ulimwengu wa roho una ndoa, ndoa ya pili ya kazi tena? Wewe ni mke/mume wa mtu, hawawezi kukuruhusu ufunge ndoa tena na binadamu. Kuna watu wanafikia hadi hatua ya kuwa-engaged, kesho tu akiamka hamtaki tena mchumba wake. Mkijikongoja mkaoana basi mtapata vita haswa na mafarakano hadi muachane. Utakuwa na spirit ya "Marry and Remarry"..........
Hii nitaipitia kesho hapa macho yanafumba tuu. Bt kuna kitu cha ziada hapa lazima nirud nisome again.

Be blessed
 
Asante..nimekuelewa

Nimejifunza pia ndo maana ni vigumu kwa vijana kuacha tabia hii ya kujichua baada ya wiki/mwezi wanarudia tena bila kutegemea hata kama hawaipendi hii tabia wanashindwa kuiacha.
Kuna wakati mwingine tunajifunga nafsi zetu Na tabia au vitu fulani ambavyo vinatupeleka uovuni, tunazipa tabia/ vitu hivyo umuhimu kuliko umuhimu tunaompa Mungu. Mazoea hayo hujenga tabia komavu ambazo tunajikuta bila kufanya vitu hivyo, maisha yetu tunaona yamepungua kitu eg, Kujichua, porn etc. Kinachotokea ni kwamba unajifunga nafsi yako na kujichua. Usipovunja hiyo "soul tie", kila siku utakuwa unarudia kujichua
 
Mmmmh... Movie tena??kivipi?naomba maelezo zaidi kuhusu hili..maana nnapenda sana kuwatch mamovie flani..
Msaada please.
 
kwanza kbs aolewe hlf aangalie hiyo hali bado ipo maana hisia kitu kingine kbs na stara kwa mwanamke ziko mbili akibalehe aolewe na akifa azikwe wala msijifanye waganga hapo huo ni ugumu tu
 
Ngoja nijaribu kujibu kidogo

Unapojichua au kuangalia porn unavuta hisia za kufanya ngono na mtu fulani. So unavivutia unavyoviimagine kutokea kwenye ulimwengu wa mwili. Sometimes unaangalia porn au unatumia picha ya msichana unayemtamani kujichua, hiyo ni tamaa.

Mathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia, kila mtu atazamaye mwanamke kwa kutamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake

Kuimagine unasex unakuwa unaalika nguvu ya roho chafu kuja kujidhihirisha kwa kile unachokiimagine (sex). Huyo pepo wa ngono akishakuingia anafanya makao ndani yako, ndo unakuta tabia ya kujichua au kuangalia porn inakuwa addictive. Kupitisha masaa hujajichua ni utaugua kabisa, hujiwezi

Miili yetu ni hekalu takatifu la Mungu. (1 Wakorintho 6:19) Unapoutoa mwili wako kwa ajili ya Mungu, shetani anakosa pa kuingilia, coz malango yote yamefungwa. Unapojichua unafungua mlango wa shetani kuingia ndani yako. Ndipo hapo na pepo la ngono/jini mahaba linapata upenyo wa kukuingilia. Kwa sababu umewapa legal access na mwili wako.

Mwanzo 4: 7

Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde

Kwa hiyo muda wote dhambi inatuvizia tukosee ili ipate kuingia maishani mwetu. So kujichua ni kufungua mlango dhambi Ipate kuingia kwetu na kufanya uharibifu

Mathayo 12: 43- 45

45: Mara huenda, akachukua naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo

Kwa hiyo ukimruhusu pepo mmoja mchafu akuingie, jua atawaalika hao pepo wengine waje kufanya makao humo ndani mwako na kufanya uharibifu mkuu

" Satan uses bad habits to connect us to him".

1 Wakorintho 6: 13c
Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa BWANA, naye BWANA ni kwa mwili.

Na kujichua au kuangalia porn ni against God's natural law. Mungu alidesign sex kwa ajili ya mtu mke na mume, wewe unapoangalia porn au kujichua ni one sided sex, hakuna intimacy kati ya watu wawili, hakuna muunganiko wa nafsi kati ya watu .

Ikimbie zinaa ya aina yoyote ile. Weka wakfu mwili wako ukatumike kwa ajili ya utukufu wa Mungu
yaan unakataa zinaaa unaruhusu uchumba sugu jmn nyie muogopeni allah kwan si ndo nyie huwa mnabariki ndo baada ya watu kuzini mpaka na watoto mnawapata hlf leo unatuambiaje hapa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom