Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

Greenstar, ikifika 2015 tutakukumbusha kuhusu huu waraka wako uusome wewe mwenyewe. Usifiche kicwa kwenye kichaka wakati kiwiliwili chote kipo nje. Tafuta kijana wa darasa la nne atakuelewesha vizuri.
pole Lyimo kwa kutafakari sana juu ya huu waraka...naomba ufikishe UJUMBE huu ili watambue CCM siyo chama cha MAIGIZO
 
hakika CCM mpya itazaliwa na kujenga misingi bora ya uongozi.
ukifa huzaliwi tena jipange jomba.

Hakikisheni mnaisimamia serikali vizuri ili SERA za CCM zitekelezwe bila WOGA kwa manufaa ya TAIFA nzima.
tumewapa miaka 50 mumeshindwa, mutaweza sasa? jua lishawachwea jamani. kubalini yaishe tu.

CCM inahazina ya wasomi wanaoweza kuleta mageuzi ya kiuchumi bila kuwa tegemezi.
hahaha! si munao kina Bansen Bana?! endeleeni na hao hao.

Pia nawashauri kumchunguza SABODO yule mdosi ambaye PESA yake hainakazi xaidi yakutafuta umaarufu kwenye VYOMBO vya HABARI ati anawachangia CDM wakati hapa DSM kuna omba omba kibao wanahitaji misaada ya hali na MALI,kuna wagonjwa wengi sana ambao wana COMPLICATED cases zinazohitaji operation za ma milioni ya FEDHA lakini hawasaidiwi.
rais wenu mwenyewe ombaomba, unataka naye asaidiwe na Sabodo?

kilaaniwe chama cha wahuni na majambazi na kife mara moja ili kisicheleweshe MAPINDUZI ya KWELI.

amlaaniye Israel, Amelaniwa!!
 
why NAPE????????????? kweli jamaa anatisha,yaani CHADEMA wanamuogopa huyu jamaa kuliko hata ZITTO...NAPE songa mbele nyota yako inang'aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa may be u deserve to be our next senior leader...CCM watch out,this guy is capable to handle and tackle all enemies in-out of party for the growth and advancement of our nation.
I can rank him as a leading YOUNG leader for outstanding performance in advocating EQUITY and mutual benefit to our natural resources !
The following are;
ZITTO KABWE
JANUARY MAKAMBA
DEO FILIKUNJOMBE
JOHN MNYIKA

add more...

Jipe moyo gamba Majibu mtayapata 2015 hapo ndipo tutampongeza Nape kwa kazi nzuri ya ujenzi wa chama chetu.
 
ccm hawana sera, wala jipya, ni chama cha kilichojaa udhalimu, ubabaishaji, kuna alot bioclass, alafu hakina mwelekeo, hakina uchungu na nchi na wananchi wake, wanahusudu rushwa, yaani mwarubaini utafika soon.
 
Hahahaaaa Nape bhana na wewe si mtuhumiwa pia? au ile issue ya kuanzisha CCJ na Mzee Six iliishia wapi? haya nimeuliza tu bhana
 
]=Pongezi za dhati kwa mh.Nape na Sekretarieti kuu ya CCM kwa kuwamwagia tindikali magamba ili yajipukutishe yenyewe.....hakika CCM mpya itazaliwa na kujenga misingi bora ya uongozi.Hakikisheni mnaisimamia serikali vizuri ili SERA za CCM zitekelezwe bila WOGA kwa manufaa ya TAIFA nzima.CCM inahazina ya wasomi wanaoweza kuleta mageuzi ya kiuchumi bila kuwa tegemezi.Naombeni msirudi nyuma hata 1mm katika hili,tumieni mbinu zenu kusambaratisha mtandao wa MAGAMBA haraka sana,kwani hilo ndiyo tumaini JIPYA tofauti na CHADEMA kusubiri MAGAMBA yahamie kwao ili wakaandae MAJUNGU na kuwachafua VIONGOZI wa CCM....PENYE ukweli UONGO hujitenga!!!! Haiwezekani gamba kuwa msafi akihamia CHADEMA hata kwa 1%,kwa vile hata viongozi wana ROHO za magamba ndiyo maana wanafurahia wakiona jumuiya yao inaongezeka.Pia nawashauri kumchunguza SABODO yule mdosi ambaye PESA yake hainakazi xaidi yakutafuta umaarufu kwenye VYOMBO vya HABARI ati anawachangia CDM wakati hapa DSM kuna omba omba kibao wanahitaji misaada ya hali na MALI,kuna wagonjwa wengi sana ambao wana COMPLICATED cases zinazohitaji operation za ma milioni ya FEDHA lakini hawasaidiwi...HUYU ni MNAFIKI,CCM hatupo hivyo,ni heri anyang'anywe uanachama ili ajiunge na hao mgambo wa MTEI.Ni muda MUAFAKA kwa magamba mnao sitasita kuachia ngazi zote mara moja ili msichafuke zaidi...igeni mfano mzuri wa RA.....

