Nape anawahonga watoto wadogo na kusababisha vurugu....!

Yaani hii heading ni perfect kuuza katika magazeti ya Uhuru na Mzalendo. Eti kahonga watoto lol...kweli mmechoka kama nyayo/vikanyagio zenu/vyenu zilivyochoka/vilivyochoka
Chama Cha Magamba Mtaua watoto wa watu mwaka huu kwa hizo pipi zenu..!Hapo kwenye red..kesho wekeni alafu sememi mnawapenda watoto au sio..!?
 
vyama vya upinzani vimeshindwa chaguzi kuu mara ngapi? vimekata tamaa?
hii quote ni special kwa ajili yako wewe na wenzako wenye mtazamo kama wako wa kuona upande mmoja tu "I know some people who have two sides of brain..The left brain, which has nothing right in it, and the right brain which has nothing left in it.

Nyerere angekuwapo, kuhusu wewe angesema "Hivi na huyu ni Mtanzania kama mimi huyu?"
 
Back
Top Bottom