Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
- Thread starter
- #21
Saint Ivuga, shida yangu si kumsafisha. Kwanza Lowassa mwenyewe mimi namfahamu kwenye TV na kwenye magazeti tu. Lakini hapa ninachotafuta ni haki. Mbona amesakamwa sana wakati kila nikichunguza sioni tatizo lake ni nini? watu wamekazania Richmond, lakini hakuna direct connection ya Lowassa na Richmond, kama ilivyo kwa Chenge - Rada na Rostam - Kagoda + Dowans. Sasa kwanini Nape anamkomalia sana kwamba ni Fisadi?msema ovyo unamsafisha Lowasa?