Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

Aug 11, 2012
76
3
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???
 
Great thinker hicho tu ndo kimekufanya ushangae na kuona ni Institute of failure managements?
 
JF imeingiliwa siku hizi, no wonder rationality kwenye comments ni za kutafuta kwa kumulika na tochi.
 
Utakuwa mgonjwa wewe, IFM ndo imenilea na sasa nipo sehemu nzuri sana na pia darasa letu almost 95% wote hatukukaa zaidi ya mwaka bila kazi ya kueleweka, nenda UD ndo saizi yako wewe maana unadhani eti elimu bora ipo UD
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

Watanzania kazi tunayo kwa kweli.
 
Mimi nilimpeleka mdogo wangu SAUT baada ya kukosa sehemu zote
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

mawazo unayo wakilisha kwenye jamii ni kipimo cha utuuzima na uakili timamu..hapo mkuu umetuonesha ni jinsi gani ulivyo mwehu..
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

wee wa wapi kwani? mbona mindset ya too minor , kawaulize tcu wenyewe ndo wanajua yote your statement sounds like you are of unsound mind is it? ungechaguliwa magogoni je ungesemaje hukukichagua
 
Utakuwa mgonjwa wewe, IFM ndo imenilea na sasa nipo sehemu nzuri sana na pia darasa letu almost 95% wote hatukukaa zaidi ya mwaka bila kazi ya kueleweka, nenda UD ndo saizi yako wewe maana unadhani eti elimu bora ipo UD

umeona eeh
 
mtoto akimwambia mtoto mwezake maneno ya kitoto tunasema watoto wanacheza. mtoto akimwambia mtu mzima mambo ya kitoto tunasema mtoto anakua. NA MTU MZIMA KUMWAMBIA MTU MZIMA MANENO YA KITOTO....................
 
Huyo anakuwa AMEWEHUKA NA NI MWEHU.
 
Du bist so dumm, aufgeschlossen und und Sie geben den törichten idear. bin sicher, Sie werden fallen
 
Back
Top Bottom