Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
ha ha ha ha ha!! how dare u ? jj vs nape?
da two persons are not well matched to each other!!!!
Jj is beyond comparison!!!
 
Ndugu zangu,
napata wakati mgumu sana kuelewa ni vigezo gani vimefanya mleta mada akaamua kuwalinganisha Nape na Mnyika na hata kuwashindaninisha Nape na Mnyika, mim naona kama Mnyika anamzidi Nape kwa kila hali, ingekuwa vema kama nape angelinganishwa na watu wenye upeo mdogo kama yeye na sio Kamanda Mnyika.

Magoma Jr
 
Angalau mngempambanisha Mnyika na J Makamba..... nape hapa hasogei kabisa!
 
Huyo Nape akajinoe kwanza ashindane na Hawa Ng'umbi akishamuweza ndo mje mumpambanishe na Shibuda baada ya hapo apitie kwa masalia wengine mwishon ndo mje kwa Mnyika. Muanzisha mada umeruka watu wengi sana: tafadhali uanzishwe Uzi mwingine kati na Nape na John lakin this time asiwe John Mnyika bali awe John SHIBUDA
 
Back
Top Bottom