Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

Kama ungeuona ule waraka ungeelewa kila kitu, umafia upandikizaji sumu, na chuki ndani ya jimbo la Iramba pamoja na uovu mwingine nchini ulikua umeadhimiwa kwa pamoja na viongozi wa CHADEMA, kwenye kikao cha ndani kilichafanyika nyumbani kwa Mbowe Mikocheni na Rwakatare ndiye aliyepewa jukumu hilo na aliitekeleza kwa Kadri walivyokubaliana yaani kuhakikisha watu wanajeruhiwa na wengine wanakufa kama ilivyotokea jana, bahati mbaya sana MODs waliupuuza na kuundoa ule waraka ulioasisi mkakati huo.

CHADEMA Mnatupeleka wapi? Msituvurugie amani yetu kwa tamaa ya madaraka

kuna mijitu mingine inaweza kusababishia ban ya mwaka. Unamjua Lwakatare ni nani wewe?
 
Inashindikana vipi ninyi CCM kuandaa mikakati ya mauaji kwa lengo la kuichafua CHADEMA?
Na kwa sababu mmeandaa nyie hiyo mikakati, mnatangulia kuitangaza kwa umma kupitia waraka feki wa CHADEMA ili ionekane mlinasa waraka wa CHADEMA. Siasa za kuua watu acheni enyi CCM mliolaaniwa!!
CHADEMA wakaue watu Iramba ili iweje???!!!!. CCM wanaua watu katika kipindi ambacho CHADEMA inafanya mikutano yake huko ili kuvuruga jina zuri la CHADEMA. CCM mmefikia pabaya sana, maisha ya watu yana thamani kuliko madaraka-naomba mfahamu hivyo!
Ndani ya moyo wangu, kwa moyo wa dhati, naomba CCM ife ili watu wasiendelee kuuawa kinyama namna hii kwa maslahi ya kisiasa. Nimesononeka sana. Why these political deaths to my people???!!!!!!!!!



Mkuu naona bado upo usingizini amka, kina Rwakatare huu ukweli wanaujua na wala hawakufanya kwa bahati mbaya. Wametekeleza kile walichokubaliana nyumbani kwa Mbowe

People's Killers
 
Mkuu naona bado upo usingizini amka, kina Rwakatare huu ukweli wanaujua na wala hawakufanya kwa bahati mbaya. Wametekeleza kile walichokubaliana nyumbani kwa Mbowe

People's Killers

Nina fikra huru, mara zote nasimamia ninachokiamini!
Niambie, kwa kuwa unaonekana kufahamu walichojadili kwa Mbowe, lengo la CHADEMA kuua watu lilikuwa nini?
Nataka jibu critical siyo ule uzushi wa kwenye waraka wa kizushi!
 
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
Heri gaidi ambae yupo kwa ajili ya kutetea maslah ya watanzania wazalendo walionyonywa na kukandamizwa na magamba kwa miaka zaidi ya hamsini kulikoni magunster wanaokwiba rasilimali za wazalendo na kufaidisha matumbo yao na familia zao ndio maana nape anajeuri ya kuwa2kana watanzania kw sababu yuko kwenye systm ya waliowafikisha watanzania hapa walipo
 
Ushahidi mnao kwa nini msiwakamate au mnasubiri wakatubu ndio muwakamate. Naona N sometime vipi kwani mna dola mnashindwa vipi kuwadaka.
 
