Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
I mean,seriously? Let me try Ritz,Rejao,Tume ya katiba,Zomba, Nnauye Jr, Nape Nnauye, kimbumga,majebere na kura za huruma inabidi wafike 9 for goodness sake bwa ha ha ha ha ha ha. Katibu mwenez my ..ckin azz
 
Yaani hapo Nape sawa na tractor na Mnyika sawa na Youtong. Je utakubali usafiri wa tractor?
 
Mnyika ni bora zaidi!!hutumia akili kufikiri..mwingine nadhani mshaelewa anatumia nini
 
Unaposema yupi ni mwanasiasa bora, nazani unapaswa kuweka vigezo. La sivyo kila mmoja ataliangalia katika "angle" yake na kuja na majibu yake, kwa sababu mbali ya wote kuwa ni wasemaji wa vyama vyao, lakini Mnyika ni Mbunge wakati Nepi siyo. Kwa hiyo kwa wakazi wa jimbo la Ubongo Mnyika atapimwa kama mbunge na kwa kazi zake za kibunge. Mi nadhani ungetupa vigezo vya kuwapimia kisha tukupe majibu.
 
Nape yupi unazungumzia? Kama ni wa kwetu ccm alipata division zero form four na six baadaye akaforge forge kama Nchemba ndo maana wote ni ma-vuvuzela
 
Unaposema yupi ni mwanasiasa bora, nazani unapaswa kuweka vigezo. La sivyo kila mmoja ataliangalia katika "angle" yake na kuja na majibu yake, kwa sababu mbali ya wote kuwa ni wasemaji wa vyama vyao, lakini Mnyika ni Mbunge wakati Nepi siyo. Kwa hiyo kwa wakazi wa jimbo la Ubongo Mnyika atapimwa kama mbunge na kwa kazi zake za kibunge. Mi nadhani ungetupa vigezo vya kuwapimia kisha tukupe majibu.

hata kama utasema ubunge vs usemaji wa chama haiondoi perception za kutoa maoni.

tunachoangalia si nafasi ya kiutumishi(ubunge) bali ni nafasi ya kisiasa aliyo nayo mtu. matashi ya mtu yaliyo mema yanayotokana na uadilifu wa kisiasa. Mfano kama nape angekuwa mwadilifu asingeweza yeye na nchemba kusema uongo kuhusu kesi ya ujumbe mfupi aliodai nchemba kutumiwa na mbunge wa chadema. mbona sasa hakwenda mahakamani kuhalalisha madai na uadilifu wa hayo aliyomtuhumu mbunge wa chadema.
 
Mmmmh kwa ndugu mtoa maada una yako maana hauko na usawa labda nikuulize kitu mwl na kilanja yupi??wakumsikia mwezake!!!!swali rahisi sana hilo jibu ni la haraka sana kama ulivyotaka sisi tukujibu hapo juu mimi sikujibu bali nataka wewe mwenyewe uujibu umma huu kua jibu ni rahisi na unalo waaaazi kabisa laakin kiukweli nimependa sana mada yako nadhani pasi na kuusisha ushabiki ulitaka kuwapa kitu wanajamii hii ASANTE NDUGU
 
Back
Top Bottom