Nape apata aibu Serengeti

katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

Mwanzoni nilitegemea Nape akaleta Chahu kwenye CCM na UVCCM ila sasa naona yeye mwenyewe Nape anapoteza mwelekeo na Mvuto katika Chama chake akisaidiana na Mukama, kuna kitu kimmoja wanatakiwa wakitambue kwanza alama za nyakati hivi sasa watanzania wameisha elimika hata wale wa elimu ya ngumbalu wanaelewa nini maana ya alama za nyakati sasa kwa mtu kama nape mwenye upeo mkubwa tu wa siasa nae anakuwa kipofu wa kuona mbali inastahajabisha sana,

My Take;
Alichokitaka ndicho kakipata hiyo mmoja
Pili Nape jitahidi kwenda na wakati wa vijana wenzio wanataka Changes na sio si ha sa za majitaka
 
Usitumie muda mwingi kujibizana a na hawa CDM huku, always wanajaribu kupindisha ukweli.
CCM still tuna nguvu na tutaendelea kuwa na nguvu.
Mfariji mwenzako maana hapa pressure tu, tunasubiri apande jukwaani Igunga ndo tutajua nani anayepindisha ukweli.Vp yale matembezi yenu ya jazba mliopanga kuyafanya mmefikia wapi au mlipewa ngawira mlivyoenda ikulu kunywa juice ya mapera na yeboyebo zenu?
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Tehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe tehe!!!!! Jamani Nape mbona unakuwa kama co kijana msomi ndugu yangu juzi unatoa takwimu za kizee aisee umechoka kweli hata babu yako Mkama aka mzee wa Siasa za uzee ana afdhali.

Nyie CCM mukubali matokeo na muwe tayari kuwa kama MMD ya Banda!!
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Bwana NNAUYE,

Kwa heshima na taadhima nakuambia hivi,hebu acha porojo na propaganda za kizamani. Tuambie mkutano upi ulikuwa na watu wengi kati ya MKUTANO WA JUZI WA N/KATIBU MKUU-CHADEMA MH.ZITTO KABWE(MB) KULE IGUNGA NA MKUTANO WAKO UNAOSEMA ULIJAA WATU KULIKO WA MBOWE?
Pengine watu wangelitaka kujua KWANINI WEWE HAUKO KULE IGUNGA KWENYE KAMPENI ZA CCM ZA KUTAKA KULIRUDISHA JIMBO HILO MIKONONI MWA CCM KUFUATIA ROSTAM KUJIUZULU BAADA YA WEWE NA SEKRETELIATI YAKO KUMSHUTUMU KUWA YEYE NI GAMBA NA FISADI? Tunajua wewe uliambiwa na CC usishiriki kwenye kampeni za Igunga maana ndiyo chanzo cha Rostam kujiuzulu!
KWA HIYO WEWE HATA HUKO SERENGETI UPO UPO TU LAKINI CHAMA CHAKO CHA MAGAMBA WANA MASHAKA SANA NA WEWE MAANA TANGU UMESHIKA NAFASI HIYO UNAONEKANA KUIVURUGA CCM BADALA YA KUISADIA!

Kwa sasa tunachoshuhudia Igunga ni upuuzi.ujinga na uhuni wa CCM kwa kuruhusu WABUNGE.MAKADA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHAMA CHAKO KWENDA NA SILAHA KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI! ADEN RAGE TUMEMWONA LIBE AKIWA NA BASTOLA KIUONONI HUKU AKIPIGA KAMPENI ZA CCM. JUZI ESTHER BULAYA NA MBUNGE MWENZAKE WA CCM TOKA S'WANGA WALIVAMIA HOTEL YA PEAK WAKIWA NA BUNDUKI WANAPOKAA VIONGOZI WA CHADEMA KWA NIA YA KUWASHAMBULIA NA KUCHOMA MAGARI YA CDM MOTO.