Sikubaliani na propaganda dhidi ya chadema na inajulikana wazi ni chama gani kinatumia mauaji kama ya wafuasi wa chama kingine ili kuleta hofu kwa wananchi.CCM wanajitahidi kujinasua kutoka kwenye tuhuma za aina hiyo na katika kufanya hivyo wameamua kuisukumia tuhuma chadema kwa kushirikiana na polisi.Sidhani kama kwa kutoa maelezo yenye logic kwamba CCM ndo walianza kurusha mawe(inajulikana kweli)yanatosha kuififisha propaganda hii hatari iliyotengenezwa.Chadema bado kina changamoto ya kupambana na propaganda za CCM na ikabaki salama.Inaonekana kama janja ya CCM kuwafrustrate wabunge wa chadema bungeni ili wakasirike na kuwapakazia kuwa ni wasema hovyo sasa imehamia kwa wafuasi wa cdm ili kuwatwika zigo la mauaji.Sidhani kama CCM ni smarter sana kucheza propaganda kuliko cdm naamini wapo watu makini wengi sana cdm kuliko CCM lakini nashangaa wameshindwa kucreate mechanism ambayo itapambana na propaganda hatari kama hizi safely na mwisho chama kizidi kupata credit kwa wananchi wa kawaida ambao ndo wapiga kura.Wananchi wengi sio waelewa kivile kujua tofauti kati ya reality na propaganda na vitu kama hivi ccm wanavitumia vizuri kuipaka matope chadema kwa ordinary people.Kuna haja ya kutafakari kama mbinu zetu chadema za kupambana na propaganda za CCM zinatosha kumfanya yule wa kawaida kabisa atuelewe?Ninachokiona hapa ni kuwa tunalenga jamii ile ya kisomi au angalau wale wenye access na mtandao kama hivi.Yule ordinary citizen ambaye anasikia kichwa cha habari gazeti la uhuru Tbc taifa kuwa "chadema wauwa Singida" tunamuweka kundi gani?Bado nchi haina wasomi tele tuseme hawa wanatosha kutupa ushindi,kuna kundi kubwa la wajinga(very sory to use this word) ambalo bado linaamini kila kitu linachosikia ama serikali au ccm imesema.Bado kuna la kufanya kwaajili ya kundi hili ili kujitoa kwenye hizi propaganda.
 
Mtalia sana,mmemtuma KOVU kuua soo la dr. Ulimboka kwa kumsingizia kichaa!! teh teh teh, acha nikapitishe w'end yangu msitu wa pande!
 
Mshaurini padre slaa atatue migogoro ya ndoa zake kwanza ndio mjadili mambo ya nchi
 
Namuona shemeji josephine hapa ,hebu atueleze kwa nini ameisaliti ndoa yake ameenda kuvunja ndoa ya mwenzake kwa kuzini na mume wa mtu hadi leo.ni hayo tu.
 
Wafuasi wa disko joker acheni siasa za kigaidi.damu ya wasio na hatia itawahukumu siku ya mwisho.
 
Ushahidi mnao kwa nini msiwakamate au mnasubiri wakatubu ndio muwakamate. Naona N sometime vipi kwani mna dola mnashindwa vipi kuwadaka.

mahakama kuu ya wananchi itaamua,.nyie endeleeni kuua mkidhani damu itamwagika bure.
 
Cdm kinamlengo wa kigaidi,mahali walipo kusanyika kwa ajili ya kumchafua mwigulu na kupanga mauaji panafahamika.pamoja na serekali ya ccm kuyafahamu yote hayo haijachukuwa hatua yoyote km kukifuta chama kuwakamata viongozi wakati wanafanya mipango hiyo.ama kweli serekali ya ccm ni dhaifu na hawasitahili kuendelea kuwepo madarakani.
 
Madaktar wanaitafuta ndoano kwenye mwili wa chadema haionekani lakini usaha unazidi kutunga tumboni,,,,,,,,,,,,,,,,nape endela na operesheni bandua plasta ukutani

Wakuu,sasa JF imevamiwa na wafuasi wa D.CAMEROON, tafadhali tuwavumilie tu, ni homon za mwili ndizo zinazowafanya wawe hivyo, wana zile za upande wa pili mfano ni huyu hapa ASENGA WA PAKAYA coz maneno haya huwa yanaonekana kwenye kanga na kusikika kwenye mipasho(taarabu).
 
Back
Top Bottom