loykeys
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 1,176
- 909
dada yangu hilo ni jini mahaba bila chenga, nachokushauri kimbia kanisani haraka ukafanyiwe maombi na kutakaswa kwa damu ya Yesu, utakuwa huru na utashangaa unakuwa mpya. Yaani hata ikiwezekana nenda hata leo kwenye kanisa lolote la kiroho au karsmatiki wanajua kushughulika na roho zote chafu harakisha ukichelewa hilo pepo mahaba litakutesa sana. Ubarikiwe