Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

Hapo sioni Unafiki wowote!
Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)
Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.
Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.
Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?
Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.
kama ndivyo kwann Rostam mwenyewe alidai anaachanana siasa uchwara zinazoendeshwa tz. Kwan kuliliwa ndio
maendeleo kumbuka last year Jk alipo watusi waalim, ilikuwaje. Usiende kwa ukada bali kwa logic
 
Hapo sioni Unafiki wowote!
Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)
Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.
Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.
Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?
Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.
Wewe Rejao hata maana ya neno unafiki huijui, magamba yamefunika ubongo wako hata kufikiri tena huwezi, dhambi ya unafiki wenu inawatafuna. Nape huyu alikuwa anatuambia ubaya wa rostam juzi tu na kutaka kumfukuza kabla rostam hajaamua kuachia ngazi kukwepa aibu ya kufukuzwa, leo rostam amekuwa mzuri?, huu ndio unafiki wa Nape aliouzungumzia muanzisha thread.
 
You have to give the devil his due. Rostam alikuwa fisadi upande mmoja lakini upande mwingine ni mwanamaendeleo na mchangiaji mkubwa sana. Amesidia miradi mingi sana ndani ya Igunga na hata nje yake. Kwahiyo sidhani kama kuna tatizo tukimpa sifa zake ingawa ni kweli ameshiriki kwenye ufisadi mkubwa sana.
Nakubali lakini kwa nini sasa wakati wa kampeni za Igunga? Hii si kutaka kupata kura kwa hadaa? Wanaigunga watawahukumu kwa kumchafua mtu alowaletea maendeleo. Kuanza kumsifu Rostam saa hizi hakuna mshiko, afadhali hata angesifiwa na mtu mwingine lakini si nape.
 
Ama kweli... Kumbe ni haki kabisa huyu mtu kuitwa VUVUZELA!!! Hayo ya RA yameingiaje kwenye kampeni sasa??!!!
 
Nape afafanue kwa waliozimia na kulia kuondoka Rostam ni maana ya kujivua gamba na Rostam aeleze nini maana ya siasa uchwara.
 
Kwani mmesahau kuwa Kikwete alimpigia kampeni Mramba kwa sifa kemkem wakati serikali yake ikiwa imeshamfungulia kesi ya kutumia vibaya madaraka na kuitia hasara nchi? Kwa mtazamo wangu Nape siyo issue hapa yeye anafanya kile anachoagizwa na wakubwa wake wa kazi.
 
Huenda anafanya-chorus ya kale ka wimbo ketu 'timua mafisadi timua'timua rostam timua...
 
Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

Katika hatua inayoonyesha unafiki wa Nape na uongo wake uliotukuka wa kuwahadaa wananchi wa Igunga, Nape ameanza kumsifia Rostam Aziz huku akiomba watu wasimbeze kwa kuwa amefanya makubwa huko Igunga. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo, Nape amesema kazi aliyoifanya Rostam ndio kigezo cha ushindi wao huo Igunga.

Naomba watu wa Igunga msidanganyike tafadhali, huu uongo wa CCM wa kujipendekeza siku za uchaguzi unatakiwa ukataliwe kwa vitendo kwa kuwakataa huko Igunga. Nape anawafanya watanzania ni wajinga, kwamba anaweza kusema chochote leo na kesho akasema kingine na watu wakamsikiliza. Nape siasa za kuhadaa watu hazina nafasi kwenye dunia ya sasa, acha unafiki wako.

Nape ni kigeu geu mwanasihasa ni kigeu geu
 
wana ja hamjamuelewa Nape ... yeye keshajua hatakiwi Igunga sasa wakuu wake wamemuambia amsifie ndipo apate kukubalika Igunga kwani Nape hatakiwi hata kuonekana Igunga na kichama lazima aende so anatumia propaganda za kupokelewa igunga... Siasa uchwara na moyoni Nape hampendi Rostam abadan
 
Nape anajidhalilisha mbele ya watanzania wenye akili timamu ila walio vipofu ndo watamuona anafaa...huyu jamaa anajikontradict sana maana hata kwenye mdhahalo wa kuelezea sera za vyama uliofanyika last week alikuwa anajikanyaga tu pengine haelewi anachokifanya yaani huyu ni zaidi ya vuvuzela....!
 
Hapo sioni Unafiki wowote!
Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)
Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.
Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.
Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?
Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.

Rejeo
Kama kweli nape alikua anayajua hayo anayoyasema sasa kwa nini alimwita RA gamba na kumshurutisha kwamba atoke kwenye chama.
Watanzania wa leo si watoto wadogo, hapa inaonyesha wazi jinsi gani ssm ina uchu na madaraka.
 
Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

Katika hatua inayoonyesha unafiki wa Nape na uongo wake uliotukuka wa kuwahadaa wananchi wa Igunga, Nape ameanza kumsifia Rostam Aziz huku akiomba watu wasimbeze kwa kuwa amefanya makubwa huko Igunga. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo, Nape amesema kazi aliyoifanya Rostam ndio kigezo cha ushindi wao huo Igunga.

Naomba watu wa Igunga msidanganyike tafadhali, huu uongo wa CCM wa kujipendekeza siku za uchaguzi unatakiwa ukataliwe kwa vitendo kwa kuwakataa huko Igunga. Nape anawafanya watanzania ni wajinga, kwamba anaweza kusema chochote leo na kesho akasema kingine na watu wakamsikiliza. Nape siasa za kuhadaa watu hazina nafasi kwenye dunia ya sasa, acha unafiki wako.

Nape ndio viongozi vijana wanaojengwa na kuandaliwa na CCM kuja kushika hatamu ya uongozi katika nchi hii....kwa mwelekeo huu sijui mambo yatakuwaje miaka 20 ijayo katika nchi yetu...........Nakupenda Tanzania ila kuna watu wanakuaribu,kama akina Nape....
 
Yule vuvuzela wa CCM Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.

Katika hatua inayoonyesha unafiki wa Nape na uongo wake uliotukuka wa kuwahadaa wananchi wa Igunga, Nape ameanza kumsifia Rostam Aziz huku akiomba watu wasimbeze kwa kuwa amefanya makubwa huko Igunga. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo, Nape amesema kazi aliyoifanya Rostam ndio kigezo cha ushindi wao huo Igunga.

Naomba watu wa Igunga msidanganyike tafadhali, huu uongo wa CCM wa kujipendekeza siku za uchaguzi unatakiwa ukataliwe kwa vitendo kwa kuwakataa huko Igunga. Nape anawafanya watanzania ni wajinga, kwamba anaweza kusema chochote leo na kesho akasema kingine na watu wakamsikiliza. Nape siasa za kuhadaa watu hazina nafasi kwenye dunia ya sasa, acha unafiki wako.
siasa haina rafiki au adui wa kudumu,hii ndio siasa dunia nzima baba ushamba wako ndo unaokusumbua.
 
RA ni "Baba wa Taifa" la "Igunga" na kwenye siasa za bongo hasa za majukwaani hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Moja sifa kuu alizonazo dogo Nape ni mzuri mno kusoma alama za nyakati. Uchaguzi huu wa Igunga ndio mtihani mzito wa pili kwa sekretarieti hii mpya ya CCM. Mtihani wa kwanza wa kuvua magamba wanaelekea kupata 33% tu.
 
RejeoKama kweli nape alikua anayajua hayo anayoyasema sasa kwa nini alimwita RA gamba na kumshurutisha kwamba atoke kwenye chama.
Watanzania wa leo si watoto wadogo, hapa inaonyesha wazi jinsi gani ssm ina uchu na madaraka.
Rostam pamoja na tuhuma alizopata still ni mwanachama halali wa CCM!
Ana kila haki ya kushiriki mambo yote yahusuyo CCM!
Sioni tatizo lolote yeye kutumiwa katika kampeni za CCM. Anapendwa na wananchi wa Igunga!
 
Wewe Rejao hata maana ya neno unafiki huijui, magamba yamefunika ubongo wako hata kufikiri tena huwezi, dhambi ya unafiki wenu inawatafuna. Nape huyu alikuwa anatuambia ubaya wa rostam juzi tu na kutaka kumfukuza kabla rostam hajaamua kuachia ngazi kukwepa aibu ya kufukuzwa, leo rostam amekuwa mzuri?, huu ndio unafiki wa Nape aliouzungumzia muanzisha thread.
Nape hajamsifia Rostam,
Amesifu kazi Rostam aliyofanyia wananchi wa Iginga! Nape hapa antaka kuonyesha kazi nzuri inayofanywa na wabunge wa CCM despite their allegations!
 
Back
Top Bottom