Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

kama ndivyo kwann Rostam mwenyewe alidai anaachanana siasa uchwara zinazoendeshwa tz. Kwan kuliliwa ndio

maendeleo kumbuka last year Jk alipo watusi waalim, ilikuwaje. Usiende kwa ukada bali kwa logic
Ni kweli Tanzania siasa bado haikakuwa! Rostam hajakosea..tuna vyama vingi especially vya upinzani mbavyo havina mbele wala nyuma!
Hawana sera za kumshawishi mtanzania wa kawaida kuwakubali..kazi yao ni kulalama tu na kuandamana!

Tumia akili zako za kichwani kidogo acha kutumia masaburi kufikiri. Ina maana basi Lyumba aachiwe huru kwa sababu pamoja na wizi wake lakini aliwawezesha akina dada kwa kuwanunulia Rav4 nyekundu!

Hapa huyu mtu anahukumiwa ni fisadi, ndio kitu alichotakiwa asikifanye. Kuleta maendeleo kwenye jimbo lake ndio kazi ya Mbunge

Irrelevant comparison

Can some one be specific plz! hizi stori za Rostam amefanya mambo makubwa, amefanya mengi Igunga, ameonyesha mafanikio kwa nini haiwi substantiated ili akalinganishwa na wengine?????? Maana from the talk ni kama vile huko Igunga ni paradise wakati usikute hapo hapo Igunga mjini kuna watoto wanakaa chini darasani, madumu kama kawa. Na after all mbunge bora napimwaje?? Nini vigezo vya mbunge bora?

Na hela zetu je? Asilimia ngapi ya hela anazotuhumiwa kufisadi ameziwekeza hapo Igunga kwa faida ya wana-Igunga? Just think of Kagoda 30Bn, 10% ni 3bn, je kuna mtu anaweza kukwantify thamani ya hayo mambo makubwa yaliyofanywa na Rostam Igunga?

Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

Katika hatua inayoonyesha unafiki wa Nape na uongo wake uliotukuka wa kuwahadaa wananchi wa Igunga, Nape ameanza kumsifia Rostam Aziz huku akiomba watu wasimbeze kwa kuwa amefanya makubwa huko Igunga. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo, Nape amesema kazi aliyoifanya Rostam ndio kigezo cha ushindi wao huo Igunga.

Naomba watu wa Igunga msidanganyike tafadhali, huu uongo wa CCM wa kujipendekeza siku za uchaguzi unatakiwa ukataliwe kwa vitendo kwa kuwakataa huko Igunga. Nape anawafanya watanzania ni wajinga, kwamba anaweza kusema chochote leo na kesho akasema kingine na watu wakamsikiliza. Nape siasa za kuhadaa watu hazina nafasi kwenye dunia ya sasa, acha unafiki wako.

Unafiki wa Nape watanzania wamesha ustukia Leo ana msifu Rostam kwakua wanataka kuwapumbaza wa Igunga kesho ata msifu fisadi Chenge ili washinde Bariadi, wapiga kura wa Igunga waonyesheni CCM kwa vitendo kwa kuwanyima kura ili waondoe dhana ya kuona watanzania ni mabwege

Rostam hawezi kuepuka kumpigia debe mgombea wa chama chake, amelazimishwa atake, asitake.

Kamati kuu ya ccm ilimwambia kama atakataa kumkampenia mgombea wa ccm, itaanika mambo yake hadharani. Kwahiyo mtakavyomuona Rostam kapanda jukwaani Igunga ni kwa sababu ya kuiridhisha ccm.

Lakini jamaa hana hamu na CC ya chama chake na hakutaka kabisa kushiriki ila hana jinsi, isipokuwa kuitegemea ccm ili madhambi yake yawekwe pending.

Man huu uzushi.. una ushahidi gani kama rostam kalazimishwa....

kwa mahaba na mapenzi yake ya chama tawala ndio maana afanya hivo

Hapo sioni Unafiki wowote!

Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)

Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.

Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.

Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?

Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.

Acha ujinga bana mtu hawezi akakutangaza kwamba wewe ni mwizi,alafu tena baadae akakusifia kwamba wewe ni mtu mwema,je huyo si mnafiki?siwezi shangaa kwani wana CCM wote ni wanafiki.

Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

Katika hatua inayoonyesha unafiki wa Nape na uongo wake uliotukuka wa kuwahadaa wananchi wa Igunga, Nape ameanza kumsifia Rostam Aziz huku akiomba watu wasimbeze kwa kuwa amefanya makubwa huko Igunga. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo, Nape amesema kazi aliyoifanya Rostam ndio kigezo cha ushindi wao huo Igunga.

Naomba watu wa Igunga msidanganyike tafadhali, huu uongo wa CCM wa kujipendekeza siku za uchaguzi unatakiwa ukataliwe kwa vitendo kwa kuwakataa huko Igunga. Nape anawafanya watanzania ni wajinga, kwamba anaweza kusema chochote leo na kesho akasema kingine na watu wakamsikiliza. Nape siasa za kuhadaa watu hazina nafasi kwenye dunia ya sasa, acha unafiki wako.

siku zote nasema WANASIASA VIGEUGEU

Acha ujinga bana mtu hawezi akakutangaza kwamba wewe ni mwizi,alafu tena baadae akakusifia kwamba wewe ni mtu mwema,je huyo si mnafiki?siwezi shangaa kwani wana CCM wote ni wanafiki.
Siyo wanafiki!
Wanaijua siasa vizuri!!

serekali makini
View attachment 36554
hipo siku kitanuka tu

ccm ccm ccm.jpg

imekuwa kawaida sasa kuwa mtu yeyote anaweza kuja na kuongea lolote hapa Tz na akapita, akaiba chochote na akaenda zake, akatukana yeyote na asikamatwe nk, nk, nk. Nashindwa hasa kuelewa kama kuitwa tu 'MTANZANIA' ndio maana ya kuwa mmiliki wa nchi hii. Hawa jamaa wamepoteza kabisa mwelekeo lakini hakifanyiki chochote!! na atasema mengi huko japo hakuna atakayehoji kwa vile nchi haina mwenyewe!!!
Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

@Labda ni matokeo ya muafaka kati ya Kikwete na Rostam tuliousikia wiki iliyopita. Maana mwanzoni tuliambiwa kuwa Nape alipigwa stop na mwenyekiti kwenye kamati kuu(iliyokaa Dodoma) kwenda Igunga, na Nape hakwenda kule kabisa, lakini baada ya Kikao kingine cha Kamati kuu (juma lililopita Ikulu-Dar), alipewa ruksa ya kwenda Igunga, Na sasa amekwenda&anamsifia sana Rostam. Hakuwahi kufanya hivyo kabla hadharani wala faragha. @Au labda ni matokeo ya utafiti wa makada wa chama waliokwenda Igunga kabla (Nchemba, Msekwa nk), na kugundua kuwa Rostam ndio alikuwa nguzo kuu ya ushindi kwa CCM Igunga, na Nape ndio mtaji mkubwa uliobaki kwa sasa wa kuwashawishi wana CCM waendelee kukipigia kura chama chao? @Kwa ujumla inaoneka uchaguzi wa Igunga utakuwa mgumu sana kwa CCM, kwani kabla hata kampeni kuanza tayari wamesha change stratergies kama mara tano hivi. This is political rescue stratergie, means can either bring positive results or completely failure!! What next? Lets wait and see.

Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

Hapo kwenye red,
Hivi unaona raha gani kumtukana Nape, kwa nini usiandike bila dharau? Hata kama humpendi au unataka sifa toka kwa wachangiaji, fahamu wako wengi wanaompenda Nape, haijalishi utamtukana vipi lakini ni kiongozi na anayo heshima yake kama mTZ.
Kwa taarifa yako Nape atakuja kuwa kiongozi mkubwa serikalini, hupende usipende huu ndo ukweli.
Kama unavotaka kuheshimaka mpe heshima yake nape then jenga hoja.
Mi si mwanachama wa chama chochote kwa sasa, lakini sipendi dharau kama hizi.
Wewe una nini zaidi ya Nape? Acha hizo bana

...Gamba linapo jivua na kujivaa aaah mbona huyo nyoka atakua wa msukule?

Hapo sioni Unafiki wowote!
Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)
Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.
Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.
Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?
Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.

Nimepitia hayo mambo makubwa yanayo semwa kwamba RA kayafanya Igunga nikaona ni 3 na yote ni mepesi sana sana .Sasa sijui kipi kiliwaliza wale watu anyway wacha tuone game litaendaje ila CCM kwa kweli wana hadaa mno wananchi .

Back
Top Bottom