katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2
Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...
yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???
MI NADHANI KUSEMA IFM NI CHUO CHA FAILURE UMEKOSEA,KWANI MWANAFUNZI NDO ANAFAIL KOZI UNAFUNDISHWA NA KUPEWA MAELEKEZO!! cio chuo!!naamini unakikubali na ungetamani! ILA HUO NI MTAZAMO WAKO NA KILA MTU ANA MAWAZO YAKE SABABU KUNA AMBAO NAO HAWAKIPENDI SAUTI!!! MTU ANAFUATA ALICHOKIOMBA!!!
KIRIHO SAFI