NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,199
- 12,714
Waziri mwenye dhamana Nape Nauye hili jukumu lipo mikononi mwako kama unaweza kuwakamata watu waliozusha/kurusha maudhui ya uongo kwa kusema kuwa Makamo wa Rais Dr. Philip Mpango kuwa ametangulia mbele ya haki na ni kitu ambacho si cha kweli.
Waziri Nape Nnauye Sasa mitaa imechafuka sana yaani hali ni mbaya tukianzia kwenye Magrup ya Telegrams, WhatsApp, Badoo nk huko kuna hatari sana watoto wadogo /watanzania wenzetu/wadogo zetu wanafanya mapenzi nakujiposti bila hata ya kua na wasi wasi limekua ni jambo la kawaida sana kwenye mitandao.
Waziri Nape Nauye hilo linzaidi kujua kwa Kasi sana kwa kua hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria akawa mfano kwa wengine na tabia kuisha au kupungungua.
Waziri Nape, mafano mzuri tu tumeona na tunaona baadhi ya wasanii wetu wa kitanzania wanao amini kurusha videos/picha za uchi katika mtandao no kufanya mziki wao ukue akiwemo msanii Gigy money video yake akifanya mapenzi/akiingiliwa kwa kweli ni Jambo la aibu sana katika taifa letu.
Waziri Nape Nauye Kama lisipozibitiwa hili Basi tutegemee kizazi cha ajabu sana kizazi kisicho kuwa na aibu ndani yake nasema hivyo kwa sababu saivi watoto zetu/wadogo zetu wanatumia mitandao kusoma sasa ikitokea anakutana na vitu kama hivyo basi mtoto lazima apotee mazima.
Maoni Yangu: serikali kupitia TCRA wawe wakali kwa kutumia sheria walizozitunga ili kudhibiti huu uozo unaoendelea katika mitandao.
Na nikuombe Waziri mwenye dhamana hii Mh. Nape Mnauye shughulika na warusha maudhui machafu (ngono) katika mitandao kisha kamata hao waliomzushia kifo Dr. Philipo Mpango kwani kwa kufanya hivyo utakua umeinusuru jamii pakubwa mno.
Nawasilisha hoja.