Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

wakiwa viongozi sio mafisadi wakiondoka ni mafisadi,basi hata wewe ukiondoka ccm utaitwa fisadi,kwa sababu kama mtu huwezi kumtaja waziwazi kuwa wewe ni fisadi hatukutaki kwenye chama,kuna umuhimu gani wa yeye kuondoka kivyake na kisha useme ni fisadi?
 
wakiwa viongozi sio mafisadi wakiondoka ni mafisadi,basi hata wewe ukiondoka ccm utaitwa fisadi,kwa sababu kama mtu huwezi kumtaja waziwazi kuwa wewe ni fisadi hatukutaki kwenye chama,kuna umuhimu gani wa yeye kuondoka kivyake na kisha useme ni fisadi?
hapo sasa!
 
Nape sidhani kama ana uwezo wa kupima uelewa wa Watanzania. He can not fool us all the time. Ok ajifariji tu lakini.
 
Hakuna mtu anayeogopa huyu vuvuzela asiye na busara wala subira, future yake kisiasa haionekani n the bad thing he doesnt work for the party bt anatumiwa na wachache kwa interest binafsi,
why NAPE????????????? kweli jamaa anatisha,yaani CHADEMA wanamuogopa huyu jamaa kuliko hata ZITTO...NAPE songa mbele nyota yako inang'aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa may be u deserve to be our next senior leader...CCM watch out,this guy is capable to handle and tackle all enemies in-out of party for the growth and advancement of our nation.
I can rank him as a leading YOUNG leader for outstanding performance in advocating EQUITY and mutual benefit to our natural resources !
The following are;
ZITTO KABWE
JANUARY MAKAMBA
DEO FILIKUNJOMBE
JOHN MNYIKA

add more...
 
Wonders has no end na nazi ni nyingi kuliko vichwa, how comes umpangie mtu matumizi ya hela zake???
Anzeni kujichunguza nyie wenyewe ndani ya chama then mkijikuta wasafi ndo mje kwa Sabodo, mwenye fedha halali pekee ndo anaweza kusimama mbele za watu na kuipinga ccmagamba na sio hao wanaozipata kiwizi wizi na kuwanyenyekea magamba ili wasidhurike
Pongezi za dhati kwa mh.Nape na Sekretarieti kuu ya CCM kwa kuwamwagia tindikali magamba ili yajipukutishe yenyewe.....hakika CCM mpya itazaliwa na kujenga misingi bora ya uongozi.

Hakikisheni mnaisimamia serikali vizuri ili SERA za CCM zitekelezwe bila WOGA kwa manufaa ya TAIFA nzima. CCM inahazina ya wasomi wanaoweza kuleta mageuzi ya kiuchumi bila kuwa tegemezi.

Naombeni msirudi nyuma hata 1mm katika hili,tumieni mbinu zenu kusambaratisha mtandao wa MAGAMBA haraka sana, kwani hilo ndiyo tumaini JIPYA tofauti na CHADEMA kusubiri MAGAMBA yahamie kwao ili wakaandae MAJUNGU na kuwachafua VIONGOZI wa CCM....PENYE ukweli UONGO hujitenga!!!!

Haiwezekani gamba kuwa msafi akihamia CHADEMA hata kwa 1%,kwa vile hata viongozi wana ROHO za magamba ndiyo maana wanafurahia wakiona jumuiya yao inaongezeka.Pia nawashauri kumchunguza SABODO yule mdosi ambaye PESA yake hainakazi xaidi yakutafuta umaarufu kwenye VYOMBO vya HABARI ati anawachangia CDM wakati hapa DSM kuna omba omba kibao wanahitaji misaada ya hali na MALI, kuna wagonjwa wengi sana ambao wana COMPLICATED cases zinazohitaji operation za ma milioni ya FEDHA lakini hawasaidiwi...HUYU ni MNAFIKI, CCM hatupo hivyo, ni heri anyang'anywe uanachama ili ajiunge na hao mgambo wa MTEI. Ni muda MUAFAKA kwa magamba mnao sitasita kuachia ngazi zote mara moja ili msichafuke zaidi...igeni mfano mzuri wa RA.....

Kidumu chama cha MAPINDUZI.......kilaaniwe chama cha wahuni na majambazi na kife mara moja ili kisicheleweshe MAPINDUZI ya KWELI.
 
KWANI WE HUJUI KUWA NAPE NA WANA CHCH EM WOTE NI HAMNAZO:target: WANATAPATAPA
 
Huyu Napee hana tofauti na Y. Makambaa, wametoa nazi kongwe wameweka nazi changa..
Mwisho wako unaonekana kirahisi
 
wakiwa viongozi sio mafisadi wakiondoka ni mafisadi,basi hata wewe ukiondoka ccm utaitwa fisadi,kwa sababu kama mtu huwezi kumtaja waziwazi kuwa wewe ni fisadi hatukutaki kwenye chama,kuna umuhimu gani wa yeye kuondoka kivyake na kisha useme ni fisadi?

Kitwa umekosea akiwa ndani ya ccm si gamba akiondoka ni gamba ? Hawa jamaa hawasomeki kabisa
 
Wana JF, niko na James Ole Millya hapa sasa hivi, na yuko mtandaoni, kesho naondoka kurudi R.S.A, mazungumzo yake na Kubunea yatachapishwa kwenye "magazeti ya KUBENEA" huyu Bwana anatufaa CDM, na hizo kelele za kujihami za NAPE zitaisha tu kwani naye anaomba ushauri jinsi ya kujiunga na CDM. Mwambie NAPE akanushe na HII. Mpigie Ole Millya katika number hizi number hizi 0754 840004.
 
We Nape we Fisadi ni nani. Kuwa makini n aunachisema ili usije haribu maana najua akuwa unakuja aa muds a sia muda siii mrefu huku cdm
 
Back
Top Bottom