Nassari arudisha fomu kwa kishindo, Arumeru

Nassari for Arumeru East Constituency.

Kanyaga twende kijana, ccm wakija kushtuka wanakukuta mjengoni Idodomya.
 
CDM ni Disaster kwa vyama vingi..including CCM..Nahofu ARUMERU.CCM wakiwa Devided wakati CHADEMA ANTHEM ikipigwa tuu vina wote mjini kichaa kinapanda kuliko Wimbo wa bob ukipigwa kwa marasta.Sijui.CCM wanahitaji zaidi ya Mwigulu(Ingawa namkubali ktk aina ya SIASA ZA CCM na standards zao). Sikuwahi udhuria mikutano ya chadema kutokana na majukumu, ila siku niliposkia Anthem yao kwa masaa machache jioni siku ya mkesha.Atmosphere niliyoiona haikutofautiana sana na siku ya kutangaza matokeo ya ubunge.There is a day CCM itabidi waue vijana wote mjini ili wabadili matokeo.Mimi Nipo Arusha, umbali wa Arumeru na maeneo ya Jirani ambayo CDM wana mvuto achilia mbali Aruemeru yenyewe, ni karibu sana waenda kwa miguu wanafika,wapanda toyo wanafika, Nature ya Vijana wa Kimeru(Ni mashujaa wa vita kwa staili yao).Sidhani km mambo yatakuwa rahisi kihivyo.CDM ni zaidi ya madawa ya kulevya kwa vijana, Mwigulu akibisha atafute namna ya kujificha sehemu ktk mikutano ya CDM
 
CDM ni Disasterkwa vyama vingi..including CCM..Nahofu ARUMERU.CCM wakiwa Devidedwakati CHADEMA ANTHEM ikipigwa tuu vina wotemjini kichaa kinapanda kuliko Wimbo wa bob ukipigwa kwa marasta.Sijui.CCMwanahitaji zaidi ya Mwigulu(Ingawa namkubali ktk aina ya SIASA ZA CCM na standardszao). Sikuwahi udhuria mikutano ya chadema kutokana namajukumu, ila siku niliposkia Anthem yao kwa masaa machachejioni siku ya mkesha.Atmosphere niliyoionahaikutofautiana sana na siku ya kutangaza matokeo ya ubunge.There isa day CCM itabidi waue vijana wote mjini ili wabadilimatokeo.Mimi Nipo Arusha, umbali wa Arumeru na maeneo ya Jirani ambayo CDM wanamvuto achilia mbali Aruemeru yenyewe, ni karibu sana waenda kwa miguuwanafika,wapanda toyo wanafika, Nature ya Vijana wa Kimeru(Nimashujaa wa vita kwa staili yao).Sidhani km mambo yatakuwa rahisi kihivyo.CDMni zaidi ya madawa ya kulevya kwa vijana, Mwigulu akibisha atafute namna yakujificha sehemu ktk mikutano ya CDM
Mzee kwa kidhungu we acha tu...sijaelewa kabisa hebu jisome mwenyewe uone ulichoandika.
 
nina key board ya long time ,labda wana forum waweke kiboard km ya google ktk forum
 
Back
Top Bottom