KILA KITU KIKO WAZI KABISA KUWA WAO NDIYO WALIVAMIA ENEO HILO NA KUTUMIA SILAHA LAKINI MPAKA SAA POLISI HAWAJAWAKAMATA WABUNGE HAO WA CCM KWA VILE TUNAJUA CCM MANAWATUMIA POLISI KAMA VIKARAGOSI VYENU. NAAMINI KABISA INGELIKUWA KITENDO CHA KUWA NA SILAHA NA KUTUMIA SILAHA KWENYE KAMPENI ZA IGUNGA KINGELIFANYWA NA MB YEYOTE WA CDM SASA ANGELIKUWA NDANI!

KUNA HILI LA MADAI YA KATIBU WAKO MKUU MUKAMA KUWA CDM WAMEINGIZA MAKOMANDOO 33 TOKA LIBYA NA AFGHANISTAN, MBONA CCM HAMJAWA ELEKEZA POLISI WAKA WAKAMATA HAO MAKOMANDOO MAANA MNAWAJUA NA WAKO IGUNGA?

Hivi wewe na elimu yako uliyonayo unaweza KUUAMBIA UMMA WA WATANZANIA NI VIPI ILE KARATASI YENYE MANENO YA CHADEMA HAIKUUNGUA BAADA YA MOTO ULIOTEKETEZA NYUMBA YA MWANACHAMA WENU WA CCM KULE IGUNGA. WHAT KIND OF A CCM SELECTIVE FIRE WHICH CAN BURN THE REST OF THE HOUSE INTO ASHES AND JUST LEAVE A PIECE OF PAPER HANGING INSCRIBED WITH A WORD.''CHADEMA''? THIS IS UNBELIEVABLE. Maybe Mr. NNAPE YOU CAN TELL US WHICH CHEMISTRY WAS USED TO MANUFACTURE SUCH A MIRACLE PIECE OF PAPER!

Bwana NNAPE nimalize kwa kusema kuwa CCM hakika mmeishiwa na SERA kwa sasa badala yake mmebakiza UONGO,UNAFIKI NA PROPAGANDA za kihuni ambazo hakika haziwasaidii Watanzania. Napenda kukuhakikishia kuwa kama CCM mtaenelea na upuuzi huu wa Magamba na Kudanganya watu mimi nakupa miaka 2 au 3 ijayo CCM ITAKUWA IMEBAKIA JINA TU! Kumbuka Uchaguzi Mkuu wa 2015 hauko mbali sana,believe me CCM itakuwa kama MMD ya Rupia Banda wa Zambia. Sijui mtatumia mbinu gani mwaka 2015 kurudi Ikulu, the way I see it you have a very narrow chance of wininig the 2015 GE.

Wasalaam.
 
Hapa hatutetei upande wowote,tunapeana taarifa juu ya mambo yanayaonedea nchini kwetu. Au na ww ni mmoja wa walw waliopewa computer?
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Mikutano yenu ya kubeba watu na malori ndo unataka kuifananisha na ya CDM?
 
Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.

Magamba ni mibishi sijaona, ukiwawekea mchanga kwenye Bakuri halafu ukawauliza hii ni nini? basi usione ajabu akakueleza kuwa hiyo ni sukari safi kabisa, ukiwaambia basi lamba ujue hii si sukari basi tena atalamba na kukwambia ni sukari tamu haijapata onekana,

Twahil nakuomba utembelee Igunga halafu pitia vijijini uone jimbo linavyokwenda kiulaini na CCM hana jinsi, Magamba wana njia moja tu ya kushinda Igunga nayo ni kuiba kura, endapo CDM watadhibiti wizi huo basi tuhesabu kuanzia sasa kuwa jimbo limeshaenda
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Nimeacha kumlaumu Tambwehiza, kuna kitu magamba wanawafanyia nyie hadi mnabadilika na kuwa mavuvuzera. There are two things involved, either You are out of mind (umechakachuliwa) or You are in your real mind (Kilaza)
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

ww ni muongo mkubwa unapaka rangi upepo, wananchi wanataka mabadiliko ya kweli si ya kuvuana magamba hiyo falsafa ibadilishen kwasabab nyoka hawez akawa samaki.
 
Pole sana Nape, najua baada ya kupigwa stop Igunga sasa unatafuta sehemu ya kutolea machungu uonekane upo bize na sehemu nyingine,

Naam, kweli mkuu hawezi kwenda igunga kwakuwa gamba kuu rostam kamnyima kibali kwahiyo kaamua kujitengenezea vijisafari vya hapa na pale ili aonekane bado yupo.

