Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

MI NADHANI KUSEMA IFM NI CHUO CHA FAILURE UMEKOSEA,KWANI MWANAFUNZI NDO ANAFAIL KOZI UNAFUNDISHWA NA KUPEWA MAELEKEZO!! cio chuo!!naamini unakikubali na ungetamani! ILA HUO NI MTAZAMO WAKO NA KILA MTU ANA MAWAZO YAKE SABABU KUNA AMBAO NAO HAWAKIPENDI SAUTI!!! MTU ANAFUATA ALICHOKIOMBA!!!
KIRIHO SAFI
 
Ameupta ukweli kuwa pale kkoo digrii hazifiki 30% ya populationinayofanya biashara lakini hao wameweza ajiri watu wengi na kuendesha maisha yao. Je popote atakaposoma anaamini atakuja kuwa mwajiri mzuri sio mwajiriwa mzuri?.
 
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2

Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu Ambao Hawajakichagua Mamamamama hii Imenishangaza Sana inaonyesha Ni "Institute Of Failure Managemet...

yoyote Humu Angepangiwa IFM bila Kuichagua je ungejisikia Vizuri???

hahahahaha!!! maneno ya komsaji! hayo! mbona ulikichagua number 2.. baada ya kupigwa chini umeamua kuchomoka na hii thread! hahahaha! watu bana!
 
Wewe ndio kwanza unataka kujiunga na elimu ya juu. Unajuaje ubora wa IFM na SAUT? huo ni umbea mdogo wangu. IFM ni chuo kikongwe hapa nchini na kwa taarifa yako tu ni moja ya vyuo bora kabisa vya fedha na uhasibu katika kanda hii ya Afrika Mashariki.
 
ukpata first class SAUT ndo takukubal, mi naamn ubora wa elimu ni performance yako. Halaf IFM ndo mpango mzma hapa mjn
 
Napenda kuuliza ivi ni project/research ngapi za final year zinauzwa na vyuo hapa nchini au vilishawai kufanyiwa kazi chuoni achilia mbali serikalini,au zinatupwa kabatini baada ya kusaiswa?,ayachagueni na kupondea vyuo madhara yameanza kuonekana
 
katika application zangu nilifanya bila kushauriwa
nilianza na
ardh cozi 3
ifm cozi 3
na saut cozi 2

maajabu nimechaguliwa ya mwisho yaani saut.... Kilichoniudhi ifm wamekomba mpaka watu ambao hawajakichagua mamamamama hii imenishangaza sana inaonyesha ni "institute of failure managemet...

Yoyote humu angepangiwa ifm bila kuichagua je ungejisikia vizuri???
institute of financing more unemployment problem,hongera coz ungechaguliwa huko
hamna mkopo coz no priority fucult zote
chezea ifm wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom