Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
unachekesha boy.. unachojaribu kufanya hapa ni kama vile umeenda mirembe dodoma then ukawapa wale wagonjwa wa akili mtihani.. lazima kutakuwa na wa kwanza na mwingine wa mwisho . but in generally wote ni wagonjwa wa akiliSuala la LOWASA kujiuzulu u PM wake ilikuwa uwajibikaji kwa makosa ya walio chini yake... To me EL is millions away better than JK. So far what has he said about country total Blackout??? NOTHING!!! Absolutely NOTHING!!! But am sure kama EL angekuwa ndo PM then lazima kungekuwa na jambo la haraka la kupunguza mgao huu...!!! he is ACTION TAKER... Thus why aliwaambia Viongozi wachukue uamuzi mgumu wao wakamjibu POLITICALLY... They didn't get EL concept....
Kilichobaki ni kumuita FISADI pasi na kuthibitisha ufisadi wake... YES mshikaji wake RA kapiga PESA mingi sana katika dealz kibao... Kama walikua wote then ITS EL, RA and JK who knows deep inside what happened!! But so far namuona LOWASA kama mkombozi wa hali tuliyonayo... For now nchi hii inahitaji DICTATOR kind of leader ambaye anaweza weka mambo kwenye mstari... Mfano mdogo ni RWANDA... Coming few months wataanza safari za CHINA to KIGALI (RWANDA AIRLINES) via NRB and DSM later at the same time wanaijenga KIGALI everyday.... That is KAGEMA ambae kwa nyumbani hapa namfananisha na LOWASA....