Kidumu chama cha MAPINDUZI.......kilaaniwe chama cha wahuni na majambazi na kife mara moja ili kisicheleweshe MAPINDUZI ya KWELI.
 
Nape,
Kama hao jamaa wanaoondoka CCM unawaona ni mafisadi,ya nini kuendelea kuwazungumzia?
Halafu kwa mtazamo wa chama chako, ufisadi nini hasa?Elewa tu kila mmoja ana tafsiri ya hii dhana.Usishangae wapo watu wanakuona nawe ni mmoja wa mafisadi.
Utawala wa sheria unaelekeza mahakama pekee ndiyo ina jukumu la kushughulikia watu wenye matatazo ya kimaadili...Nanyi kama kweli mnadhani hawa wanaowakimbia ni mafisadi kwa nini msiwapeleke mahakamani?
Kila mara unahangaika na CHADEMA,kwani wao ndio walio kuajiri?
Kazi yako kuu ni kueneza itikadi ya chama chako.
Dalili zinaonyesha huifanyi vyema hiyo kazi...sasa kwa nini unajiongezea kazi kueneza masuala ya CDM tena kwa namna ya kupotosha?

nimeipenda sana hii. Ubarikiwe bro.
 
]=Pongezi za dhati kwa mh.Nape na Sekretarieti kuu ya CCM kwa kuwamwagia tindikali magamba ili yajipukutishe yenyewe.....hakika CCM mpya itazaliwa na kujenga misingi bora ya uongozi.Hakikisheni mnaisimamia serikali vizuri ili SERA za CCM zitekelezwe bila WOGA kwa manufaa ya TAIFA nzima.CCM inahazina ya wasomi wanaoweza kuleta mageuzi ya kiuchumi bila kuwa tegemezi.Naombeni msirudi nyuma hata 1mm katika hili,tumieni mbinu zenu kusambaratisha mtandao wa MAGAMBA haraka sana,kwani hilo ndiyo tumaini JIPYA tofauti na CHADEMA kusubiri MAGAMBA yahamie kwao ili wakaandae MAJUNGU na kuwachafua VIONGOZI wa CCM....PENYE ukweli UONGO hujitenga!!!! Haiwezekani gamba kuwa msafi akihamia CHADEMA hata kwa 1%,kwa vile hata viongozi wana ROHO za magamba ndiyo maana wanafurahia wakiona jumuiya yao inaongezeka.Pia nawashauri kumchunguza SABODO yule mdosi ambaye PESA yake hainakazi xaidi yakutafuta umaarufu kwenye VYOMBO vya HABARI ati anawachangia CDM wakati hapa DSM kuna omba omba kibao wanahitaji misaada ya hali na MALI,kuna wagonjwa wengi sana ambao wana COMPLICATED cases zinazohitaji operation za ma milioni ya FEDHA lakini hawasaidiwi...HUYU ni MNAFIKI,CCM hatupo hivyo,ni heri anyang'anywe uanachama ili ajiunge na hao mgambo wa MTEI.Ni muda MUAFAKA kwa magamba mnao sitasita kuachia ngazi zote mara moja ili msichafuke zaidi...igeni mfano mzuri wa RA.....

