Nape apata aibu Serengeti

huyu jamaa kuna kipindi atakosa hata pa kukimbilia kwani kila sehemu atakuwa hatakiwi ccm wenyewe wameshamchoka
 
Siipendi ccm, nampenda Nape;
nakushauri Nape najua bado upo JF lakini umeingia kama guest au unatumia ID ambayo hatuifahamu
Achana na ccm, bora uendelee na kile chama chako cha ccj
na wewe umeshakuwa gamba ndani ya ccm sio siku nyingi watakuvua na maanisha hiyo nafasi umepoteza nayo muelekeo
unachokifanya ni kama kile ambacho sisi wananchi tlivyomwamini jk 2005 na kumpa nchi tukitarajia maisha bora kumbe anatupoteza.
Ukijitoa ccm utakuwa na heshima kuliko wakikutoa do that broo
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....


Nape ACHA UONGO! hata mimi nimehudhuria mikutano hiyo. WEWE NI KIONGOZI, UNAKICHIMBIA CHAMA CHAKO SHIMO.... weka picha toune, nasema picha yeyote ya hiyo mikutano alafu wadau waone na kulinganisha, maneno matupu hayasaidii kitu twende na ushahidi wa picha wadau waone.
 
kwa mbali namwona nape akijitulizia maumivu hapa jamvin, pole saana CDM si mchezo bana.
 
Nape as young as you are you still have chance to pull yourself together! Kuwa kama Mh. Zitto, huwa anapigwa madongo hapa JF lakini anayapangua kwa hoja zilizosimama, sijawahi aki 'lament' kama wewe.
Umekimbia jamvi (I'm sure you're peeiping as a guest) this proves your cowardice na unafiki.
 
Nape sisi tunakufahamu kabisa wewe ccm uko kimaslahi,, na ninauhakika pindi tutakapokiangusha 2015 utahamia chadema kwasababu ndicho chama unachokipenda, kama unakataa kana sasahivi
 
Hii habari imepostiwa saa 6 usiku kwa saa za bongo. Ulikuwa wapi kupost tangu muda wa tukio? Au mkutano ulivunjika usiku? Hii source siiamini kabisa

Kumatmbua mtu asiye na akili timamu haisubiri kuambiwa utaviona vitendo vyake tu. Umepata habaru uko serengeti, hakuna umeme, network hakuna wewe post tu habari yako. Hii ni zaidi ya masaburi
 
Back
Top Bottom