Wanabodi.
Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama.
Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi wa ghorofa, kuna ambao husema ujenzi wa ghorofa moja la kawaida (nyumba ya makazi) si gharama kama inavyosemwa na watu malimbali, na wataalamu huenda mbali zaidi kuwa ghorofa moja si lazima kumwaga jamvi ili kupunguza gharama za ujenzi.
Wataalamu naomba mtoe ushauri, Je ni kweli si lazima kwamwaga jamvi kwenye ground floor kwa ujenzi wa ghorofa moja ya nyumba ya makazi?
Ushauri wenu ni muhimu sana katika jukwaa hili ili kutuongezea uelewa.
Karibuni