ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 555
si agombee 2015? Tukate ngebe na umbea.laiti NAPE angegombea ubungo mnyika angeusikia ubunge redioni
si agombee 2015? Tukate ngebe na umbea.laiti NAPE angegombea ubungo mnyika angeusikia ubunge redioni
Yaani hapa ni Phillips sav na Samsung Galaxy.................Nape ni Phillips
kama kichwa cha habari kilivyojieleza hebu tuchangie wanajamvi.
Mpambano haupo fair. John ni Jembe jamani. Labda Mimi na Nape
angalau mngempambanisha mnyika na j makamba..... Nape hapa hasogei kabisa!
mnyika kakosewa heshima,aombwe radhi..