Najua hapa kuna watu wanafahamu website za Movie napenda mnisaidie na mimi ni watch aina ya simu nayotumia ni LG KP500,Naomba mnisaidie kwa hili wakubwa,Ansante
yana kuja ma file mengi ya movie moja 2 kakaAcha Uvivu fungua HAPA PIA HUUSIKA
search movie unayohitaji downloan ktk rapid share ndio mwake.
Mkuu kwanza pole simu yako haina 3g which means downloading speed yako itakuwa chini sana kwa net zetu za kibongo, inamaana utatumia masaa mengi sana kudownload movie moja kwa 2g kulingana na simu yakoNajua hapa kuna watu wanafahamu website za Movie napenda mnisaidie na mimi ni watch aina ya simu nayotumia ni LG KP500,Naomba mnisaidie kwa hili wakubwa,Ansante