Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

Nitoe pole tena kwa wale waliokumbwa maafa huko Singida.

Nape anasema CHADEMA ni chama kigaidi, je nasema serikali ya CCM imeruhusu ugaidi? Kama yeye Nape anajua kuna kikundi au cham cha kigaidi nchini na ushahidi anao kwa nini asipeleke polisi? Au na yeye ni mmoja wa hao magaidi na ndio maana hatoi taarifa police?

Pia ningeta kumuuliza Nape haya:
1. Wakati wa uchaguzi Igunga kulikuwa na taarifa za vijana wa Green Guard (CCM) waliokuwa wanapewa mafunzo jimboni mwa Mwigulu Nchemba ili walete fujo wakati wa campaign huko Igunga, wale vijana wako wapi?

2. Kwenye uchaguzi huo huo wa Igunga, mfuasi wa CHADEMA alitekwa, akateswa na kuuliwa kinyama, Nape alitoa kauli gani?

3. Arumeru ameuliwa mwanaCHADEMA, Nape ametoa kauli gani?

4. Week mbili zilizopita, Dr Ulimboka alitekwa, akateswa usiku mzima na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande. Tofauti na wengine waliokuta na dhahama kama hiyo, Dr Ulimboka hakufa, na ameweza kutaja baadhi ya watu walioshiri kumteka. Nape, tunayembiwa anaendesha siasa za kisasa, hadi leo hii hajatoa tamko juu ya mkasa wa Dr Ulimboka!

Lakini hii ya Singida kwa sababu anazozijua yeye Nape, ndani ya masaa 24 tayari ameshatoa tamko na zaidi ya hapo ametaja wahusika kuwa ni CHADEMA! Nape anaweza kusema marehemu alikutwa na mkasa huo akiwa wapi? Ni kweli alikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA? ziko taarifa aliuliwa kwenye nyumba ya mtu, je Nape anajua hilo?

Mwisho, maombi bado yanaendelea Jangwani na wakati huo huo harakati za kweli, kweli tupu na sio propaganda zitaendelea. Tunakwenda kumlilia mungu ili aingilie kati kama alivyofanya kwa Dr Ulimboka. Kwa imani kubwa, tutaomba mungu atoe haki. Kama anaona Nape,Nchemba, na wengine wa aina yao, wanayofanya ni sawa basi na awabiriki, lakini kama anaona kuna dhulma, uwongo na mungu ajitokeze kuokoa wateswa wake.
 
Tango 73,unahitaji kujua sera za nje za CDM,za nini kwa sasa???jishughulishe na upinge kwa nguvu zote sera za chama cha Mabwepande kutembeza bakuli la omba omba duniani,na kuamini kuwa bila misaada tanzania haiwezekani,na sera zenu za mambo ya ndani za kuteka,kutesa watu na kuwapeleka mabwepande vipi???teh teh.
 
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube

Lini Napi atatoa tamko kuhusu CCM kama chama chenye mlengo wa kifisadi, kilichojaa wala rushwa na dhaifu kilichoshindwa kusimamia maslahi ya wanyonge na raslimali za taifa?!
 
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube

Msangi na kova nao ni CDM?
 
Nape anahangaika cause mabosi wake wanaojipanga kuihama CCM 2014 wamemsusia chama na yeye ndiye atakayekiua kwa kushirikiana na dhaifu aliyeko ikulu.
 
Chadema msiue raia kama mnaweza kuuwa basi fanyeni kile walichokifanya CUF Pemba ,sio siri na wenyewe wanajua.
 
[video=youtube_share;r9S9OhYhwSY]http://youtu.be/r9S9OhYhwSY[/video]

Tuache ushabiki wa vyama tuongee kama watu tulio na akili timamu. Kwenye video hii sikuona mahali pale Chadema wakifanya tendo lolote la ugaidi, ila nimeona Lema akitolewa nje na polisi kwenye tukio kule Arusha. Kuweka hii clip na kusema kuwa huo ni ugaidi hakutamshawishi mtu mwenye akili timamu kuamini hivyo, kinyume chake ni kumfanya aamini kuwa kuna kitu ambacho ccm inaiogopa Chadema mpaka kuanza kuipakazia matope.

Ugaidi unajulikana ni nini na kuna sheria dhidi ya ugaidi. Serikali ina uwezo wa kuwashika magaidi wote na kuwachukulia hatua. Kuweka video kama hizi kwenye mitandao, wakati serikali ina uwezo wa kukomesha ugaidi inaleta picha kuwa hii video imewekwa kwa lengo la kupotosha umma. Kumbuka kuwa unaweza kumziba mtu mdomo, kumfunga hata kumuua, lakini huwezi kuzima mawazo ya watu.
 
Nape amefilisika kisiasa ameshindwa kuvua magamba mafisadi anahangaika tu. Zamani nilikuwa namkubali sana lakini sahizi hamna kitu! Gaidi ni mwigulu nchemba aliyekodi vikundi vya kigaidi kwenye mkutano wa chadema!
 
2015 kuna kila dalili ya kuzuka kilekilichotokeaZanzibar. Sioni vita maana hii vita itapiganwa je? kati ya ccm na chadema ama chadema na ffu
 
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
Hivi nape anapotoa matamko kama haya huwa anafikiri kwa kutumia nini?Ni nani alie wapiga machemli na kiwia mbele ya polisi wao mpaka kutka kuwaua,Nani alimuua kada wa chadema igunga,Nani alimuua m/kti wa chadema useriver,Nani kateka daktari na kudhani wamemuua kisha kumtupa mabwe pande,Ninani wanao wekeana sumu wao kwa kwao ukitafakari haya utajua gaidi ni nani na sio kupayuka tu kwanu ni kujidhalilisha
 
Pia ni dawa ya chambo kuliwa na samaki kwan we ulidhan dawa ya vurugu si kifo au ndo umeasahau?
 
Back
Top Bottom