Kuna taarifa kwamba bado yuko mugumu mjini na gari la matangazo la ccm linatangaza kwamba kutakuwa na mkutano kwenye viwanja vya mugumu sekondari na nape atakuwepo.

Ingawa kutokana na zomea zomea ya jana kuna hati hati kwamba anaweza asiwepo akihofia kuaibika tena.
 
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.

Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.

Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.

Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.

Nawasilisha.
Mkuu unajiunga leo leo na nakuanza kumwaga masharti lukuki. Nadhani ingekuwa busara zaidi ungeuonyesha uongo wa thread nakisha ukatoa ukweli kwa mtazamo wako. Usitulazimishe tufikiri kwaufinyu kama wewe, ebo!
 
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.

Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.

Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.

Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.

Nawasilisha.

Wewe nawe si gamba tu kama Nape ndani ya UVCCM-Arusha?nyie ndo matatizo ndani ya nchi hii.Sasa unataka kutuongopea kuwa Nape hakusomewa huko?wewe endelea kumtumikia Mary Chatanda tuone mwisho wako utakavyokuwa mbovu.
 
Nape ni sawa na Mbwa kibogoyo,ni mzuri kwa kubweka lakini si kuuma hivyo mbwa fashion kama hii hawatakiwi. NAPE HUNA DIRA WALA MWELEKEO KAMA CHAMA CHAKO
 
Usitumie muda mwingi kujibizana a na hawa CDM huku, always wanajaribu kupindisha ukweli.
CCM still tuna nguvu na tutaendelea kuwa na nguvu.
Mbona sijaona neno boss ktk post yako broda...

Mtu anayekulipa mshahara unaongea naye kama muhuni mwenzio, kumbe ndio maana chama chenu kunapoteza dira kila kukicha kutokana na huu utovu wa nidhamu. Mil 600 sio hela ndogo, ulitakiwa ureply post ya boss wako huku umepiga magoti ebooooo. Nyambafu weeee muheshimu anayewezesha familia yako kwenda chooni, ingawa naye njaa inamlazimisha asitulie na familia anafukuzia posho hadi serengeti.
 
Mkuu Nyambala, Nape hawezi kujibu hiyo ya kwenda Igunga! Igunga akampigie kampeni nani wakati chama chake chenyewe hakimwamini? Hawezi kwenda!
 
Bwana NNAUYE,

Kwa heshima na taadhima nakuambia hivi,hebu acha porojo na propaganda za kizamani. Tuambie mkutano upi ulikuwa na watu wengi kati ya MKUTANO WA JUZI WA N/KATIBU MKUU-CHADEMA MH.ZITTO KABWE(MB) KULE IGUNGA NA MKUTANO WAKO UNAOSEMA ULIJAA WATU KULIKO WA MBOWE?
Pengine watu wangelitaka kujua KWANINI WEWE HAUKO KULE IGUNGA KWENYE KAMPENI ZA CCM ZA KUTAKA KULIRUDISHA JIMBO HILO MIKONONI MWA CCM KUFUATIA ROSTAM KUJIUZULU BAADA YA WEWE NA SEKRETELIATI YAKO KUMSHUTUMU KUWA YEYE NI GAMBA NA FISADI? Tunajua wewe uliambiwa na CC usishiriki kwenye kampeni za Igunga maana ndiyo chanzo cha Rostam kujiuzulu!
KWA HIYO WEWE HATA HUKO SERENGETI UPO UPO TU LAKINI CHAMA CHAKO CHA MAGAMBA WANA MASHAKA SANA NA WEWE MAANA TANGU UMESHIKA NAFASI HIYO UNAONEKANA KUIVURUGA CCM BADALA YA KUISADIA!

