mi simshobokei
jamani niwieni radhi si mimi niliyepost maneno hii kuna mtu kakuta sijalog off akaposthahaha kwanini Msoffe?
Chaguo lenye Tumaini,
Chaguo la uhakika
Chaguo lenye imani
Chaguo lenye ubora
Chaguo lililopimika.
Chaguo lenye maono.
Mungu Ibariki Tanzania!
jamani niwieni radhi si mimi niliyepost maneno hii kuna mtu kakuta sijalog off akapost
Desemba 10 mwaka 2012 hadi sasa, anafanya kazi katika ofisi za Mbunge ???