Nassari arudisha fomu kwa kishindo, Arumeru

imagejpeg
Huyu jamaa anataka sifa piga kampeni lakini acha ushabiki ***** wee
 
jamani niwieni radhi si mimi niliyepost maneno hii kuna mtu kakuta sijalog off akapost

Kuwa makini msichana, watu wakishajua kuwa wewe ni mwanaharakati wanaweza hata kukuwekea matusi ya nguoni, jana kuna dada kavunjiwa ndoa yake, analalamika kuwa alikuwa facebook na haku-log off, mwenzake akaja akaweka maneno ya matusi kuwa eti anapenda ule mchezo mbaya!! Take care Angel, Turudi kwenye Mada ni kwamba mimi nilikuwepo kwenye msafara na ni balaa tupu. Tuombeeni kesho tunazindua kampeni Usa kwa staili yake. Mtaona wenyewe ni jinsi gani CDM ilivyokubalika Meru
 
Mkuu wangu weka nyama basi.Ilikuwa balaa tupu kivipi?
 
Kama karudisha form, sasa inafuata hatua ingine ya NEC wakishirikiana na CCM kuanza kutafuta makosa madogomadogo ya kumuengua katika kinyang'anyiro. I mean pingamizi.
 
Kweli hakuweka nukta ya mwisho.
 
Osokoni umetuangusha naomba uweke vzur historia ya kamanda Nasari aliejiunga chuo kikuu mwaka 2009 atamaliza chuo mwaka huu, iweke vizuri pls.
 
Nassari....KILICHO BOOOOOORA KABISA.......nadhani hizo ni rasharasha wingu limetanda na mvua itanyesha Jumamosi pale wapiga kura tutakapopigiwa salute na Helkopta.....Jamani dogo Nassari anaunguruuuma....usiombe kukutana nae.... yaani utadhani anatumia ulimi wa Lema

Hakuna kulala mpaka tuibebe Arumeru Mashariki
 
Nasari ahakikishe wakati wa kampeni kutoa wangalau na elimu ya uraia, kwani juzi nikiwa hapo majiyachai nilishangaa wakati wa kuongea na wapiga kura kujua uelewa wao, mpiga kura mmoja alisema yeye anataka kuipigia kura chadema lakini hana kadi ya chadema ana ya ccm tu sasa atashindwa kuwapigia chadema labda apewe kadi. Sasa hebu angalia hapo mtu hajui kwamba kinachotakiwa ni kadi ya mpiga kura anajua ili kukipigia kura chama lazima uwe na kadi ya hcho chama. Na hapo ndio ccm huwa inachukua nafasi kwa uelewa finyu wa watu hao kujichukulia ushindi. Isisitizwe kwamba ni marufuku kuuza au kuumpa mtu yoyote na kwasababu zozote zile kadi yako ya mpiga kura.
 
Nassari namkubali sana, nakumbuka nilimuona na kumsikia kwenye mchakato majimboni 2010 tbc 1, jamaa ni jembe
 
Kuwa makini msichana, watu wakishajua kuwa wewe ni mwanaharakati wanaweza hata kukuwekea matusi ya nguoni, jana kuna dada kavunjiwa ndoa yake, analalamika kuwa alikuwa facebook na haku-log off, mwenzake akaja akaweka maneno ya matusi kuwa eti anapenda ule mchezo mbaya!! Take care Angel, Turudi kwenye Mada ni kwamba mimi nilikuwepo kwenye msafara na ni balaa tupu. Tuombeeni kesho tunazindua kampeni Usa kwa staili yake. Mtaona wenyewe ni jinsi gani CDM ilivyokubalika Meru
ASANTE KWA KUNIELEWA nitafata ushauri wako na hili halitatokea tena.
 
Nassari namkubali sana, nakumbuka nilimuona na kumsikia kwenye mchakato majimboni 2010 tbc 1, jamaa ni jembe
mkuu nimelipenda jina lako maana kimantiki linafanana na langu!anyway tukirudi kwenye mada dogo ni jembe la ukweli kikwetu tunaita igembe lya sabho au igembe lya njerumani
 
Back
Top Bottom