Mnyika ni bora zaidi!!hutumia akili kufikiri..mwingine nadhani mshaelewa anatumia nini
Watu waweke na sababu zao.
Unaposema yupi ni mwanasiasa bora, nazani unapaswa kuweka vigezo. La sivyo kila mmoja ataliangalia katika "angle" yake na kuja na majibu yake, kwa sababu mbali ya wote kuwa ni wasemaji wa vyama vyao, lakini Mnyika ni Mbunge wakati Nepi siyo. Kwa hiyo kwa wakazi wa jimbo la Ubongo Mnyika atapimwa kama mbunge na kwa kazi zake za kibunge. Mi nadhani ungetupa vigezo vya kuwapimia kisha tukupe majibu.
Watu waweke na sababu zao.