Nape apata aibu Serengeti

Kuna uhusiano gani kati ya uhuni wa chadema na ugumu wa maisha?. Uhuni wa chademda unachangia vipi hali ngumu ya Mtanzania? Nape acha taarabu jibu hoja.
 
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.

Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.

Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.

Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.

Nawasilisha.
 
Mkuu kwani huo wingi wa watu ukilinganisha na Mbowe ndo kigezo cha kuwa unakubalika!
 
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.

Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.

Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.

Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.

Nawasilisha.
Kama ni uongo ukweli ni upi?
 
Ukiwa kijana halafu uwe mnafiki ni mbaya sana kwenye kampeni nasikia ulimsaka marehemu diwani hujui ni Laana kumsaga marehemu?
Kuwa makini kijana, kuna wakati we ulijifanya mlokole ulikuwa unahudhuria pale Amana ukihitaji maombi hiyo iliishia wapi?

Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

Mwambie mkuu na bado tunamsubiria huku Arusha atakapokuja kuwanadi madiwani wake Wa ccm sasa ole wake aje atuletee mambo Kama hizi tutampasua mbaya pamoja na polisi wake
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Hufai kwa kizazi cha sasa, na ni mfano mbaya wa vijana walioko madarakani, yaani unajitia aibu na kuwa kama asiyeweza kuchanganua mambo.
 
dogo nape angalia utakufa muda si wako na presha za magamba!
funguka uelewe CDM haipendwi kwa kuhonga, tungekuwa tunaandaa usafiri wa kusafirisha watu toka mbali basi ujue mkutano mmoja tu wa chadema hata viwanja visingetosha, lkama katika hali hii watu wanakuja wenyewe toka maeneo ya karibu na mkutano na ni kijiji kizima, wanaacha shughuli zao, hushangai mikutano yako kujaza watotoo? shame to you. (naandaa data za ufisadi wako nikizikamilisha soon nakurusha kweli ccm hakuna msafi, hata wewe nnauye na vidole vyote unavyonyooshea wenzako....., jiandae)
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.
alifanya kosa kwenda kwenye mkutano wa kampeni bila kukodi washangiliaji - bila hoja za msingi lazima uzomewe.
 
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.

Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.

Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.

Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.

Nawasilisha.

mbona forum mliyoanzisha ya magamba inakufa? baba huku hakuna unafki hata ujaribu kusafisha jamaa alishazomewa huwezi futa hilo!
 
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.

Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.

Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.

Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.

Nawasilisha.
Ndg yangu Mrisho huu sio uongo watu waliokuwa kwenye mkutano ndio walioleta taarifa hizi za Nape kuzomewa. Hiyo isikupe taabu watu wamechoka na maghamba, shida zote hizi za ugumu wa maisha si unaziona??????????
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

Kama ni kweli, hayo ni mambo ya kawaida kwenye siasa, hasa siasa za ushindani. Ni kama gari kupata pancha ukiwa safarini. Inanikumbusha Slaa alipozomewa alipokwenda Lindi wakati mmoja. Hakukata tamaa, akajaribu tena.
 
Ndugu zangu,

Kwakuwa umeanza kwa kutaka watu wajitambulishe kwa majina yao halisi basi sina shaka kwamba wewe ni gamba dogo la uvccm arusha.

Watoto wadogo kiasi hiki mmeanza kufanya siasa za majitaka hamjiulizi mwisho wenu utakuwaje? Uzalendo wenu uko wapi?

Sasa unajaribu kumsupport nape kwamba hakuzomewa, mbona hamuelezi ukweli ulikuwaje? Nape anasema wananchi wali teact,mbona hasemi wali react vipi?

Wananchi wengi wamewachoka na hata kama mnatumia ghilba lakini mwanga wa mapambazuko unaonekana na muda si mrefu ccm itakuwa upande wa upinzani huku chadema ikiiongoza nchi.
 
kaaz ipo.. ila Nape jamani naye.. anajitahidi.. mbali na mishale yote hii jamaa yumo 2. sijui kesharogwa maskini ya mungu huyu.. kwa mtu mstaarabu na makini angetumia muda wake kushauriwa hapa jamvini, angekubali kukosolewa na kupewa mbinu mpya. wana jf wengi ni watanzania wazalendo na wastaarabu. lakini Nape mara zote ametanguliza mipasho, kebehi na matusi. sijui ni laana!
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

cdm hawana pesa za kukusanya watu vijijini na kuwalipa buku 5 kila mmojaa.....mnachokosea sasa hv ni kitendo cha kuendelea kuwafanya hawa wananchi wapo enzi za mwalim wakati washabadilika.

alaf bro naona wenzako wanakutema taratiiiiibu....
 
Back
Top Bottom