liverpool2012
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 102
- 23
Mwigulu mwigulu mwigulu ahaaa nimemkumbuka ni yule anayependa wake za watu ,je mali za uma si ndio mbakaji kabisa.
Mwigulu mwigulu mwigulu ahaaa nimemkumbuka ni yule anayependa wake za watu ,je mali za uma si ndio mbakaji kabisa.[/QUOTE
I hate this behaviour, wakati tunajadili issues wewe una kuja na narrow minded za kudiscuss watu ili upotoshe mjadala.Tuheshimu jukwaa basi na tabia zenu za uswahilini kihivyo.
Nachukia mtu aliyeboronga kuhamishwa, hata mvivu tu kulelewa cos kuna watu wengi sana wanatafuta kazi. Inawekana awamu ya kwanza ilihamisha watu walioboronga sawa wasomi hawakwepo niliwahi kufuatilia nikaambiwa sheria zinawalinda waborongaji kuwa ukimfukuza utamlipa hela nyingi. Bila ubishi tuziangalie upya sheria hizo. Tuwasiliane kwa facebook nikupe cm kwa ushauri. Nakuelewa you have a point
Well spoken Nchemba lakini tatizo kubwa ni Serikali ya Chama cha Mapinduzi kushindwa kuwawajibisha watu hawa zaidi ya kuwahamisha vituo vya kazi kila wanapoboronga. Pia hao magamba wa kisiasa nani atawawajibisha, sitafuni maneno namaana Lowassa,Chenge,Rostam na wengine ngazi ya mkoa na wilaya.
Majizi wametumia siasa ama tiketi ya chama kujinufaisha still wanapeta.Tazama maisha ya viongozi wetu na waliowaweka madarakani ni sawa na mbingu na ardhi.Mtazame Nape alivyoota mbawa,hakubali ushauri wala mawazo ya vijana wenzie kisa eti kapanda Cheo (Katibu Muenezi) na Vx juu mali ya wanachama na watanzania.
Mwigulu kuna kazi kaka,kweli mimi ni wakuongea na Nape nimpe ushauri mdogo wangu, ananiambia yuko busy sana labda aniassign mtu eti niwasilishe mawazo yangu.Hii ni ishara ya kulewa madaraka, hapa ndipo pazito si watumishi wa chama wala serikali ''wote manzi ga nyanza''.
Naamini kuwa wewe ni ccm damu (kwa kauli yako hii)! Na wewe naomba niambie, una sababu gani ya kutojiunga na CHADEMA kama nilivyofanya juzi? Naomba usome articles za Jenerali Ulimwengu zinavyosema ambae ni Mwana ccm wa kutupwa - japo ni ccm aliyoiacha Nyerere (ambayo hata Dr Slaa ambae leo ni mwiba wa ccm ya leo alikuwa mwanachama wake)
Sijasema sheria zinatumiwa read between line ni nimesema
mipango kama mkukuta, ITC Iliyotumika Rwanda etc. Sheria sijaisifia natamani kwa jinsi watu walivyokosa uzalendo Tz tupate sheria za Asian min tiggets tuwe na sheria kali kuhusu matumizi ya ofc za umma na rasilimali za taifa. Ujasiri bila sheria sio afya sana. Huenda wengine wanafanya makosa baada ya kusoma mapungufu ya sheria. Mimi sitaki kuamini kuwamakosa yote ya watumishi wasio waaminifu wamefanya kwa bahati mbaya. mbona wengine wasomi
Mkuu heshima kwako! Unajua ccm ndo wenye uwezo wakufanya hayo yote hebu niambie unakwama wapi kuyasema hayo kwenye vikao vya chama, au ndo yaleyake yakumwogopa lowasa!Sijasema sheria zinatumiwa read between line ni nimesema mipango kama mkukuta, ITC Iliyotumika Rwanda etc. Sheria sijaisifia natamani kwa jinsi watu walivyokosa uzalendo Tz tupate sheria za Asian min tiggets tuwe na sheria kali kuhusu matumizi ya ofc za umma na rasilimali za taifa. Ujasiri bila sheria sio afya sana. Huenda wengine wanafanya makosa baada ya kusoma mapungufu ya sheria. Mimi sitaki kuamini kuwamakosa yote ya watumishi wasio waaminifu wamefanya kwa bahati mbaya. mbona wengine wasomi
Mwigulu leo sikuelewi au ndo PASAKA? nimeiangalia ID yako mara mbilimbili!
Mkuu heshima kwako! Unajua ccm ndo wenye uwezo wakufanya hayo yote hebu niambie unakwama wapi kuyasema hayo kwenye vikao vya chama, au ndo yaleyake yakumwogopa lowasa!
Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI. KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU. ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU. WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO
Naamini kuwa wewe ni ccm damu (kwa kauli yako hii)! Na
wewe naomba niambie, una sababu gani ya kutojiunga na CHADEMA kama nilivyofanya j
uzi? Naomba usome articles za Jenerali Ulimwengu zinavyosema ambae ni Mwana ccm wa kutupwa - japo ni ccm aliyoiacha Nyerere (ambayo hata Dr Slaa ambae leo ni mwiba wa ccm ya leo alikuwa mwanachama wake)