Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

​ataanza kuzungumzia story za marando hoo wafute kauli mara ni chama cha ukanda kweli ccm kwishney
 
Aisee hata mimi aki tiririka hizo mambo apo juu natupa kadi yangu
ya cdm fasta!
 
Mtaji wa ccm wa ujinga wa watanganyika ndo unaisha taratibu.Kufikia 2014 utakuwa umeshakwisha kabisa na 2015 ccm itabaki historia
 
Katika hali ya kawaida Kigoma palikuwa mahali pa ccm kupaogopa kama ukoma maana wametekeleza almost 0.2% ya ahadi walizoahidi.
Hii ya Kigoma kuwa kama Dubai hakika naamini kabisa kuwa huenda siku hiyo mkubwa alikuwa amepata Konyagi ambayo ni counterfeit inayotengenezwa Unga-Ltd.
Haiwezekani ktk hali ya kuwa sobber uahidi wananchi wako kuwa utawateremshia Mbingu!
Sielewi kwanini JK aliamua kujidhalilisha kiasi hicho.
 
​hujamuelewa ni kuwa ccm haina sera itaenda kigoma kutuka chadema tu si sikuhizi tunawarekodi kwa ushahidi wajinga ndio waliwao poor ccm
kwani ww malaya au unafuata bendera kama upepo? Nyie watu ambao hamna msimamo nendeni chama cha mabwepande
 
Katika hali ya kawaida Kigoma palikuwa mahali pa ccm kupaogopa kama ukoma maana wametekeleza almost 0.2% ya ahadi walizoahidi.
Hii ya Kigoma kuwa kama Dubai hakika naamini kabisa kuwa huenda siku hiyo mkubwa alikuwa amepata Konyagi ambayo ni counterfeit inayotengenezwa Unga-Ltd.
Haiwezekani ktk hali ya kuwa sobber uahidi wananchi wako kuwa utawateremshia Mbingu!
Sielewi kwanini JK aliamua kujidhalilisha kiasi hicho.
Unajua ukujua una kufa kesho unaweza ukawaahidi watoto wako kuwa mwakani utawanunulia ndege kumbe wewe unajua unakufa kesho...
 
Inatia moyo sana!...

Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k

Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM

Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa

More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula
 
​nape kakulipa ngapi waha sio majuha kama wewe

Siyo kula kwamama ntilie kunywa na petrol kabisa hapo kwa Bella mfadhili wenu na mtunza pesa za EPA!CCM inamtisha mtu!!
 
Ha, ha, ha! juzi walifunika Rufiji. Leo wanafunika Kigoma. Siku zote hizi walikuwa wapi?
 
Hii ndio demokrasia na tunawatakia kila la heri katika mkutano huo.CCM ni chama kikubwa na chama dola hivyo si rahisi kukosa mashabiki na hasa ukutilia maanani ya kuwa Kigoma vyama vitatu vya upinzani (CUF,NCCR na CHADEMA) hakuna ambacho kinachoweza kujinasibu kuwa hiyo ni ngome yake.
 
Inatia moyo sana!...

Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k

Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM

Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa

More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula

vipi kigoma ishageuzwa Dubai au bado mnasubilia?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom