Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

Hivi chadema propaganda centre iko located wapi vile?
Nasikia wanahitaji laptop mpya 100 ajili ya kitengo hicho kwani kuna vijana wapya mia wameajiliwa ajili ya kupost humu lakni hawana vitendea kazi.
Naitaka kandarasi hio ya kusupply laptop.
 
Ww ni kuku tu usitukani wana kigoma tusi kubwa kama hilo kutwambia ss kuhusu ccm.chama cha magamba sisi wana kigoma sio na magamba(ccm) wapi na wapi?.Nape anakulipa shilingi ngapi mtoa mada kututukana wana kigoma!.mpe taarifa hana chake kigoma akawadanganye wana ccm wenzake.
 
Nimesoma mahojiano ya Nape kwenye BANG! Magazine,

Nimeshangazwa na usemi wake wa kuviita vyama vya upinzani pressure groups!!

Hivyo muungano wenu na CUF ni CCM plus pressure group?

Kama mnapambana na pressure groups hakuna haja ya mikutano yenye kuita na mawaziri kusema mmetimiza ahadi, kwani kama mmetimiza ....chema chajiuzaaaaaaaaaa.....sasa mbona mwajitembeza na pressure groups?

Huyu Nepi, ooops! Nape naona anachanganyikiwa. Mara wanaohama kwenda vyama vingine ni oil chafu, sasa ye leo anatarajia kupata wanaotoka vyama vingine kwenda CCM, hao ni nini?
 
Magamba utawajua tu!!

Huyo muongo sanaa mie nipo kigoma wamesha anza kukusanya watu kwa magari matangazo mengi wanatupigia fujo tu
Wanataka kumulipa zitto kwa tamasha alilolifanya la leka tutigite hawawezi
Wamekodi bodaboda zote lakini watu hat a hawawajali
 
wanaenda kuhitimisha rasmi kifo cha wauwaji wa chadema.wameenda singida badala ya kutangaza sera wakauwa kijana wa watu.chadema ni janga la kitaifa
 
Kigoma inavamiwa na genge la wahuni, walaghai na mafisadi.

yale majambazi yaliyouwa kule singida - iramba tumeyaarest na bado tunaendelea kuyatafuta mengine.yalitoka kaskazini yamekuja hapa kuua ndugu zetu ili yapewe madaraka,tukasema noooooooooooo.hatuyataki.
 
Hivi kuna haja gani ya kuandaa mkutano na kupayuka kwamba CCM imefanya hivi an hivi na vile!? kwani wananchi hawaoni hayo ''mafanikio''? actions speak louder than mere words.

NAPE na genge lake la wahuni waende pale Kigoma na waambie wananchi at least mambo haya

1) Lini Kigoma watapata maji ya uhakika
2) Lini wataunganishwa kwenye Umeme wa gridi ya Taifa
3) Lini ujenzi wa barabara ya lami kutoka Nyakanazi - Kibondo- Kasulu mpaka Kigoma mjini utaanza na kukamilika.

Timelines zinahitajika hapa na sio blah blah nyinginezo
 
Nape my brother don't you know that you are in Mortuary, busy resuscitating died bodies expecting life in them.
 
utakuwa na swaumu kali wewe kafungulie
imekuwa ndio mazungumzo katika kila kona na vijiwe, wengi wao wamesema tumechoka na hiki chama cha cdm kwa ubaguzi wanaoufanya kwa zitto kabwe kwa kuwa tu katangaza nia yake ya kugombea urais anakuwa anapigwa vita na watu wa kaskazini, wanasema kigoma ilikuwa ngome ya chadema lakini sasa tumechoka na chama, tunaamua kurudi ccm kwanza wametekeleza kwa 90% yale yote waliyoahidi kwa mkoa wetu, hatuoni sababu ya kuendelea tena kukikumbatia chama kina choendesha endesha siasa zake kwa kutumia udini na ukabila!!! Tunarejea kwa mama. Walisema wakazi hao wa ujiji.
 
Hahahhaaaaa ndo wanakwenda kutimiza ahadi ya M/kiti wao, kuifanya Kg kama Dubai?
 
Kweli Magamba wamefilisika,hivi Kweli Wassira ni mtu wa kumpandisha jukwaani?mi naona hawaendi kunadi sera bali wanaenda kusema walichowaibia wananchi.
 

mkienda kigoma leo waambieni watu wahuko kwamba mmefuta siasa za ujamaa na kujitegemea.
Kwa sasa ni mfumo wa kifisadi ndi mnaoufuata.
Waziri yeyote akiiba anajiuzuru tu hakuna mashitaka.
Ccm haina msemaji kila mtu hata akiwa msalani anakuwa msemaji wa chama.
Siku 90 za mafisadi uliteleza hamkumaanisha hivyo ilikuwa miaka 90.
Ccm imeanzisha kitengo cha chinjachinja ikizidiwa hoja.
Katika hotuba zenu 90%ya muda wenu muutumie kuwasema chadema tu
hapo mtapata kadi nyingi za chadema.
 

​mkienda kigoma leo waambieni watu wahuko kwamba mmefuta siasa za ujamaa na kujitegemea.
Kwa sasa ni mfumo wa kifisadi ndi mnaoufuata.
Waziri yeyote akiiba anajiuzuru tu hakuna mashitaka.
Ccm haina msemaji kila mtu hata akiwa msalani anakuwa msemaji wa chama.
Siku 90 za mafisadi uliteleza hamkumaanisha hivyo ilikuwa miaka 90.
Ccm imeanzisha kitengo cha chinjachinja ikizidiwa hoja.
Katika hotuba zenu 90%ya muda wenu muutumie kuwasema chadema tu
 
​akitumia 50% ya muda wao kuelezea chama chao kinafanya nini nitajiunga na ccm hawana sera
 
nafikiri hawajamsahau lusinde domo chafu kumsaidia maana mwigulu ni mgonjwa anafikiria kesi ya mauwaji atavyoumbuliwa na watuhumiwa wale walio polisi
 
Back
Top Bottom