Nape awapasua vichwa CHADEMA

Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

Umejuaje wanaomsakama Nape ni CDM na sio CCM? Mzee Makamba na Maige nao ni CDM?
 
kama huna hoja ya msingi nyamaza,sio kukurupuka sasa hiyo picha hapo juu inauhusiano gani na mada yako?au ndio unatuonesha mikutano ya ccm na wanafunzi wa shule za msingi.jipange ndio uje upya.

Umeelwa kweli ujumbe wa picha hiyo? Nina mashaka kama umemuelewa Sikonge vizuri.
 
NAPE ni kijana makini sana katika siasa, tatizo ni CHAMA anachokisimamia. Angekua chama kama CDM, ni kijana mmoja matata sana na angesaidia sana katika ukombozi wa nchi hii. Kwa chama kama CCM, hata angepewa Dr. Slaa asingeweza kukitetea manake kimechafua sana. Kupona kwake ni lazima kitoke madarakani, ili kiweze kujipanga upya kwa ajili ya siasa za kiushindani zenye kuleta matumaini kwa wananchi wote.
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

Umewagundua eeh! Hiyo ni kwa sababu wanatumia hoja za nguvu na ghiliba.
 
Chiume kwani Magazeti yanayomuandika ni ya CDM? kama ni umaarufu yanayompa ni MAGAZETI na sijui umetoa wapi hayo maneno kuwa anawaumiza vichwa CDM kwani umemsikia kiongozi yeyote wa CDM akimjibu Nape? TAFADHALI usituletee mawazo yako yasiyo na Mashiko Jamvini humu tunajadili HOJA zenye mashiko na sio unavyofikiria wewe au mtu mwingine yeyote yule
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

Kama sio Umetumwa basi wewe ni Nape mwenyewe
 
Kiazi ni kitu cha kuliwa tu, ukikawia kukila kinaoza. Nape ni kiazi kisicholika kwa hiyo kinaoza na wewe ni kiazi kingine
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Labda naye ni muda wake wa kuonekana ktk magazeti na hizi social media, lakini itapita! Sidhani kama anamwumiza kichwa mtu yeyote.
 
@RC, nafikiri Nyamizi kakujibu vizuri. Mie ndiye SIKONGE bana, ukinivamia kichwa kichwa, utashangaa kuwa unashambulia timu yako (friend's fire). Nisome vizuri na uangalie tena picha utaelewa. Kama huelewi basi jitoe JF maana si mahali pako.

Umeumbwa na UBONGO, utumie :(

Nyamizi, ntaku-PM baadaye. Nashukuru kwa kuliona hilo.
Umeelwa kweli ujumbe wa picha hiyo? Nina mashaka kama umemuelewa Sikonge vizuri.
 
RC nafikiri Nyamizi kakujibu vizuri. Mie ndiye SIKONGE bana, ukinivamia kichwa kichwa, utashangaa kuwa unashambulia timu yako (friend's fire). Nisome vizuri na uangalie tena picha utaelewa. Kama huelewi basi jitoe JF maana si mahali pako.

Umeumbwa na UBONGO, utumie :(

Nyamizi, ntaku-PM baadaye. Nashukuru kwa kuliona hilo.
Umeelwa kweli ujumbe wa picha hiyo? Nina mashaka kama umemuelewa Sikonge vizuri.
 
Umeelwa kweli ujumbe wa picha hiyo? Nina mashaka kama umemuelewa Sikonge vizuri.

wakati mwngine ni vizuri mtu kabla ya kukurupa kumlaumu mtu soma vizuri TAFAKARI ALICHSEMA MWENZAKO,inakuwa aibu ukikundua umemkosea!

ALIYELETA HOJA HII ANAONEKANA KUWA NA UCHUNGU WA KWELI NA CDM na hata picha hiyo hapo ona ni ya watoto tu tena chini ya miaka 18 hivyo hawatakisaidia chochote ccm! hongera SIKONGE
 
Back
Top Bottom