Edward Lowassa umeondoka bila kufumbua fumbo la Richmond.

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,621
46,267
Edward Lowassa kiongozi aliyekuwa katikati ya kisa cha Richmond, kampuni tata ya kufua umeme iliyosemekana kuwa feki na ya kwenye briefcase tu na iliyohusishwa na ufisadi mkubwa amehitimisha safari yake ya dunia bila kufumbua fumbo hilo mbele ya umma.

Kwa nini Lowassa hakuwahi kufikishwa mahakamani au kushitakiwa kutokana na kisa cha Richmond?

Itabaki kitendwali kwa nini hakutaka kuwataja wahusika wakubwa katika Richmond hata pale ambapo ilionekana ingemfaidisha kisasa japo alijaribu kutishia kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom