Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

Inatia moyo sana!...

Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k

Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM

Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa

More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula

kumbe wamefunika. Chadema wakija watafunua.
 
Acha uzandiki kijana mbona kimya wa2 ni wachache na chakushangaza walikua waanze kuhu2bia saa sita mchana mpaka naondoka mkutanoni saa nane na nusu bado hawajaanza kuhu2bia kuwa muwazi..
Kuhusu kufungwa kwa barabara hakuna ki2 kama icho cha kushangaza ni hata njia ya kwenda kigoma mjini ni nyeupe ambapo 2litarajia ya kwamba kutafurika wa2 kutokana na kuwa na office za ccm ila hali ni tofauti na ilivyotarajiwa tafuta..
2achie kigoma ye2 kama ww c wa huku 2naona wenyewe kinachoendelea hapa mkutanoni natafuta picha niziweke hapa kwa more update soon
 
Uongo mwingine huu ni lazima uwe na roho ngumu. Hakuna kitu kama hicho zaidi ya mafuso kusomba watu toka Kazuramimba, Uvinza, Mahembe n.k na hayo mafuta ya bure yanayotolewa na kituo cha GBP hapa CCM. Lete taarifa za kweli
 
Inatia moyo sana!...

Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na.......

Kuna barabara MBILI tu mkuu: Kigoma - Ujiji NA Njiaa panda mwanga to Kasulu
 
kipuri,
Mi nataka picha angalau tatu tu za huo Mkutano iliyopigwa kutoka Jukwaa kuu kutazama Umati wote na hizo picha siyo zile ambazo zimekuwa Zoomed! Nasubiri niamini unayoyasema.

Doubt yangu ya kwanza ni kwa nini wewe peke yako tu ndiye unaleta upadate za huo Mkutano? Kule NMC Unga Limited kukiwa na mkutano tunapata update kutoka kwa wetu wengi sana akiwemo Crashwise, Ephata Nanyaro, Ndalo, nk. Kwa mazingira ya kupata update kwa watu wengi ni ishara tosha mkutano umejaa kweli kweli.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Acha uzandiki kijana mbona kimya wa2 ni wachache na chakushangaza walikua waanze kuhu2bia saa sita mchana mpaka naondoka mkutanoni saa nane na nusu bado hawajaanza kuhu2bia kuwa muwazi..
Kuhusu kufungwa kwa barabara hakuna ki2 kama icho cha kushangaza ni hata njia ya kwenda kigoma mjini ni nyeupe ambapo 2litarajia ya kwamba kutafurika wa2 kutokana na kuwa na office za ccm ila hali ni tofauti na ilivyotarajiwa tafuta..
2achie kigoma ye2 kama ww c wa huku 2naona wenyewe kinachoendelea hapa mkutanoni natafuta picha niziweke hapa kwa more update soon


wewe ulienda mkutano gani? Mkutano ni pale Mwanga Community kaka, njoo ujionee
 

KIGOMA JUU ZAIDI!!

bora yeye ana piga picha kwa shughuli maalum kuliko wewe unavyo jipendekeza kwa wema na wenzie ili utolewe kwenye magazeti ya udaku! Lakini umefanikiwa!

Na hilo limekuharibia sana, maana mwembe zote kule,sikujua na wewe unapenda uonekane na wema.
 
bora yeye ana piga picha kwa shughuli maalum kuliko wewe unavyo jipendekeza kwa wema na wenzie ili utolewe kwenye magazeti ya udaku! Lakini umefanikiwa!

Na hilo limekuharibia sana, maana mwembe zote kule,sikujua na wewe unapenda uonekane na wema.


hapa kuna shughuli gani maalum, au wananchi wa Kigoma walimtuma akafanye huu upuuzi
 
Mkutano umeshaanza? Selukamba,Ngezabuke viti maalum,Waziri Chiza nao wapo?
 
Jamani msidanganywe kuna rafiki angu tuko kampuni 1 but yy yuko kg nimemuuliza Mwanga kunani akasema anasikia kuna waziri gani sijuwi anakuja,vipi nyomi akajibu hamna watu .kama mnabisha nitatupia no yake mumtwangie naandika saa 15:30 hii
 
Inatia moyo sana!... Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula
Huyu nape ni kukosa dira ya kujenga chama,huku zanzibar tunatatizo la vilio vilivyosababishwa na watendaji wa serikali ya chama tawala.Kuna tume ilitakiwa itoe ripoti ya spice islanders, lakini mpka leo haijatoka, mboka hasisitiszi tuipate kujua kulikoni?pia viatu vya kuwa mataalamu wa itikadi ya chama ni vikubwa kwake, maake chama hakina mwelekeo, kama bajeti mfu ya sekta ya kilimo amabyo ndo uti wa mgogo wa sekta ya ajila ya walio wengi.Hakupashwa kuhangaika kuzurula hiyo ni picnic, angetulia akapata hoja nn wananachi wanataka, kama kuwajali walio wengi ambapo kwa sasa ccm haina sera hiyo.Matajiri na wachache weingine walionanacho ndo uti wa mgogo wa chama
 

KIGOMA JUU ZAIDI!!
Before nilidhania ni mwanasiasa lakini sasa nimegundua wewe na wema sepetu afadhali ya wema sepetu kuliko Wiliam malecela kuwa kiongozi, kiongozi unaona sifa kuwekwa kwenye udaku na mademu. na kwa nini upige picha nyingi na mademu,? au kuna kitu unaficha unaogopa usipoonekana na mademu watu watadhani vinginevyo???
 
Back
Top Bottom