Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,969
Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake hazijatimia?
Je, ni kweli mheshimiwa hana uwezo wa kulipia fomu mpaka achangiwe? Hivi aliomba au ni vimbele mbele kujipendekeza?
Kwani fomu ni shilingi ngapi na mpaka sasa zimepatikana shilingi ngapi?
Je, kama zikizidi change inabaki kwa nani?