Nape anawahonga watoto wadogo na kusababisha vurugu....!

Akili za Nape zinalingana na hao watoto ndiyo maana anawahutubia. Hana hoja ya kuwaeleza watu wazima kama Sisi. Nape endelea na Puyanga yako. Nakutakia kila la heri ila angalia usigombanishe watoto wa watu kwa Pipi unazowagawia.
 
Duh ccm kwisha kazi ina maana hiyo ndio audience yao?

Huyu nae anaelekea kwenye mkutano!!! Sijui huyu ni mkubwa??
248424_230199563664277_100000227046434_1100227_6651539_n.jpg
 
Ningekuwepo hapa sijui kama angeikuta Simu na waleti yake kudadek!
 
dah, innocent kid

Umemuona alivopendeza??, Na unaona afya yake??, Katupia Kitu cha Gwanda kiatu po na anaonekana anamawazo endelevu,
Wale watoto wa kwa nape wameka na mawaaazo sana, na walikuja na Msafara wa Matarumbeta hawakujua inachoendelea lakini huyo unaona anajua anachokifuata!
 
aking'ara mtoto kwenye mkutano wa chadema...mnasema ana mawazo endelevu
aking'ara mtoto kwenye mkutano wa ccm....mnasema mtoto wa fisadi
kweli nyie great sinkers
 
Nyie wote hanjui siasa nyie!!! Hapa maana yake ana mauchungu na watoto wa nji hii.
 
Back
Top Bottom