Kwa sasa tunachoshuhudia Igunga ni upuuzi.ujinga na uhuni wa CCM kwa kuruhusu WABUNGE.MAKADA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHAMA CHAKO KWENDA NA SILAHA KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI! ADEN RAGE TUMEMWONA LIBE AKIWA NA BASTOLA KIUONONI HUKU AKIPIGA KAMPENI ZA CCM. JUZI ESTHER BULAYA NA MBUNGE MWENZAKE WA CCM TOKA S'WANGA WALIVAMIA HOTEL YA PEAK WAKIWA NA BUNDUKI WANAPOKAA VIONGOZI WA CHADEMA KWA NIA YA KUWASHAMBULIA NA KUCHOMA MAGARI YA CDM MOTO.

KILA KITU KIKO WAZI KABISA KUWA WAO NDIYO WALIVAMIA ENEO HILO NA KUTUMIA SILAHA LAKINI MPAKA SAA POLISI HAWAJAWAKAMATA WABUNGE HAO WA CCM KWA VILE TUNAJUA CCM MANAWATUMIA POLISI KAMA VIKARAGOSI VYENU. NAAMINI KABISA INGELIKUWA KITENDO CHA KUWA NA SILAHA NA KUTUMIA SILAHA KWENYE KAMPENI ZA IGUNGA KINGELIFANYWA NA MB YEYOTE WA CDM SASA ANGELIKUWA NDANI!

KUNA HILI LA MADAI YA KATIBU WAKO MKUU MUKAMA KUWA CDM WAMEINGIZA MAKOMANDOO 33 TOKA LIBYA NA AFGHANISTAN, MBONA CCM HAMJAWA ELEKEZA POLISI WAKA WAKAMATA HAO MAKOMANDOO MAANA MNAWAJUA NA WAKO IGUNGA?

Hivi wewe na elimu yako uliyonayo unaweza KUUAMBIA UMMA WA WATANZANIA NI VIPI ILE KARATASI YENYE MANENO YA CHADEMA HAIKUUNGUA BAADA YA MOTO ULIOTEKETEZA NYUMBA YA MWANACHAMA WENU WA CCM KULE IGUNGA. WHAT KIND OF A CCM SELECTIVE FIRE WHICH CAN BURN THE REST OF THE HOUSE INTO ASHES AND JUST LEAVE A PIECE OF PAPER HANGING INSCRIBED WITH A WORD.''CHADEMA''? THIS IS UNBELIEVABLE. Maybe Mr. NNAPE YOU CAN TELL US WHICH CHEMISTRY WAS USED TO MANUFACTURE SUCH A MIRACLE PIECE OF PAPER!

Bwana NNAPE nimalize kwa kusema kuwa CCM hakika mmeishiwa na SERA kwa sasa badala yake mmebakiza UONGO,UNAFIKI NA PROPAGANDA za kihuni ambazo hakika haziwasaidii Watanzania. Napenda kukuhakikishia kuwa kama CCM mtaenelea na upuuzi huu wa Magamba na Kudanganya watu mimi nakupa miaka 2 au 3 ijayo CCM ITAKUWA IMEBAKIA JINA TU! Kumbuka Uchaguzi Mkuu wa 2015 hauko mbali sana,believe me CCM itakuwa kama MMD ya Rupia Banda wa Zambia. Sijui mtatumia mbinu gani mwaka 2015 kurudi Ikulu, the way I see it you have a very narrow chance of wininig the 2015 GE.

Wasalaam.
Ushangae sasa baada ya kuambiwa CCM wamevamia hoteli wanayo kaa viongozi CDM hapo Igunga, polisi wakavamia pia hiyo guest na kupekua viongozi wa CDM, hiyo ilikuwa na maana gani????????Badala ya kuwakamata makamanda wa CCM waliokuwa na silaha, wakapekuwa viongozi wa CDM ili wapate sababu za kuwaweka ndani!!!!!!!! Ujue kabisa kuwa hao polisi wanatumikia CCM hawana la maana kuweza kutoa msaada kwa CDM!!!!!! Lakini nawaambia hao mapolisi na vibaraka wao, serikali huwa zinabadilika, vyama vingine vinachukua madaraka ya kutawala bado tutahitaji polisi kulinda raia!!!!!!! Wakiendelea na huu unafiki itabidi tuunde new polisi force after nyingine, hao wanafiki wasitaafishwe wakalale!!!!!!
 
Back
Top Bottom