Dr. Mwigulu Nchemba
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 416
- 2,037
Nashukuru sana, yakujifunza nayachukua nayaliyo wajibu wangu nitatekeleza na pale panapohitaji kusema kwenye vikao nitasema ukweli cos nisiposema watz watasema kwa kalamu. All in all tunapojadili Tanzania na vitu vinavyosababisha watanzania waendelee kuwa na hali mbaya tuko pamoja. Mtaamini tutakapokuwa tunaongelea katiba nawaomba watanzania rasilimali na uzalendo viwe msitari wa juu. Vyama vipo kwa sababu Tanzania ipo bila tanzania hakuna chama hata kimoja. Asanteni tutaendelea kubadilishana mawazo na mengine tuongee na kwa cm tupeane througj fb