Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Kiroporopo kitamtoka this time! lol
Wewe ni wakili...??
Kama atatoa mpunga wa maana sidhani kama kuna wakili atakayemtosa.
Kukubali au kukataa kesi ni uamuzi wa Wakili mwenyewe. Wewe ni Wakili? Mimi ni Wakili tangu 1992 na najua hivyo. Usijifanye unajua kila kitu Mkuu.eti na wewe mleta mada ni great thinker! this is purely rubbish. huyo atakuwa si wakili. kunawalioua wazi tena kwa kuonekana lakini mawakili walijitokeza, hata marando anaenda kuwatetea wahujumu uchumi waliowazi kabisi.
asante Mh. wakili.Kukubali au kukataa kesi ni uamuzi wa Wakili mwenyewe. Wewe ni Wakili? Mimi ni Wakili tangu 1992 na najua hivyo. Usijifanye unajua kila kitu Mkuu.
Wamwambia hawako tayari kumwakilisha kwenye shauri ambalo halina ushahidi wa kutosha. Ni katika kesi yake aliyofunguliwa na CHADEMA.Mawakili wamemshauri aombe samahani kwa CHADEMA.
Ni hivi: Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM,Nape Nnauye amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kugomewa na Mawakili ili wamwakilishe kwenye shauri lake. Kampuni hiyo ya Mawakili ambayo ipo karibu na Kampuni yetu pale Posta jengo la PPF Tower ilimkatalia Nape kwakuwa hana ushahidi wa kutosha wa kupangua kesi iliyofunguliwa dhidi yake na CHADEMA kwa kusema kwake kuwa CHADEMA inahongwa kutoka nje na itauza nchi.
Safari ya kuelekea kwa Mawakili hawa ilitokea baada ya Nape kujibiwa na Mawakili wa CCM kuwa wako 'busy' na mashauri ya chama pamoja na hoja kuwa kesi dhidi yake ni ya binafsi zaidi na si ya ki-chama.'Aende akawaombe radhi CHADEMA.Hana ushahidi wa kutosha.Itakuwa ngumu kulindika Mahakamani. Tumemwambia wazi' walisema Mawakili hao.
mkuu siamini kama kuna wakili yoyote atakae kataa kesi kama ukimlipa vzr.
Naanza kupata wacwac na huu uzi.
Hakuna kesi nikutafuta mlango wa kutokea............................Siku ikifika ukweli utajulikana!Wamwambia hawako tayari kumwakilisha kwenye shauri ambalo halina ushahidi wa kutosha. Ni katika kesi yake aliyofunguliwa na CHADEMA.Mawakili wamemshauri aombe samahani kwa CHADEMA.
Ni hivi: Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM,Nape Nnauye amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kugomewa na Mawakili ili wamwakilishe kwenye shauri lake. Kampuni hiyo ya Mawakili ambayo ipo karibu na Kampuni yetu pale Posta jengo la PPF Tower ilimkatalia Nape kwakuwa hana ushahidi wa kutosha wa kupangua kesi iliyofunguliwa dhidi yake na CHADEMA kwa kusema kwake kuwa CHADEMA inahongwa kutoka nje na itauza nchi.
Safari ya kuelekea kwa Mawakili hawa ilitokea baada ya Nape kujibiwa na Mawakili wa CCM kuwa wako 'busy' na mashauri ya chama pamoja na hoja kuwa kesi dhidi yake ni ya binafsi zaidi na si ya ki-chama.'Aende akawaombe radhi CHADEMA.Hana ushahidi wa kutosha.Itakuwa ngumu kulindika Mahakamani. Tumemwambia wazi' walisema Mawakili hao.
Unajua wanafikiri ni siri kwamba Wanapata Fedha toka Nje?Swala wanazitumiaje hilo ni mjadala na anayekupa ana kusudia kufaidikaje hilo nalo linajadilika ?CHADEMA mnahangaika sana na kesi hii.....poleni sana!
eti na wewe mleta mada ni great thinker! this is purely rubbish. huyo atakuwa si wakili. kunawalioua wazi tena kwa kuonekana lakini mawakili walijitokeza, hata marando anaenda kuwatetea wahujumu uchumi waliowazi kabisa.