Nape: Huoni tofauti kati ya kauli yako na Dr. Slaa?

Atakuwa pia hajazungumzia kuwa Chadema wanafadhiliwa na mataifa tajiri ili kuvuruga amani iliyopo nchini,pia wanapewa misaada kwa masharti kwani wanaweka nchi rehani na rasilmali zetu tulizo nazo so wananchi msidanganywe.
Pia siku zile alisema kwenye harambee yao ni changa la macho wanadai hao Chadema wamechangisha mamilioni ambayo wananchi wamechangia na kuweka ahadi ili yote mie nina ushahidi hela wanayo tayari sema pale wanaiosha ili iwe halali wakati ni kutoka kwa nchi za nje kwa hiyo wananchi msidanganyike na hawa Chadema ni watu wa kuogopwa alisema siku zile ss mbona haya yote hajayarudia huyu kilaza?Ss baada ya kumsikia Dr Slaa ndio nae anajishika Lol amekwenda na maji tutaona huo ushahidi wake Lol ama kweli Ccm vialza wengi tu
 
Suala ninavoliona,nape kadai chadema wanapata msaada kutoka nje kwa masharti ya kugawa raslimali ya taifa pindi watakapoingia ikulu,swali je,kweli nape anauthbitisho wa masharti hayo? Je,ccm wao wanapopata misaada kama hiyo huwa ni kwa masharti yapi? au wao wanapata bila masharti yoyote,na tutaaminije kuwa upande wa ccm ndo tunapata misaada isiyokuwa na masharti? Kitu tunachotakiwa kukijua mapema ni kuwa misaada mingi inakuwa na makubaliono na masharti yake,vitu vya bure havipo dunia ya leo.Ukifikiria kwa undani utaona kila mwaka tz inapewa misaada kede wa kede lakini hatushangai hela hizo zinapitiliza kwenye akaunti za viongozi wetu wanafiki na wabinafsi wasiokua na mstakabali wala uzalendo kwa taifa lao na ndio maana watu wameamua kuwe na uraia wa nchi mbili sababu kazi ya kuchuma washamaliza wanachafikiria ni sehemu gani watatulia na kutumbua mabilioni yao paspo bughuza.
 
Back
Top Bottom