Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

Mwambie aje SUA, aone kama atapaka kucha rangi, hata muda wa kuingia jamii forum hata kuwa nao
 
Mchagua nazi hupata koroma,,, we uaiponda ifm vyuo unavijua au wasikia ya kuambiwa? Kuwa makin maana waweza tumbukia pabaya ohoooo!
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

Wazee wenzangu huyu mtoto Kiazi Kwelikweli, kama wamewachagua ambao hawakuomba imekuaje yeye akaachwa? Ulikoenda dogo ndiko ulikostahili. Lakini IFM kwa watoto wakali, yote wakashifuni ila kwa hili la watoto wakali ni namba one bongo, wamepitia unyago wanaweza kweli. Au siku hizi wanadahili wamakonde tupu?
 
Duh huyu kweli madudu aisee! Ifm anaiponda kisa Saut? Hawa wengn ni kuwatukana tu Pumbafu! Ningependa kue na interview kujiunga Jf maana wengine inabidi wabaki wasomaji tu.
 
wewe ndio kwanza umechaguliwa kuingia chuo, halafu unatukana watu, halafu wewe mwenyewe ulikichaguwa kwa course zaidi ya tatu, halafu wewe unatuambia ni institute of failures management, inatuonesha kwamba hata wewe ni failure ambaye matokeo umeyapata kwa sababu kuna mtu baraza la mitihani katia data ovyo kwenye computer ndio maana umepata hizo maksi zako. kwa hiyo wewe ni failure ndio maana ulikuwa unataka kuchaguliwa katika chuo wanachosoma ma failure.

lakini sisi tuliosoma na tunakula mishahara minono kwa ajili ya ifm tena kwa ajili ya cheti cha ifm mpaka wazungu kwao ulaya walikuwa wanatupa kazi za maana, sasa sijui kama wewe hata hiko cheti utapata kwa tabia hiyo.

lakini pia sikushangai sana nyinyi ndio wale mkienda kuomba visa balozi za nje kwa ajili ya kuenda kusoma huwa mnasema sylabus ya kibongo ni tooooo shalow
 
duh, we mbwiga kweli! yaana katika vyuo vyote unaona saut ndio kiboko kuliko ifm? interesting! pole sana na ukilaza wako....!!!!
 
Utakuwa mgonjwa wewe, IFM ndo imenilea na sasa nipo sehemu nzuri sana na pia darasa letu almost 95% wote hatukukaa zaidi ya mwaka bila kazi ya kueleweka, nenda UD ndo saizi yako wewe maana unadhani eti elimu bora ipo UD

DOGO kuwa mstaarabu UD imekukosea nini wakati walimu wako wengi wametokea pale au unabisha
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

inaelekea akil yako ya kushikiwa! Dah nakuonea huruma kwa kuiponda IFM na kuisifia SAUT! unafuta mkumbo? Ucpo angalia hata mke utasubir kuchaguliwa! Lol
 
....Kweli siku hizi kuna machizi na si wasomi....Mwehu huyu ananikumbusha hadith ya .."sizitako mbichi hizi...
 
nawaomba modes wampige bani huuyu mtoto naomba kuungwa mkono na wnajamvi!
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

NOTE: For students selected to pursue Bachelor of Computer Science (BCS) and Bachelor of Science
in Information Technology (BIT) a PASS in mathematics at O-level is mandatory for them to be registered
in either of the two programmes. The Institute will be ready to re-allocate to other programmes run at IFM
students allocated by TCU to the BCS and BIT programmes but did not pass the mathematics subject at
O-level.

source: Click here
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

Wewe utakua sio Mzima ...
 
Mbona ifm ni chuo kizuri tu,kuna watu tuko nao ofis moja frm ifm ni wazuri tu kiutendaji,mi nadhan tusifate mkumbo kwa kusifia na kupondea vyuo bila kujua undan wake na product zake zikoje.
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

Ungechaguliwa je? ungekiponda wewe ndo wale wale sizitaki mbivu hizi wakati mpaka unaweka choices 3 zote kuanzia ya 4 mpaka ya sita inaonesha ulikua unapenda. Muache utoto
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

Foolish kabisa wewe...unatuletea mambo ya form 2 hapa!!!!!!!
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

kweli akili ni nywele kwenye chuo ambacho niliombea nisichaguliwe ni SAUT wanachukua hata kama una principle 1 tuulize watu wa mwanza tukwambie.inaonyesha IFM wamekupa last prioprity ndo maana hukuchaguliwa coz huna vigezo vya kuwa pale.wale ambao hawakukichagua ila wamechaguliwa wamekizi kwa hyo hawawezi acha brilliants wakachukua kilaza kama ww.mi ningefurahi coz nimekidhi vigezo while mbwiga kama ww umeshindwa so wakaona SAUT ndipo panapokufaa.teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom