Ole Sabaya amtambulisha Baba mkwe wake Mzee Nassari

Ukiwa mwana ccm automatically unakuwa mjinga tu. Je mleta mada nawe ni mjinga?
Kuna mjinga mwingine analialia huko mikoani
Mkuu wa nchi anaahidi kumjengea nyumba mtoto muuza ndizi huko.
Yaani kwenye nchi masikini namna hii iliyotapakaa watoto masikini wanaofanyishwa kazi kwenye migodi, mashamba, barabrani na kulaala mitaani raisi anaamua kumjengea mmoja tu kisa kOnekana kwenye mikutano ya makonda
Huu ni ujinga huu
 
Siasa za Bongo Safi sana yaani Ukiona mtu anaumia au kufa kwa hizi Siasa ujue Huyo ni bwege mtozeni

Leo DC wa zamani huko Hai amemtambulisha baba mkwe wake Mzee Nassari Kanisani Eberneza mkoani Arusha

Mlale Unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Jf inakufa kama habari zenyewe ndiyo hizi. Ujinga na upuuzi mtupu! Tutawaachia Jf iwe ya wajinga! Let us look for an al;ternative news outlet! Vitu kama hivi futa kulinda heshima ya great thinkers on JF
 
Likipatikana jukwaa jingine siyo hili la kujadili mambo ya maana zaidi tutakimbilia hiko hapa ujinga umezidi
 
Jf inakufa kama habari zenyewe ndiyo hizi. Ujinga na upuuzi mtupu! Tutawaachia Jf iwe ya wajinga! Let us look for an al;ternative news outlet! Vitu kama hivi futa kulinda heshima ya great thinkers on JF
Relax kamanda kunywa maji kidogo ๐Ÿผ
 
IMG_8491.jpg
 
Ukiwa mwana ccm automatically unakuwa mjinga tu. Je mleta mada nawe ni mjinga?
Kuna mjinga mwingine analialia huko mikoani
Mkuu wa nchi anaahidi kumjengea nyumba mtoto muuza ndizi huko.
Yaani kwenye nchi masikini namna hii iliyotapakaa watoto masikini wanaofanyishwa kazi kwenye migodi, mashamba, barabrani na kulaala mitaani raisi anaamua kumjengea mmoja tu kisa kOnekana kwenye mikutano ya makonda
Huu ni ujinga huu
Ndicho watz wanachopenda..

Kuonewa huruma, kuambiwa wao ni wanyonge sana na raisi atawasaidia.
 
Back
Top Bottom