Mgonjwa akikosa PPF hata maji ya moto mdunge! Hivyo hata hapa una la kuchekelea?Duh ccm kwisha kazi ina maana hiyo ndio audience yao?
hahaha, anatafuta wapiga kura wa mwaka 2030
aiseee hivi jamaa hakati tamaa??ana roho ngumu kama paka
zero brain
masikini, alikuwa wapi hapa?
Hiyo quote inakufaa sana....vyama vya upinzani vimeshindwa chaguzi kuu mara ngapi? vimekata tamaa?
hii quote ni special kwa ajili yako wewe na wenzako wenye mtazamo kama wako wa kuona upande mmoja tu "I know some people who have two sides of brain..The left brain, which has nothing right in it, and the right brain which has nothing left in it.
Connecting the dots just from ya comment.
GunzInTheAir = Genius Brain = Malaria Sugu, hahahah ahahaha ahah ahaah. Mkuu maID mengi mengi haya ya kazi gani?
Hiyo quote inakufaa sana....
Hivi anawapa nini?