"Naongea na Riz1": Nusura daladala ikamatwe Arusha

Wewe bilashakani ccm akiliyako inafanana na ya hao police mzemzima akili hamna au wewe ni zubeda au maleria sugu kama huna chakusemja kaa kimya una chafua ukurasa wa jf
 
Je kama angefungulia nyimbo ya kusifu CCM kwa sauti hiyo hiyo kubwa wangemsumbua?
Wao wamezoea kutumwa ndio maana wanamuuliza yeye katumwa na nani.
Round Hii wataelewa tu
 
arusha hamtetereki mpo juu aisee,na sisi tupo pamoja na nyie endeleeni kusimamia haki
 
nyimbo kama hizi watu wengine wakisikia, wanadhani wapinzani ndio wanaofadhili waimbaji hawa. Kumbe ni vijana waloichoka ccm.
 
Mkubwa! Tunashukuru kwa news km hii ya mapapa wanavyozidi kudidiza taifa kwa mikono yao wenyewe.
 
Mkubwa! Tunashukuru kwa news km hii ya mapapa wanavyozidi kudidiza taifa kwa mikono yao wenyewe.

Ukishakuwa mwoga, hata unyasi ukikugusa unashituka! Mkuu wa kaya ameogopa kuja Ar na amemwekea msaidizi wake ulinzi hadi kapitiliza!
 
Anyway, kwanini afungulie kwa sauti ya juu. Atakuwa anawasumbua abiria.[/

nani amekwambia abiria wamelalamika, kama siyo kujishuku tu

Abiria hawakuona kosa la dereva ndio maana walimtetea. Afterall alikuwa amefungua redio station moja hapa mjini. Ni ujinga wa polisi wa kufanya mambo eti kwasababu tu wametumwa/wameagizwa/ wameamriwa!
 
Huyo Izzo mwenyewe kawafagilia polisi kwenye huo mwimbo, the wimbo is the most stupid song of the year.

Kwanza ni mdini au ni outright ignorant, ame lambaste mfumuko wa makanisa nchini. Wakati huo huo anadai Ridhiwani amwambie Baba akomeshe ukabila na udini, utasemaje
Kikwete akomeshe udini halafu unashambulia kujengwa kwa makanisa nchini? Kwa nini asiimbe misikiti imezidi?

Huyu msanii kadai Ridhiwani amwambie babaake eti awawekee watu Bungeni kwa sababu dhuluma imezidi. Political novice asiyejua chochote kuhusu siasa, watu wanaongelea kupunguza madaraka ya Rais na kuongeza clout ya Bunge yeye unafagilia Rais aweke watu wake Bungeni, ili iweje, kudhoofisha bunge?

Watu wanalia na mauaji na malfeasance ya polisi na mfumuko wa ujambazi halafu Izzo anaimba kwamba Ridhiwani akamwambie baba kwamba Kamanda Kova "anacheza kama Pele" na ulinzi shirikishi. Tanzanian Police is doing any commendable job? How preposterous.
 
Wewe bilashakani ccm akiliyako inafanana na ya hao police mzemzima akili hamna au wewe ni zubeda au maleria sugu kama huna chakusemja kaa kimya una chafua ukurasa wa jf



Mkuu,
Sijakuelewa kabisa. Sijui unamlenga nani hapa! Kama ni mimi, utakuwa umepotea sana!
 
Hili ni tatizo la kukikimbia kivuli chako. Badala ya kuyachukia matendo yako ... We unachukia watu kutaja matendo yako..
 
Tuwekeeni huo wimbo basi ama hata mashairi.JF ni international jamani.

Kaka J Mushi, pokea hiyo attachment ya wimbo wa RIZ 1 audio.Wimbo wenyewe hauna mshiko woiwote, na hautoi message yoyote ya maana, ni kelele tu. Si unajua tena vijana wetu wakiamuka na idea wanakimbilia studio bila kufanya coinsultation, any way sikiliza na ujipime na kuamua!!! Kuhusu video ya wimbo huu, nahitaji msaada kwenye tuta jinsi ya kuaatch video!!!
 

Attachments

  • IZZO B-RIZ-ONE_2.mp3
    7.7 MB · Views: 24
Back
Top Bottom