Kidumu chama cha MAPINDUZI.......kilaaniwe chama cha wahuni na majambazi na kife mara moja ili kisicheleweshe MAPINDUZI ya KWELI.

unapenda kuongea kinyume sana, yaani wewe ni mwana chadema wakweli.
 
Nape anaongea asichokiamini isipokuwa analazimika kusema hivyo ili kumfurahisha aliyemteua.

Kimsingi ccm wamefika mahali ambapo hawana uwezo tena wa kumgusa mtu yeyote anayetuhumiwa kwa ufisadi, ama mtu anayeonekana tishio kwa kambi yao katika mbio za uraisi kuelekea 2015. Sasa inapotokea mtu toka kambi pinzani akachomoka kutoka ccm na kujiunga na Chadema analazimika kujifariji kwamba imekuwa ahueni kwao ccm lakini kiukweli kabisa na kwa dhati ya moyo hawezi kuwa anamaanisha hivyo, kwani anatambua kwamba Chadema sasa inazidi kuwakalia kooni.

Kama kweli ccm ingekuwa haiwahitaji makada aina ya akina Ole Millya, ingethubutu kuwafukuza, sio kuendelea na wimbo wa magamba ambao hawawezi kuutekeleza. Na mimi nasema bora ccm iendelee kuwa na uoga huo huo wa kutowafukuza watuhumiwa wa ufisadi pamoja na wanachama wa makundi hasimu ndani ya chama chao ili kazi yetu ya kuingia magogoni iwe nyepesi sana 2015, na sitoshangaa Nape naye akiamua kujitosa baharini baada ya kukamilisha kazi ya kuibomoa ccm, ingawa hatambui kwamba anashiriki kikamilifu kuibomoa.
 
Kama kweli kunawatuhumiwa wa ufisadi, kwanini serikali inayoongozwa na CCM imeshindwa kuwapeleka mbele ya sheria (Mahakamani)?
 
Nachojua mimi ukiwa CCM we ni fisadi tu. unachumia tumbo. hapa nape anaulaghai umma tu hana lolote
 
kweli. sikuwahi kusikia millya akiitwa gamba wakati akiwa ccm.
Acheni kumsafisha Millya. Huwezi kuwa mtumishi wa shetani na hapo hapo ukawa Malaika. Na yule Msomali wa Rostam naye akikimbia CCM mtasema ni msafi kwa sababu hana kashfa binafsi? Imani yako na mwenendo wako ni ushahidi wa uchafu wako hata kama hujatiwa hatia mahakamani. Mfuasi wa EL yeyote by definition ni fisadi. Hivyo kwangu mimi Millya ni kutu iliyohamia CHADEMA. Mkaribisheni "at your own risk".
 
Kama kweli kunawatuhumiwa wa ufisadi, kwanini serikali inayoongozwa na CCM imeshindwa kuwapeleka mbele ya sheria (Mahakamani)?
Siyo mahakamani tu. Hata kuwafukuza kwenye chama wanaogopa kwa sababu wale ndiyo wenye chapa "brand" ya chama. CCM = Chama cha Mafisadi. Sasa ukiwafukuza mafisadi si unaharibu mandhari ya chama?
 
Nape ni mpiga porojo tu na mifano yake irrelavant,toka aanze kupiga porojo zake sijaona hata moja alilofanikisha,mara siku 90,mara vile,au siku 90 alimaanisha miaka 90?
 
nape roho inamuuma atatumia maneno yote kuwachafua wanaohama chama chake ila its too late asipoangalia end of the day atajikuta amehamia chadema
 
Samaki ana nguvu akiwa ndani ya maji? kwa hiyo ccm ndo maji na wanachama wake samaki? na upinzani nchi kavu?
kazi kweli kweli.
Siasa BANA
 
Kama kweli kunawatuhumiwa wa ufisadi, kwanini serikali inayoongozwa na CCM imeshindwa kuwapeleka mbele ya sheria (Mahakamani)?

Acheni kuchanganya sehria na siasa, utawapeleka mahakamani hata kama ushahidi hautoshelezi? mtachangia pesa za kulipa gharama za kesi wakishinda?
 
Back
Top Bottom