mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Hivi huyo Lusinde si alikuwa CDM imekuaje leo anaongea hayo matapishi? Ama kweli njaa mbaya sana. Asidhani huo ni U MC wa harusi akajisahau.
WanaJF hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa CDM walikuwa wengi kushinda wa CCM na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, CDM si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi CCM kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?
Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!
Nyinyi CCM mchezo wenu ni mauti yenu. Hawa wahuni mnaowatumia mnawaita Green Guard, watatupeleka kusiko, so far ninyi ndo mnaopambana kuipeleka nchi kwenye uvunjifu wa amani ingawa mnajifanya mahodari wa kuhubiri amani. Mmeona siasa za hoja zimewashinda,sasa mneamua kutumia mabavu, hamuwezi kushindana na nguvu ya umma, kama kashindwa Gadaffi nani Africa hii ataweza kudhibiti nguvu ya umma??hamjui moto mnaouwasha. Mtakao pata hasara katika tafrani mnalolianzisha ni nyinyi wenzetu wenye mali, sisi nyumba zetu za nyasi na vumbi hata mkizichoma mvua itanyesha nyasi zitaota, tutakata tutaezeka mwendo mdundo. nyie tuchokoeni tu, hamjui ni chuki kiasi gani mmetujengea na hilo chama lenu la mafisadi.Uongo mtupu...angalieni marudio ya Taarifa ya habari ya Star TV kesho asubuhi mtaona...anasingizia eti mimi nilikatisha hotuba yangu wakati niliongea dakika zote nilizokuwa nimepangiwa!
Vijana wa CDM waliokuwepo pale ni wachache sana, kama 15 hivi ukilinganisha na wengi wenye hekima na busara waliokuwa wametulia na kufuatilia hotuba zetu.
WanaJF hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa CDM walikuwa wengi kushinda wa CCM na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, CDM si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi CCM kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?
Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!
kaka nina mambo machache naomba unijibu kuhusiana na hiyo sehemu niliyo weka nyekunduuongo mtupu...angalieni marudio ya taarifa ya habari ya star tv kesho asubuhi mtaona...anasingizia eti mimi nilikatisha hotuba yangu wakati niliongea dakika zote nilizokuwa nimepangiwa!
Vijana wa cdm waliokuwepo pale ni wachache sana, kama 15 hivi ukilinganisha na wengi wenye hekima na busara waliokuwa wametulia na kufuatilia hotuba zetu.
Wanajf hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa cdm walikuwa wengi kushinda wa ccm na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, cdm si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi ccm kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?
Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!
Kwahiyo mkuu mikutano yenu inalindwa siku hizi na kila anayebisha au kutokukubaliana na nyie anapata kipigo toka kwa greenguards au hata watu wakishangilia pia wanakamatwa...
Enzi za nguvu ya hoja zimekwenda wapi mkuu...?, au hiki ni kipindi cha Yes Sir, Ndio Mzee na Kutumia Mabavu..?, kama kweli mnakubalika greenguards wa nini si wananchi wenyewe wangemyamazisha mfanya fujo ili wasikie points ?
Acheni hizo Bana..!!!
kaka nina mambo machache naomba unijibu kuhusiana na hiyo sehemu niliyo weka nyekundu
1. Vipi ni halali kwa kila chama kuwa najeshi lake kama hivi mnavyofanya na kuwapeleka makambini kwa ajili ya mafunzo ya kijeshi au ni ruksa kwa ccm tu?
2. Je vijana hawa hulipwa kiasi gani na nani na kwa kufungu lipi au wanajitolea tu kwa mapenzi waliyonayo katika chama chao?
3. Vipi mkuu vijana hawa khali yao kimaisha ikoje wapo angalau wanaomiliki walau nyumba moja ya kisasa au hapana?
4. Mkuu nijuze kuhusu elimu ya vijana wetu hawa kwa wastani elimu yao ni ya kiwango gani ?naomba unijibu hili niweze kuwafahamu kwa kina hawa vijana
mkuu ukiwa kiongozi na ukategemea walinzi na bastola pale unapoenda kuonana na wale unaowaongoza wewe si kiongozi .
mama yangu wee! walahi siamini kama macho yangu yanaona vema kilichoandikwa hapo kwenye nyekundu.Wakazi kiduuchu waliohudhuria mkutano wa hadhara katika viwanja vya MAGOMENI jijini Mwanza ulio andaliwa na CCM chini ya katibu mwenezi NAPE akiwa na lengo la kueleza sera ya chama hicho juu ya kujivua GAMBA,,WAMESHUHUDIA RUNDO LA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MAKADA HAO.
Ushauri wa bure kwa ccm,NAPE hawezi siasa bora wampost kwenye bendi yao ya TOT akawape burudani ya Taarabu,,ilibidi baadhi ya watu waanze kujisogeza na kuondoka,wengine waanze kunong"ona wakimshangaa baba huyu.kama vile haitoshi ilibidi baadhi ya vijana kwa kuchoshwa na upuuzi huo waanze kumjibu poale alipouliza maswali ya kipuuzi mfano;Nani alishawahi kuwaona viongozi wa CDM wakidhurika ktk
maandamano?JIBU Likapatikana wadau wakijibu...arushaaaaaaaaa,DK.SLAAAAAAA....AKAUDHIKA AKAANZA KUYAPOROMOSHA
1.WANAUME LAKINI OVYOOOOO
2.YAONE YANAWASHWAAAAAA
3.ANAE WASHWA ASHIKE UKUTA AONE VIDUME....
Namengine mengi ya aibu,,USHAURI....CCM mkiendelea kumtumia NAPE asie na SOCIOL ETHICS mtazidi kujiaribia ila kwa MWANZA LEO MMECHEMKA NA BWANA HUYO SIDHANI KAMA ATARUDI TENA MWANZA,,,,,
THANKS,NAWASILISHA
Nape anaamini hivi pia?Uongo mtupu...
Nchi yetu sote basi tuilinde!
hivi kwa nini Nape anachukuiwa hapa JF sijwahi ona any positive post yake.kulikoni?