Nashindwa kulog in tcu account!!!

BAOSITA

JF-Expert Member
Nov 2, 2011
368
188
Jamani habari zenu?
Naomba msaada wenu katika hili,dogo wangu anashindwa kulog in kwenye account yake ya TCU wakati mwanzoni kipindi cha applications alikfanya vizuri tu na akawa anaweza kuingia kwenye account yake!Sasa tangu applications ifungwe na sasa kutolewa kwa 2nd application,amekuwa anashindwa kufungua account yake!Hata mimi nimejaribu pia kumfungulia lakini imeshindikana,nimejaribu mpaka ya rafiki yake pia imegoma!Inakuwaje hapa wajameni,halafu hata ukiwapigia simu TCU hawapokei!!

Regards!
 
na hata wakipokea jiandae kwa matusi,kejel na majib yasiyoridhisha...mkuu mi nadhan hapa ni kuwa wapole tu,,ila ndo final moments,,mda si mrefu matokeo yatatoka..pole sana...
 
ndo shida ya ku-imprement systems ambazo hatujawa tayari, ila mm nashukuru niliongea na mdada mmoja pale ambaye nn ni mtu wa karibu na familia yetu kasema selection bado na hata hiyo iliyoenezwa humu ndani ya JF siyo ya kweli ni watu tu wameamua kurusha roho wenzao kwani amesema majina ya waliokosa yatatolewa kuanzia saa 10 jioni so be patient
 
Ahsanteni wadau,maana dogo ameshapanic!Ila uauri wake hayupo kwenye list ya waliokosea kufanya application,hofu yake ni kwanini anashindwa ingia kwenye account yake!
 
kichenchele ha ha ha ha huyo dada ni hatare eti selection za JF ni za uzushi. Hivi ni mtu gani anayeza akabuni data za watu wote wale tena zikiwa za ukweli, mwambie ajipange.
 
Last edited by a moderator:
kichenchele ha ha ha ha huyo dada ni hatare eti selection za JF ni za uzushi. Hivi ni mtu gani anayeza akabuni data za watu wote wale tena zikiwa za ukweli, mwambie ajipange.

Nikifikiria point yako, hakika yale ya udsm ni kweli...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom