Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

Wakazi kiduuchu waliohudhuria mkutano wa hadhara katika viwanja vya MAGOMENI jijini Mwanza ulio andaliwa na CCM chini ya katibu mwenezi NAPE akiwa na lengo la kueleza sera ya chama hicho juu ya kujivua GAMBA,,WAMESHUHUDIA RUNDO LA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MAKADA HAO.

Ushauri wa bure kwa ccm,NAPE hawezi siasa bora wampost kwenye bendi yao ya TOT akawape burudani ya Taarabu,,ilibidi baadhi ya watu waanze kujisogeza na kuondoka,wengine waanze kunong"ona wakimshangaa baba huyu.kama vile haitoshi ilibidi baadhi ya vijana kwa kuchoshwa na upuuzi huo waanze kumjibu poale alipouliza maswali ya kipuuzi mfano;Nani alishawahi kuwaona viongozi wa CDM wakidhurika ktk

maandamano?JIBU Likapatikana wadau wakijibu...arushaaaaaaaaa,DK.SLAAAAAAA....AKAUDHIKA AKAANZA KUYAPOROMOSHA
1.WANAUME LAKINI OVYOOOOO
2.YAONE YANAWASHWAAAAAA
3.ANAE WASHWA ASHIKE UKUTA AONE VIDUME....
Namengine mengi ya aibu,,USHAURI....CCM mkiendelea kumtumia NAPE asie na SOCIOL ETHICS mtazidi kujiaribia ila kwa MWANZA LEO MMECHEMKA NA BWANA HUYO SIDHANI KAMA ATARUDI TENA MWANZA,,,,,
THANKS,NAWASILISHA

Bado siamini kama kweli mtu yeyote anaweza kuyatamka haya jukwaani, lakini kama ndivyo ilivyokuwa, basi Nape ana kichaa. Na anahitaji kufanyiwa uchunguzi.
 
Wakazi kiduuchu waliohudhuria mkutano wa hadhara katika viwanja vya MAGOMENI jijini Mwanza ulio andaliwa na CCM chini ya katibu mwenezi NAPE akiwa na lengo la kueleza sera ya chama hicho juu ya kujivua GAMBA,,WAMESHUHUDIA RUNDO LA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MAKADA HAO.

Ushauri wa bure kwa ccm,NAPE hawezi siasa bora wampost kwenye bendi yao ya TOT akawape burudani ya Taarabu,,ilibidi baadhi ya watu waanze kujisogeza na kuondoka,wengine waanze kunong"ona wakimshangaa baba huyu.kama vile haitoshi ilibidi baadhi ya vijana kwa kuchoshwa na upuuzi huo waanze kumjibu poale alipouliza maswali ya kipuuzi mfano;Nani alishawahi kuwaona viongozi wa CDM wakidhurika ktk

maandamano?JIBU Likapatikana wadau wakijibu...arushaaaaaaaaa,DK.SLAAAAAAA....AKAUDHIKA AKAANZA KUYAPOROMOSHA
1.WANAUME LAKINI OVYOOOOO
2.YAONE YANAWASHWAAAAAA
3.ANAE WASHWA ASHIKE UKUTA AONE VIDUME....
Namengine mengi ya aibu,,USHAURI....CCM mkiendelea kumtumia NAPE asie na SOCIOL ETHICS mtazidi kujiaribia ila kwa MWANZA LEO MMECHEMKA NA BWANA HUYO SIDHANI KAMA ATARUDI TENA MWANZA,,,,,
THANKS,NAWASILISHA

Plato Myunani aliwaweka watu ktk makundi 3 yaani great minds who talk about ideas (hawa hujadili maswala), middle minds speak about events (hujadili matukio) na simple minds speak about people (huongea umbea). Ikitokea mtu akawa kundi la mwisho na akakataa kukubali ukweli huo anakuwa kinyaa. Sasa Nape na watu wa aina yake wanataka kulazimisha Taifa liwatambua kama walioko kundi la kwanza la visionary, philosophers, charismatic kwa kutaja wachache. Sasa huyu dogo ni debe tupu ambalo haliachi kupiga kelele. Amepewa cheo hiki cha usema ovyo si kwa sababu ya vigezo rasmi (merits) bali kwa upendeleo na kulipa fadhilla baada ya kucheza na umbea, undimilo kuwili, uzabazabina na ndio maana akakumbukwa kwa kupewa hiki alichopewa. Ni aibu maana hata aliyempa cheo hiki uadilifu wake ni wa mashaka. Sote ni mashuhuda jinsi alivyowafitini waliokuwa wanataka urais- wakafanywa kuwa ni wezi, wala rushwa, na uchafu wa kila aina ali mradi yeye aonekane ndiye mwadilifu.

Nawasihi vijana wazalendo wa nchi hii Nape na wenzao wawe ni fundisho kwetu kuwa tusibweteke bali tujitahidi kusoma na kutafuta maarifa. Tuzidi kuipenda nchi hii na kamwe vijana wenye huruka ya Nape wasiruhisiwe kuwagawa vijana wa Tanzania. Yeye ni mchmia tumbo na alichokitaka keisha kipata cheo
 
Huyu jamaa nimemuona Upanga leo majengo ya Mzumbe University mida ya jioni,
Nafikiri ameona siasa haina dili hivyo ameamua kurudi shuleni,
Sina hakika kama atarudi tena Mwanza!!
 
Ipo siku mtanielewa hata kama ni baada ya miaka 20, nilisema, kwa mtaji wa siasa unaoendeshwa na ccm, na mtazamo na maadili ya viongozi wa ccm, hata tuwape miaka 100 mingine, hakuna kitu kitaonekana juu ya ardhi hapa tanzania! Tukisema wameshindwa kuleta maendeleo tunamaanisha nini???ukienda mbele hatua 5, ikarudi nyuma hatua kumi na moja! Umepoteza hatua 6.what we have compare what has been done in 50yrs, almost is nothing!!!!
Nani alikudanganya kuwa ukienda mbele hatua tano ukarudi hatua kumi na moja umepoteza 6 tu? Unakuwa umepoteza si chini ya hatua 16! Upo hapo!
 
kaka huyu Nape pia anapenda sana kutumia mfano wa Ngedere aliyenasisha pumbu zake kwenye mti unaorandwa baada ya kile kidude kinachotumika kupanua njia kudondoka na ngedere wenzake kuanza kumcheka. Mkuu hakutumia mfano huu huko? huyu jamaa ni noma. Kweli hii ndiO safu ya uongozi inayoaminika CCM.
 
Ni kweli waandishi walikuwepo lakini ni mambo mengine huwezi kuandika katika Gazeti kwani nawe utakuwa unasaidia kusambaza matusi hayo, ninajaribu kuweka hapa Clip art ya Sauti yake msikie hayo wenyewe Live na yale ya Lusinde

Audio clip.
 
Uongo mtupu...angalieni marudio ya Taarifa ya habari ya Star TV kesho asubuhi mtaona...anasingizia eti mimi nilikatisha hotuba yangu wakati niliongea dakika zote nilizokuwa nimepangiwa!

Vijana wa CDM waliokuwepo pale ni wachache sana, kama 15 hivi ukilinganisha na wengi wenye hekima na busara waliokuwa wametulia na kufuatilia hotuba zetu.

WanaJF hebu jiulizeni kitu hapa, kama watu wa CDM walikuwa wengi kushinda wa CCM na walikuwa wanazomea na greenguards wakaenda wakamkamata mfanya fujo mmoja, CDM si wangeleta vurugu mbaya kabisa, pengine hata mauaji? Iliwezekana vipi CCM kuendesha mkutano wake vizuri na kwa amani na utulivu kabisa mpaka mwisho kama kweli kulikuwa na fujo za kiasi kilichoelezewa namna hii?

Waandishi ni mhimili wa nne wa dola, fanyeni kazi yenu kwa ufanisi na kimaadili. Nchi yetu sote basi tuilinde!

Kigwangalla,

Ukweli ni kwamba Mwanza(MZA) mmechemka. Huo ndiyo ukweli!
Wewe,Lusinde na Nnape wenu mmeonja joto ya jiwe Mwanza. Hebu jaribuni kupata picha hiyo na mjue kuwa hiyo ndiyo hali halisi ya KILE KILICHO NDANI YA MIOYO YA WATANZANIA WENGI HASA VIJANA KAMA NYIE.

Let me tell you my friend,mnachofanya wewe, Lusinde na Nnape mnazidi KUIUWA CCM TARATIBU. Mwaka 2015 kwenye Uchaguzi wa 2015 nawahakikishia kuwa CCM hampati kitu.
 
alisha wahi kuandika hapa hapa JF kuwa yeye Nape anamvuto ndiyo maana tuna hangaika nae akiimanisha wana-JF, kwa hiyo sishangai hata anavyo jichubua na kunyoa nyusi labda awe na mvuto zaidi....

Mvuto upi?
Yaani kwa maneno mengine "anavutia"???!!!!
 
Back
Top Bottom